Search results

  1. N

    Trafic Police wamtandika askari wa JWTZ hadharani

    Kazi kweli kweli !!... JWTZ lazima warudi kulipa kisasi..... Nafikiri suala hili linapaswa kuangaliwa na pande zote zinazohusika kabla ya madhara hayajatokea.
  2. N

    Nimeshida 5000$

    Mkuu umesema kweli ...... hawa jamaa watawaumiza sana dada zetu kwa sababu wamefanya hivyo karibu kila nchi walipotia team. Mashori mpo hapo ?? accent za Naija si mnazinyaka kwenye filamu zao? Ogaaaa
  3. N

    Anglo gold ashanti watishia kukimbia tanzania

    Nafikiri waende zao tu kama hawawezi ku-comply na hata hicho kidogo kilichomo kwenye contracts. Dhahabu yetu haiozi tutachimba wenyewe tutakapo kuwa tayari au tutakapopata terms nzuri na mwekezaji mwingine.
  4. N

    Dr. SLAA awapa tumaini Watanzania

    Tuko pamoja na wewe ......Dr. Slaa
Back
Top Bottom