Search results

  1. Fidel80

    TTCL badilikeni mmezidi kutuibia wateja

    Wakuu kwa kuwa mi mzalendo napenda sana kutumia mtandao wa TTCL licha ya kuwa huduma zao za ovyo ovyo na haziridhishi ndo maana shirika linashindwa kushindana na makampuni binafsi kwa sababu ya ukiritimba na wizi. Ni mara ya 6 sasa wananichezea mchezo huu nikijiunga na vifurushi vyao vya siku...
  2. Fidel80

    Mjumbe wa Katiba ndani ya Boda Boda

    Mjumbe wa Bunge la katiba ameamua kubana bajeti kuwahi kikao cha Bunge kwa usafiri wa chap chap wa Boda Boda.
  3. Fidel80

    Mavazi bunge la katiba bado

    Wakuu nimeshuhudia mavazi bunge la katiba ni ya ovyo ovyo upande wa wanawake, wengi wamevalia suruali za kubana na kuwachora maumbo yao, Nakumbuka jana Mwenyekiti wa muda alieleza hili swala la mawazi au mpaka Sita aingie ndo watabadilika hawa wanao vaa ovyo ovyo? Jamani wamama msiwatege...
  4. Fidel80

    Siku ya wanawake Duniani huyu anapaswa kuwa mgeni rasmi

    Nikawaida kuona wanawake wenyewe kwa wenyewe hawapendani na kuoneana wivu usio kuwa wa maendeleo, kwa vile natambua michango ya wanawake Duniani, nitafrahi endapo maadhimisho haya yatatambua mchango wa Nusra Mguluko ambaye ni dereva wa Bus la Ndenjera toka Dar mpaka Mbeya kila siku. Huyu mama...
  5. Fidel80

    Abiria ajichinja ndani ya bus likitokea Lindi (TAHADHARI picha zinatisha)

    Makongoro Oging' na Haruni Sanchawa AMA kweli duniani kuna mambo kwani dereva na abiria wa basi laManchester ambalo namba yake haikujulikana mara moja, lililokua likitoka Lindi kwenda jijini Dar es Salaam walijikuta wakiangua vilio baada ya kumuona mwenzao akijichinja hadi kufa kwa kisu ndani...
  6. Fidel80

    CCM watumia mabus ya Upendo kusomba watu

    Kwenye uzinduzi wa kampeni jimbo la Kalenga jana CCM walitumia mbinu ile ile ya kusomba makada wa kukodiwa kuja kujaza watu kwenye mkutano wao Ifunda, safari hii baada ya RPC kupiga marufuku malori waliamua kutumia mabus ya Upendo. Hata vipaya na macruser yalitumika kufanya shantingi ya watu...
  7. Fidel80

    NMB Chap Chap Account mtapoteza wateja badilikeni

    Imezoeleka NMB ni bank ya wafanyakazi wa serikali, lakini wanatafuta wateja kwa nguvu wakiwemo wafanyabiashara ili waweze kutumia huduma ya NMB ambayo ilikimbiwa. Sasa wameanzisha kitu kinaitwa NMB Chap Chap Account ambapo mteja anaweza toa mpaka m.5 lakini ukiwezeshwa kwa kupeleka wadhamini na...
  8. Fidel80

    Mwanamke Ang'ata Uume wa Mumewe na Kubaki Kipisi

    Mwanamke mmoja mkoa wa kipolisi Rolya amemng'ata mmewe uume wake baada ya mme huyu kutaka kuimarisha ndoa saa 9.00 alasiri. Mwanamke alikuwa anakataa anasema ni mapema mno kufanya tendo la ndoa atulize munkari, lakini mmewe hakusikia wala alikuwa haambiliki maana usongo ulikuwa umemzidi. Mama...
  9. Fidel80

    Waarabu wanapendelewa sana kuanza ugenini

    Hawa CAF wanawabeba sana waarabu kuanza ugenini, sijawahi sikia mechi tuliyo cheza na waarabu tukaanzia kwao wakaja kumalizia hapa nyumbani, mecho zote wao ndo wanaanza ugenini kisha wanamalizia kwao ili wafanye kila aina ya fitna washinde. Kuna haja ya kulilalamikia hili
  10. Fidel80

    TRA wanahujumu DHL,TNT, FEDEX?

    Nina doc.za kutoa mizigo zimekwama Airport toka tar.10/02/2014 zipo airport nimehangaika DHL, TNT na FEDEX wanasema TRA wanakagua haingii akili bahasha yenye BL ikaguliwe wiki nzima na tena wiki inayo fuata kila nikiangalia kwenye mtandao naona Clearance event toka j3 mpaka leo kweli? Serikali...
  11. Fidel80

    Atakula vizuri Valentine yake huyu

    Picha inaongea maneno 1000 jionee mwenyewe mrembo akiwa kazini.
  12. Fidel80

    Daraja la Hedaru lakatika

    Habari nilizo zipata hivi punde daraja la Hedaru limesombwa na mafuriko watu wamekwama hapo. Source: Super mix EA Radio.
  13. Fidel80

    Kituo kizuri cha polisi kuliko vyote Tanzania

    Wakuu hiki ndicho kituo bora pekee cha Polisi Tanzania nzima kipo maeneo ya Sinza, hongera sana sana kamanda Renatus Pamba Diwani wa kata ya Sinza kwa kuunganisha nguvu na wananchi na kujenga kituo hiki cha polisi.
  14. Fidel80

    Amlawiti babu yake

    Kijana mmoja huko Tanga alimvizia babu yake akiwa amelala na kumlawiti babu kushtuka akakuta mjuu wake anampumulia kisogoni lahaula na kuanza kupiga mayowe. Taarifa za kitabibu zinasema babu kaumizwa sana sehemu za kutolea taka ngumu na kapata maumivu makali yaliyo ambatana na mshtuko pamoja na...
  15. Fidel80

    Auwawa kwa kuwa na uhusiano na mke wa mtu

    Kijana mmoja jijini Mbeya amechezea kichapo toka kwa ndugu wawili na jamaa mmoja wa ndugu hao kwa kudaiwa anahusiano wa kingono na mke wa kaka wa hao ndugu kipigo hicho kimesababisha kifo cha mgoni huku ndugu wawili wakikimbia mkono wa sheria na kupelekea kudakwa huyo rafiki wa hao ndugu yupo...
  16. Fidel80

    Ahadi ya Ambulance JK ametimiza?

    Naamini mheshimiwa rais Dr. Jakaya Kikwete anatoka chama sikivu na serikali sikivu, nakumbuka alituahidi wapiga kura ambulance za Bajaj ili ziweze kubeba wagonjwa hadi vijijini je ahadi hii imetekelezwa kwa upendeleo? Huku vijijini bado tunateseka kupeleka wagonjwa hospitali inabidi tutumie njia...
  17. Fidel80

    Kikwete ampiga kijembe Rage

    RAIS Jakaya Kikwete amemshangaa Mwenyekiti wa Simba SC ya jijini Dar es Salaam, Ismail Aden Rage kwa kuitisha mkutano wenye ajenda moja kwa ajili ya wanachama wa klabu hiyo. Wiki iliyopita, Mwenyekiti wa Simba Rage, alitangaza kuwepo kwa mkutano wa klabu hiyo Machi 23 na kueleza wazi kuwa...
  18. Fidel80

    Vitu vimeanza kupanda bei

    Kufuatia bei ya umeme kupanda vitu vimeanza kupanda bei, mkate wa Tsh. 1000/= sasa ni Tsh.1200/= tutegemee machungu zaidi waTanzania.
  19. Fidel80

    Samaki arukia sehemu za siri

    Ni tukio la ajabu limetokea kando kando ya ziwa Victoria baada ya binti kuchuchumaa ateke maji amwagilie vitunguu na nyanya samaki wa nchi 4 aina ya sato akaruka toka kwenye maji na kuingia sehemu za siri za binti wa miaka 14 alivyo jaribu kumvuta akawa anasikia maumivu makali sana. Chanzo...
  20. Fidel80

    Operesheni tokomeza: Mh. Assumpta Mshana awaponda upinzani wenye nia mbaya na serikali ya CCM

    Mbunge huyu mama akichangia ameshindwa kabisa kuzuia itikadi zake na kuelekeza mashambulizi yake kwa chama cha upinzani huku akinyoosha kidole kwa wabunge wa (CHADEMA) ndio wamewatuma watu kufanya Operesheni Tokomeza na kupiga na kuua watu, ili watawale nchi hii. Zomea zomea zikaanza ikabidi...
Back
Top Bottom