Search results

  1. Mkomawatu

    hakuna raha kama kuitwa mume

    habari zenu wanaukumbi,naamini mnaendelea vizuri kulea ndoa zenu na mahusiano yenu japo mengine yanayumbayumba ila mnavumiliana.Hongera zenu.
  2. Mkomawatu

    Ushauri: Mpenzi wangu ana kisirani na hasira za haraka

    Salaam wanajamvi. Heri ya mwaka mpya 2017. Jamani Mimi ni Kijana wa kiume nina mpenzi wangu tunapendana nina mahusiano naye sasa yapata mwaka mmoja. Tatizo linalonisumbua hadi nashindwa kuelewa ni kwamba ana kisirani na hasira za haraka hata kwa jambo dogo halafu baadae akitulia anasema...
  3. Mkomawatu

    Nahitaji rafiki wa kike

    Habari zenu Wanajamvi? Ni matumaini yangu nyote wazima wa afya. Mimi ni Kijana wa kiume umri miaka 29. Ni muajiriwa Serikalini katika idara fulani. Nahitaji rafiki wa kike mchamungu aliyeshika dini ya kiislam, umri miaka 21 hadi 25, elimu kidato cha sita na kuendelea.Mwenye Vigezo hivyo naomba...
  4. Mkomawatu

    Nimezama kwenye penzi la Askari Polisi

    Salaam wanaukumbi, Natuma wazima na mnaendelea salama na pilika za kutafuta riziki. Mimi ni kijana wa kiume nimetokea kumpenda askari polisi wa kike na yeye ananipenda sana. Ila kabla ya hapo hakuwahi kuniambia mapema. Pamoja na kutofahamu mapema kazi yake kwangu halikuwa tatizo nampenda sana...
  5. Mkomawatu

    Mwenye kuifahamu sekondari ya Lusanga

    Habari zenu ndugu wadau? Mimi ni Mwalimu wa sekondari nimehamia kikazi wilaya ya Mvomero na nimepangiwa shule ya Lusanga iliyopo Turiani. nahitaji kufahamu mazingira ya mji, miundombinu yake ilivyo.
  6. Mkomawatu

    Wazazi wananizuia kugombea Udiwani

    habari zenu wanaukumbi wenzangu! mimi ni mwanachama wa Chama Cha Chadema. Nina nia ya dhati kugombea Udiwani katika Kata yangu ili kusukuma gurudumu la maendeleo katika Kata yetu. Tatizo lililopo ni wazazi Wangu kunikataza kushiriki katika Kinyang'anyiro hiki wakinitaka nifanye shughuli yangu...
  7. Mkomawatu

    Tumechoka dhihaka ya wezi PAC itoe tamko la mwisho

    habari za Leo ndugu Wanaukumbi? Ndugu zangu nikiwa kama mwananchi wa kawaida katika taifa hili lililoshikwa na madhalimu wanaotangaza amani huku wameficha mapanga nimekuja na hoja zifuatazo. Moja, kwa kuwa PAC wamewasilisha ripoti yao iliyojaa uthibitisho wa kutosha kuwa mwanasheria mkuu wa...
  8. Mkomawatu

    Msaada wenu kuhusu mazingira ya Kilwa masoko

    Ndugu wanaukumbi mimi ni mwalimu wa sekondari nipo Ukerewe Mwanza.Nimepata mtu wa kubadilishana kutoka kilwa masoko.Naomba msaada wenu kwa mnaoyajua mazingira ya mji na shughuli za uzalishaji mali zilizopo.
  9. Mkomawatu

    Msaada wenu wanaukumbi nasukumwa na ndoto za kuingia kwenye siasa

    Habari zenu wanaukumbi? Mimi ni kijana wa Kitanzania.Nimeajiriwa kazi ya ualimu serikalini.Ndugu wadau nakabiliwa na ndoto za mfululizo zinazonishinikiza niingie kwenye siasa.Jambo linanitatiza kwani mimi ni mtumishi wa umma.Naombeni msaada wa ushauri.
  10. Mkomawatu

    Nahitaji mwalimu wa kubadilishana kituo cha kazi

    Habari zenu wadau? Mimi ni mwalimu mwajiriwa wa serikali idara ya elimu sekondari walaya ya Ukerewe mkoani Mwanza.Nahitaji kubadilishana kituo cha kazi na mwalimu kutoka mkoa wa Morogor na Pwani.Aliye tayari tuwasiliane kwa namba 0757920263 na 0718073753.
  11. Mkomawatu

    Naombeni ushauri wa kisiasa

    Ndugu wanaukumbi wenzangu wa jamii forum bila shaka ni wazima.Binafsi natumia nafasi hii kuomba ushauri wa kisiasa kutoka kwenu.Binafsi ni mtumishi wa umma katika idara ya elimu.Napenda sana siasa kutoka kwenye damu yangu na dhumuni langu hasa ni kusimamia haki kwa jamii nzima kwa...
  12. Mkomawatu

    Nahitaji kujiunga taasisi ya kusaidia makundi maalumu

    Habari zenu wanaukumbi wenzangu? Ndugu zangu mimi ni kijana wa kitanzania nimeajiriwa idara ya elimu sekondari mkoani Mwanza.Ombi langu kwenu ni kuhusu dhamira yangu ya dhati ya kutaka kujiunga na taasisi zisizo za kiserikali zenye lengo la kuwasaidia ama kupigania haki za watu wa makundi...
  13. Mkomawatu

    Natamani kuacha Ualimu nijikite kwenye siasa

    Habari za leo ndugu wanaukumbi? Heri ya mwaka mpya 2014.Ndugu zangu mimi ni mwajiriwa wa serikalini idara ya Elimu.Binafsi napenda siasa na ipo kwenye damu yangu,hata nilipokuwa chuo kikuu nilifanikiwa kushika nyadhifa katika serikali ya wanafunzi pale UDOM.Ndugu zangu kutoka moyoni natamani...
  14. Mkomawatu

    Natamani kuacha Ualimu nijikite kwenye siasa

    Habari za leo ndugu wanaukumbi? Heriya mwaka mpya 2014.Ndugu zangu mimi ni mwajiriwa wa serikalini idara ya Elimu.Binafsi napenda siasa na ipo kwenye damu yangu,hata nilipokuwa chuo kikuu nilifanikiwa kushika nyadhifa katika serikali ya wanafunzi pale UDOM.Ndugu zangu kutoka moyoni natamani...
  15. Mkomawatu

    Mwenye taarifa usahili PCCB

    Habari za leo wanaukumbi wa Jamii forum.Natumia fursa hii kuuliza kama kuna wadau wenye taarifa kuhusu nafasi za kazi tulizoomba PCCB.Tafadhali naomba tufunguke wadau.
  16. Mkomawatu

    Mwalimu anayetaka kuja Ukerewe

    Habari zenu ndugu wadau?.Mimi ni mwalimu wa idara ya sekondari wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza,nahitaji kubadilishana na mwalimu aliye katika mikoa ya Pwani,Tanga,Arusha na Morogoro.kwa mawasiliano zaidi piga 0757920263.
  17. Mkomawatu

    Naomba ushauri nimechaguliwa Baraza la UVCCM wilaya

    Habari ndugu wadau wenzangu? Ndugu zangu nimechaguliwa kwenye nafasi ya mjumbe wa Baraza la Vijana ngazi ya wilaya katika uchaguzi wa kujaza nafasi zilizokuwa wazi.Natumia fursa hii kuomba ushauri wenu ili kuongeza ufanisi wangu katika nafasi ili niweze kupeleka mbele maendeleo ya vijana...
  18. Mkomawatu

    Mwalimu wa sekondari aliye tayari kuja Ukerewe

    Habari ndugu wanaukumbi?.Mimi ni mwalimu wa sekondari niliyeajiriwa mwaka huu hapa wilayani Ukerewe.Naomba kubadilishana kituo cha kazi na mwalimu aliyepo Wilaya yoyote ile mkoani Morogoro,Pwani au Tanga.Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0757920263 na 0718073753.
  19. Mkomawatu

    Nina ndoto za kuwa mwanasiasa

    Habari zenu wadau wenzangu wa JF?.Naam bila shaka nyote wazima.Ndugu zangu mimi ni mwalimu wa sekondari nimeajiriwa mwaka huu,ila ndoto zangu kubwa ni kuwatumikia Watanzania wenzangu katika harakati za kisiasa na uongozi.Naomba ushauri wenu ndugu zangu.
  20. Mkomawatu

    Naomba ushauri: Naandamwa na ndoto za siasa na utawala

    Habari zenu wadau wenzangu wa JF.Ndugu mimi ni kijana wa kitanzania ambaye nimeajiriwa serikalini katika ajira ya ualimu idara ya shule za sekondari. Ndugu zangu kwa miaka kadhaa ya karibuni nimekuwa nikitokewa na ndoto za uongozi wa nyadhifa za juu ndani ya jamii yangu,ndoto hizi huambatana na...
Back
Top Bottom