Search results

  1. W

    Aisee! Likes za Jamii Forum Sio Rahisi Kama Maharage ya' Mbea'

    Usilete habari za facebook humu, mtu anapost msiba wa mzazi wake, anapata likes elfu saba.
  2. W

    Tukumbushane misemo ya kina dada wa uswazi (misemo ya uswahilini)

    Leo ndo utajua kilichomfanya kuku asikojoe....!!!
  3. W

    Tabia 7 za mwanamke zinazoshangaza

    Akijikanyaga akaingia kwa mwanaume chokambaya kila mara anabaki kuwasifia anao waona kwenye tv na filamu, ukiona hivyo jua imekula kwako, anza kutafuta wa saizi yako.
  4. W

    Usemi wa leo. Ongezea na semi zako

    Hata uwe umekomaa vipi, ukilala hauwezi kufunga macho kwa pini.
  5. W

    Majina ya vituo vya daladala sehemu mbalimbali

    kwa Fundi, ... Butu, ... Chela, ... Panda, ... Gadafi, ... Pachoto, ... Bomba Mbili.
  6. W

    Vunja mbavu ucheshi

    Umekomaa Hadi ukitaka kulala unafunga macho kwa kutumia pini!
  7. W

    Mbuzi azaa mtu.....

    Atakuwa alitiwa mimba na mchungi huyo mbuzi.
  8. W

    Huku kwetu joto!

    Huku kwetu mtoto anakunya juani dk2 tu unayaokota kama jiwe unarusha mbali.
  9. W

    Huku kwetu joto!

    Huku kwetu Joto hadi maji ya kunywa tunaweka juani yanachemka!
  10. W

    Huku kwetu joto!

    Som kwa umakini. kaandika elfu moja.
  11. W

    Huku kwetu joto!

    Huku kwetu kuna joto hadi maji ya kuogea tunahifadhi kwenye Fridge!
  12. W

    Bunge letu na kura za mayowe 'NDIYO' 'SIYO'

    kumbe kiongozi wa upinzani anakabila bandia!!!! Mh! sisiemu mna mambo....!
  13. W

    Kama huwezi utani usifungue hapa.

    lione umekomaa hdi ukilala unafunga macho na pini!
  14. W

    New member of FJ

    Pita ndani utakutana na mzee Kipara atakuonyesha pa kukaa
  15. W

    KIPINDI CHA ORIGINo KOmEdI

    Domo zege ndiye aliyegundua Punyeto.
  16. W

    14,1,14,9,13,23,5,14,25,5,8,1, ,11,9,25,1,11,21,3,8,9,14,10,1 ,?

    14,1,14,9,13,23,5,14,25,5,8,1,11,9,25,1,11,21,3,8,9,14,10,1,? Nani mwenye haki ya kuchinja?
  17. W

    Tamaa mbaya baba mchungaji

    Dah! hii nomaaa! ya kuanzia weekend.
  18. W

    Mtoto mjinga-mwerevu!!!!

    Baba kilaza, mtoto kilaza.
  19. W

    Vituko vya mimba!

    Mi natamani mke wangu akiwa na mimba anichukie, weee!!! kila siku nitarudi asubuhi kubadilisha nguo na kwenda kazini.
Back
Top Bottom