Search results

  1. Fisadidagaa

    Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

    Hahahaaaa,na kweli haya madini ukiyachunguza Sana unaachana nayo maana sound nyingi sana
  2. Fisadidagaa

    Waliojipatia Milioni 280 kwa njia ya Mtandao watozwa Faini ya Laki Tano

    Kama ni hivi wacha nijiajiri kwenye sector ya uwizi tu.
  3. Fisadidagaa

    Lissu Amekengeuka? Chama Kinaweza Kumchukulia Hatua? Ipo hivi...

    Kweli we mpuuzi,so ulitaka akubali kupewa ubunge.hayo Kama ni maridhiano wawatafute aisitii na kaafu yalipmba.
  4. Fisadidagaa

    Kwaheri Balozi Simon Sirro

    Unachanganyikiwa boss cheki fresh
  5. Fisadidagaa

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Tanzania hatujawahi kuwa na serikali moja,sema serikali mbili zinatosha.
  6. Fisadidagaa

    Tundu Lissu yupo Kenya kwa uzinduzi wa kitabu chake

    Nuksi ya mwendazake, anaweza kuja wakampiga risasi wakamchafulia mama samia.
  7. Fisadidagaa

    Kwa wateule hawa, bora Pascal Mayalla asiteuliwe maana itakuwa kumdhalilisha tu

    Mlitaka ateue mataga FC, mlisha ambiwa huko hamna vichwa ndio maana tunachukua upinzani
  8. Fisadidagaa

    Rais Samia aambiwe Makamu wa Rais ni Mkubwa kwa Rais wa Zanzibar, au anafanya makusudi!?

    Blaa Blaa Blaa, Hujui kuwa wazanzibari hawataki muungano tunawalazimisha tu
  9. Fisadidagaa

    Aida Khenani: Nilipewa laana nyumbani kisa CHADEMA. Nitamkumbuka Hayati Magufuli kwa uthubutu wake

    Hata Lissu nae muongo muongo Sana, alijitoboa na sindano halafu akasingizia kapigwa risasi. Si wakuwaamini kabisaaaaa.
  10. Fisadidagaa

    Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

    kama walizihakiki ziliingiaje na virusi, watolewe na washtakiwe kwa kulihujumu taifa
  11. Fisadidagaa

    Mwanza: Walimu wadaiwa kuhamishwa kwa nguvu

    Wangewatandika na mboko kabisa. Mitano ndio tumeianza
  12. Fisadidagaa

    Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

    Kuna jamaa kule kwenye Andiko lako la kuihadhari serikali kutotumia TISS kuwakamata au kuwadhuru raia wake ameandika wewe ndio muuaji ila sasa umetupwa nje ya box ndio maana unabwabwaja, akaulizwa kama anakujua akajibu tuje kukuangalia kwenye post Za Ben saanane nimekuja kumbe ni kweli kabisa...
Back
Top Bottom