Ukisoma vizuri utaona Mtymishi kama huyo hajapoteza sifa,atapanda tu.Hicho kipengere kinawahusu walioenda masomoni kabla kudumu kwenye cheo kimoja kwa miaka 4 (Zaman ilikua ni miaka 3)
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sijaona hoja yako ya Msingi.Kama unamfahamu ni vyema Mwambie ajirekebishe maana hata Mimi nilimueleza ukweli juu ya lugha yake chafu.
Pia hii ni sehemu ya kusemea maana hata huyo Boss wake anapitia hapa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu hapo Bombo hilo Tatizo la Lugha isiyo ya kuridhisha wanayotoa Wahudumu wa hapo Mapokezi ni la Muda mrefu,lakini hamna jitihada zozote zilizochukuliwa.
Isitoshe hilo la Lugha Chafu kwa Wagonjwa siyo hao tu bali hata Kiongozi wao ambaye ni Mganga Mfawidhi wa hiyo Hospital hana lugha nzuri...
Maana kuna Jirani yangu alihisiwa ni Mchawi.Akaletewa Mtaalamu kumtoa Uchawi,cha kushangaza Mtaalamu hakukuta kitu.
Lakini Watu wanahisi labda alificha uchawi,maana waliokutwa na mambo ya kishirikina wakienda kwa Waganga wanaambiwa huyo Bibi ni Mchawi,lakini wakifika kumtoa uchawi hawauoni...
Mshana Jr,Hivi Mchawi anaweza kuficha Uchawi wake hata kupelekea Waganga kuamini kuwa hana Uchawi?
Kwanini Wachawi wengi wanaishi miaka mingi sana hapa Duniani?
Sent from my iPhone using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.