Search results

  1. N

    TAKUKURU ongezeni nguvu Kigamboni

    Kuna umuhimu mkubwa wa kuwaogezea wafanyakazi wa idara ya PCCB wilaya ya Kigamboni maana kiukweli Rushwa kwa polisi wa usalama Barabarani imekuwa Wazi kwa kuthibitisha ilo huwa wanakaa pale kituo cha kwa Mwingira. H alafu kila daladala linalopita unaona konda anashuka anapeleka fedha akirudi...
  2. N

    Airbag za brevis

    Mikocheni sehemu gan hapo kwa wachina?
  3. N

    Airbag za brevis

    Habari Nilipata ajali na gari ndogo aina ya Brevis sema injini haijaguswa ingawa show ya mbele imeharibia na airbag zote zimefumuka kioo kimearibika kabisa. je kuna uwezakano wa kurudisha gar katika hali yake na ni gereji gani nzur kwa dar wasio na longolongo.
  4. N

    Gar mark 11 grand Gx 110

    Aisin motors naweza kupata mawasiliano nao
  5. N

    Gar mark 11 grand Gx 110

    Naweza kupata kipande cha mbele cha toyota mark2 gx110 yan kuanzia kwwnye kioo cha mbele mpaka show yote ya mbele coz ilipata ajali haifai kurekebishwa maana airbag zote zimetoka.
  6. N

    TAKUKURU anzeni na TEMESA

    Kuna rushwa kubwa imekithiri pale Kivukoni wakati wa kuvuka. Kwa upande wa Kigamboni kuna Geti la Jeshi, hapo ukitaka kupita unatoa elfu Tatu kwa MP wa Jeshi unapita bila kupanga Foleni na ukiwa ukirudi upande wa Ferry unatoa elfu tatu pia unapita kwenye Geti la kutokea. Ila kama una fedha za...
  7. N

    Masanja mkandamizaji aanika ubaguzi wa bank ya crdb katika utoaji wa ajira...!

    kwaiyo CRDB ni ya UDSM na ukimuona mtu IfM au TIA yupo pale jua ameshikwa mkono....wizara ya Kazi na Ajira inafanya kazi gani kama Udsm wanakitengo cha kuwatafutia wanafunzi wao kazi?
  8. N

    Shirika la Kilimo Tanzania

    yan hawa jamaa ni balaa na wapo kibiashara zaidi hiyo website yao sasa ni kituko embu tembelea www.shikita.or.tz
  9. N

    Shirika la Kilimo Tanzania

    Tarehe 22/08/2011 kwenye gazeti la Daily news Kuna nafas zimetangazwa SHIKITA. lakini cha ajabu ukienda kwenye website yao wanakwambia ulipe elfu 20. Applicants are supposed to pay a non a non-refundable application fee of 20,000/= tsh.which will be used to cover meals and other services to the...
  10. N

    CISCO Certified?

    Duh huu sasa ni Usanii jaman
  11. N

    Jua nafasi za kazi kwa haraka na urahisi zaidi

    da wabongo wapo kikazi zaidi
  12. N

    Experiencing a very low internet speed?

    Sasa jaman naombeni mniambie ISP gani hajahathirika ya hii SEACOM
  13. N

    Microsoft Outlook

    Kijana upo kibiashara zaidi ok poa ngoja nielendee kutafuta
  14. N

    Biashara ya internet

    Kwa Hour ni Tsh1500/=
  15. N

    Microsoft Outlook

    Kama una taka kuuza niambie kozi naiitaji sana kaka
  16. N

    Microsoft Outlook

    Sipo Dar Nipo Nairobi Nitumie hiyo link Kama unaweza
  17. N

    Microsoft Outlook

    Mambo vip Natafuta free software ya kulicovery microsoft outlook express inbox.Nimetafuta but nakuta ni ya kununua na kuna moja nimeikuta nikaambia ni free then baada ya kuinstall nikaambiwa ninunue plz kwenye kujua anitumie link
  18. N

    Over 150 vacancies...Try your lucky !

    jaribu usiogope
  19. N

    Blackberry Certification Study Guide

    da ata mimi naitaji hiyo
Back
Top Bottom