Search results

  1. mwana wa mtemi

    Zanzibar 2020 Profesa Mbarawa atapita Zanzibar kwa zaidi ya 80%

    Rejesho huru usilete utani kwenye mambo ya msingi
  2. mwana wa mtemi

    Zanzibar 2020 Profesa Mbarawa atapita Zanzibar kwa zaidi ya 80%

    Wakuu baada ya Mwalim Seif kutangaza nia ya kuwania Urais Zanzibar, ni dhahiri shahiri Profesa Mbarawa atapita kwa kishindo kikubwa! Prof amezidi kuipaisha nyota yake katika utendaji wenye mafanikio makubwa kwa Wizara alizosimamia zenye kuhudumia Watanzania zaidi ya 58+ Million! Kwa Zanzibar...
  3. mwana wa mtemi

    Shule za Msingi na Sekondari za binafsi kuwa na akaunti mbili za kulipia ada na michango mingine TRA iziangalie kwa jicho la tatu kodi zetu

    Asante mkuu Lesiriamu hawa wamilki wa shule wameamua kushambulia lakini ujumbe umefika
  4. mwana wa mtemi

    Shule za Msingi na Sekondari za binafsi kuwa na akaunti mbili za kulipia ada na michango mingine TRA iziangalie kwa jicho la tatu kodi zetu

    Nia njema hailogwi! Wito wangu ni je TRA wanaujua huu mchezo na hauna halufu ya kukwepa kulipa kodi? Wakinijibu sawa lakini kama kuna mapato yanafichwa kwenye akaunti nyingi nyingi lazima walipe kodi kulingana na makusanyo
  5. mwana wa mtemi

    Shule za Msingi na Sekondari za binafsi kuwa na akaunti mbili za kulipia ada na michango mingine TRA iziangalie kwa jicho la tatu kodi zetu

    Kama Komba alifariki ndo wakwepe kulipa kodi lete waraka unaoruhusu kuwa na akaunti nyingi nyingi vinginevyo waanze kutoa control number na wao
  6. mwana wa mtemi

    Shule za Msingi na Sekondari za binafsi kuwa na akaunti mbili za kulipia ada na michango mingine TRA iziangalie kwa jicho la tatu kodi zetu

    Katika kipindi hiki cha watu na taasisi mbalimbali kutakiwa kulipa kodi kwa maendeleo ya nchi ukwepaji wa kulipa kodi bado upo na ni muhimu kuangaliwa kwa makini Mfano shule ya msingi au sekondari kuwa na akaunti mbili tofauti inawezekana kabisa wakati wa auditing akaunti moja ikawa inakaguliwa...
  7. mwana wa mtemi

    Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola

    Kama ni kweli ndiye alikuwa anaandikia The Economist hakika hafai kuwa nje ya gereza tumepambana sana kumjua mtoa matusi na mharibu taswira ya nchi yetu Alichokuwa analipwa ili kuchochea hasira dhidi ya Mataifa ya nje na wananchi kisaidie ndg zake Mshenzi sana na kundi lake lililokuwa...
  8. mwana wa mtemi

    Kitila Mkumbo: Mafanikio na utata wa Membe kidiplomasia

    Ajiandae kujitetea mahakamani fedha ya Libya haikuwa ya kufanyia uhuni ilikuwa ya maendeleo
  9. mwana wa mtemi

    USD Bilioni 52.8 ( TZS 121 Trilioni ) zilizozuiwa na Magufuli kuingia kwenye Uchumi wa Tanzania tangu mwaka 2015

    Tueleze pia waliokuwa madalali wa hiyo miradi Yote uliyoitaja ilikuwa imeandaliwa kulifanya Taifa shamba la bibi na wachache kuneemeka Tutajie hao Orphir na uhusiano wao na waraka wa makatibu wakuu Mchumi gani unakuwa too biased
  10. mwana wa mtemi

    Kwa mbali nimeanza kuuelewa ulinzi mkali wa Rais...

    Kilimo hoi Rais amezuia mvua au amezuia zana za kilimo kuuzwa au ameziba njia za kwenda mashambani You're hopeless
  11. mwana wa mtemi

    Wito wa Dharura wa Zitto Kabwe kwa Benjamin Mkapa, Jakaya Kikwete, John Malechela, Cleopa David Msuya, na Viogozi wote wakuu wastaafu

    In Tanzania there are two offences which carry the death penalty: murder and treason. Under section 197 of the Penal Code (Chapter 16), ‘any person convicted of murder shall be sentenced to death.’ This is a mandatory requirement which leaves the court with no option but to pass the death...
  12. mwana wa mtemi

    Wito wa Dharura wa Zitto Kabwe kwa Benjamin Mkapa, Jakaya Kikwete, John Malechela, Cleopa David Msuya, na Viogozi wote wakuu wastaafu

    Huwezi kuanzisha ugomvi katikati uanze kuhitaji msamaha na support!! Mamluki walioshiriki huu uhuni walitajwa kwamba hao wanaojiita makatibu wakuu wastaafu waliwaomba ushauri kwao, Mh Rais awe na moyo wa nyama lakini kama clip hizo na matusi hayo ni kauli zao clearly TREASONOUS ACT have been...
  13. mwana wa mtemi

    Dr. Bashir Ally ni kiongozi wa CCM aliyeshindwa kabisa, ameshindwa kulinda Wastaafu wa Chama chake

    Wajitete wenyewe kwa kudai haki mahakamani Kama kuna ukweli atetee uovu?
  14. mwana wa mtemi

    Uchaguzi 2020 Miraji Jumanne Mtaturu anatosha 2020 Ikungi

    Kumekucha hayawi hayawi yamekuwa
Back
Top Bottom