Search results

  1. R

    Bush na Kikwete; Hizi ndio sababu za kupayuka kwetu?

    Alipata daraja gani katika degree yake, etc. Kwetu sisi sifa pekee tunayoing'ang'ania ni: amekuwa kada miaka mingapi, ana ujanjaujanja kiasi gani. Madaraja kwenye degree hayaonyeshi uwezo wa mtu. Kuna watu wana madaraja ya kutisha lakini bado mbumbumbu. Hiyo siyo point. Matokeo yake...
  2. R

    Obituary: Zambia's Levy Mwanawasa

    Mwanawasa hajafa. Yupo salama salimini anavuta hewa ya bure aliyopewa na mwenyezi
  3. R

    The road towards 2010 Elections

    Point yangu. Tuandae watu kwa ajili ya kuitoa CCM. Lakini maandalizi yafanywe kisayansi, siyo kukurupuka.
  4. R

    The road towards 2010 Elections

    Poleni sana wana JF. Mimi nadhani bado tunahitaji kufanya utafiti wa kina kuhusu mgombea wa uraisi ajaye. Kwa sababu hao wote mliowataja hakuna anayefaa katika TZ ya sasa iliyojaa ufisadi uliokithiri. Asilimia 90 ya watanzania ni mafisadi kwa level zao. Kuna wale wanaokula hadi wanajipaka kama...
  5. R

    Who is Salim Ahmed Salim?

    Huyo mtu mnayemsifia kwa ma honorary Doctorates sio msafi kama mnavyodhani. Ulizeni TTCL aliwafanya nini? Zimbabwe wamemchagua Morgan Tsvangirai hata darasa halijui. Afrika ya kusini wanampenda Jacob Zuma. Hajui hata darasa lilivyo. Mnadhani hawana akili? Tunataka kiongozi mwenye uchungu na...
  6. R

    Who is Salim Ahmed Salim?

    Mmmmmmm angalieni sana. Msianze kupigia debe mafisadi wengine. Tunataka mtu safi asiye na doa.
Back
Top Bottom