Search results

  1. salmar

    Mzee Aboud Jumbe na dhana ya muungano

    By eddy reyamy George Githii alikuwa Mhariri Mkuu wa gazeti la Nation. Githii aliandika taazia ya Jomo Kenyatta wakati Kenyatta yu hai hajafa. Bahati mbaya sana kwa Githii, Kenyatta akapata taarifa kuwa kaandikiwa taazia mapema inamsubiri afe tu Githii aichape. Kenyatta hakufurahishwa na habari...
  2. salmar

    TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

    Mzee Aboud Jumbe amefariki dunia muda si mrefu. Ni baada ya kuugua muda mrefu. Amefia nyumbani kwake Mjimwema Kigamboni. Marehemu alizaliwa Juni 14, 1920. ======= UPDATE: JamiiForums imethibitisha kutokea kwa msiba huu. ====== Toka Ikulu ============================ UPDATE Rais wa...
  3. salmar

    Dr Slaa katika ubora wake

    Yetu macho
  4. salmar

    ccm yamuekea pingamizi mwakilishi wa ukawa

    mwakilishi wa chukwani ndugu mansour yussuf himid amewekewa pingamizi na ndugu mwanaasha khamis juma sababu eti kadanganya
  5. salmar

    CCM watakua Pemba leo

    Ccm watakua na mkutano pemba leo na kesho watakua kibanda maiti kujibu hoja za ukAwa UKAWA wametuonesha njia wa zanzibari hawahadaiki na ulaghai wa ccm abadan ZANZibar huruuuuu
  6. salmar

    tanzania daima.waraka wa muungano ni zimwi

    Bunge la maalum linaloendelea dodoma kwa takriban miezi miwili sasa limekua kizungumkuti cha aina yake. Baadhi ya watu wa zanzibar wameanza kudhani bunge hilo ni kama mchezo wa mpira. Baada ya vuta nkuvute juu ya njia ya kupiga kura na pia kuchangiwa na hotuba ya kikwete limezuka jambo lengine...
  7. salmar

    PICHA: Mh. Mbowe akiwa beneti na Rais Kikwete

    Hivi najiuliza si huyu Mbowe aliembandika tuhuma Zitto kama yuko karibu na CCM sasa yeye anafanya nini hapo. Huyu jamaa ni kigeugeu kweli.Siasa sio uadui kwa wengine kwako wewe sawa.
  8. salmar

    Ni nani ni msemaji wa CHADEMA?

    Kwa heshima na taadhima nataka kujuzwa nani ni msemaji wa CHADEMA. Naomba kuwasilisha
  9. salmar

    Mtoto alie kufa jana wet n wild amezikwa Zanzibar

    Ni huzuni na simanzi kwa wana familia na majirani kutokana na kifo cha mtoto Ally Hassan mwenye umri wa miaka 8 kilichotokea jana kwenye hoteli ya wet n wild ilioko Kunduchi Dar es salaam.
  10. salmar

    Jee tutaiamini vipi huo waraka ulomfukuza zito

    Habari zenu Tujikumbushe matokeo ya waraka alouleta yerico nyerere kwamba umetoka chadema alafu hao hao chadema wakaja wakaukana Kwa mtazamo wangu na huu waraka pia umetungwa na chadema kumdhalilisha zito hilo lajulikana Mbona shibuda haguswi ama dini yake inamsaidia Nawakilisha
  11. salmar

    Siasa imetawala sekta ya usafirishaji njia ya baharini

    Nikiwa muathirika wa hili naomba serkali na mamlaka husika kuchunguza na kutuondoshea madhila haya ya usafiri Leo saa kumi na mbili kamili nilikua kwenye oFfice ya azzam nikaambiwa boat imejaa kwanzia saa moja mpaka saa sita kama ninma safari niondke saa sita mchana hivi biashara gani...
  12. salmar

    I cant go to sleep in butiama and let my country go to dogs

    I cant go to sleep in butiama and let my country go to dogs hayo yalikua maneno ya mwali nyerere rais wa kwanza wa tanganyika mwaka 1995 hayo maneno alimlenga mrema so sion sababu ya watu kumlaumu nkamia imeanza kwa mwanzilishi wa CCM naomba tujadili ukweli na utashi
  13. salmar

    Mahakama yawafutia kesi moja viongozi wa Uamsho Zanzibar

    MAHAKAMA ya Mwanakwerekwe, Zanzibar imefuta kesi iliyokuwa ikiwakabili viongozi kumi wa Jumuiya ya Uamsho, visiwani Zanzibar. Mahakama hiyo, imefikia uwamuzi huo leo, wakati viongozi hao walipofikishwa Mahakamani hapo. Hii ni kwa mujibu wa taarifa fupi niliyoibandua kutoka ukurasa wa...
  14. salmar

    zanzibar njema atakae na aje

    Nikiwa kisiwani zanzibar kikazi leo ni ya pili mwenyeji wetu kabla hajatupeleka hotelini aliniambia nakukaribisha mbongo zanzibar njema atakae na aje. Naam na nikweli mji umetulia raia wametulia pata dinner yetu forodhani ohoooooooooo classic kabisaa hamna rabsha wala nn kweli walioupandikiza...
  15. salmar

    R.O.M.A Tanzania best artist ever

    ,Ni kijana wa kitanzania mwenye upeo wa hali ya juu mimi na umri wangu wote sisikilizi nyimbo za kitanzania ila huyu jamaa acha mwanangu ukirudi mjini ptia kwangu na uniletee album yake huyu mwimbaji. Haya yalikua maneno ya babaangu mzazi jinsi alivovutiwa na wimbo wa...
  16. salmar

    Swalli kwa waziri muhongo

    Waziri muhongo suali langu ni kwa nini tokea jana munatuzimia umeme toka asubuhi mpaka jioni ndo munauasha jee kuna mgao wa umeme je kuna matatizo n y unazimwa bila ya tAarifa sasa hii hali ishakua mbaya maana vitu vinaoza na ww ulisema shida ya umeme sasa basi kulikoni ama waziri huwezi...
  17. salmar

    ZFA ni sawa na maskani ya CCM ya kisonge

    Ndugu zangu ma great thinkers na mods wa jf plz musiifute wala kuipeleka mada hii kwenye jukwaa la michezo cuz haifungani huko hii mada ni ya kisiasa zaidi. Nikiwa na mshangao vipi kikundi cha watu wanaojiita ZFA waweze kuamua mambo yao kisiasa na sio kusimamia mchezo wa mpira...
  18. salmar

    Vigogo kumi na sita wa bandari wasimamishwa kazi

    Waziri wa uchukuzi Mh. Mwakyembe amewasimamisha kazi wakurugenzi kumi na sita kwa shutma ya kulichafua shirika la bandari. Vigogo hao wamekua na tabia ya kufungua vikampuni vyao ndani ya shirika huku ajira kupatika mpaka uwe na mjomba ngazi za juu. Source TBC
  19. salmar

    mauaji ya ujambazi kariakoo

    Watu wawili raia wa-Kisomali wameuawa na majambazi walikuwa wanaelekea bank kupeleka hela ila jambazi mmoja amekamatwa ndio huyo. Kama mtu unajua uliibiwa chochote nenda pale polisi kawe (karibu na Tanganyika packers). Wamekamata vitu vingi kwenye nyumba ya huyu jamaa (Rama...
  20. salmar

    Airport yetu ya Dar inanuka uozo wa rushwa!

    Nikiwa muathirika mkuu wa jambo hili limeniuma sana tena sana na sijui watanzania wangapi washafanyiwa hili jambo. Nikiwa miongoni wa wasafiri na kusubiri mizigo yetu pale sehemu ya kukusanyika mizigo nami nilikua na ka TV kangu nimekuja nacho kumbe sikua peke angu na kulikua na wazungu nao...
Back
Top Bottom