Mkuu Halmashauri zimeshindwa kusimamia ukuaji wa miji.Yaani Dodoma isingekuwa na chombo kilichoundwa kusimamia mji,Dodoma isingepangika vile.
Serikali pia iongeze fedha katika miji mingine na ikiwezekana iundwe Mamlaka ambayo haitakuwa inaingiliwa na Madiwani,kwani wao wanachangia usimamizi...
Mkuu Halmashauri zimeshindwa kusimamia ukuaji wa miji.Yaani Dodoma isingekuwa na chombo kilichoundwa kusimamia mji,Dodoma isingepangika vile.
Serikali pia iongeze fedha katika miji mingine na ikiwezekana iundwe Mamlaka ambayo haitakuwa inaingiliwa na Madiwani,kwani wao wanachangia usimamizi...
Mkuu nilikuwa nashauri,tujaribu kupanga miji yetu vizuri katika hizi Wilaya mpya zinazoanzishwa kwa kufuata Mipango miji ya kisasa:
[1].Tutafute wilaya mpya chache tuanze nazo na iwe mfano kwa Madiwani,kwani wao ni waamuzi katika ngazi ya chini wasio elewa umuhimu wa kuwa na miji uliopangika...
Kibaya zaidi,watawala wanayaweka maisha ya watumishi wa umma hatarini.!sasa kazi imefanyika,ushahidi umepatikana ,kweli nani atakubali kufanya kazi za hatari katika kufuatilia mambo yanayofanywa na mitandao ya viongozi?Awamu hii,itaondoka na rekodi mbaya sana,historia itawahukumu.
Ndio maana Walaji wakashawishi kuvunjwa kwa baadhi ya Kamati za Bunge,na Kuzuia Taarifa ya CAG isijadiliwe bungeni,na mwanya huu na utaratibu huu utatumika kuchukua fedha kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015.
Nahisi,ili kuwepo kwa ahadi mbalimbali za kuwapa matumaini watu wa kusini zitaendekea kutolewa katika kila Wizara yenye miradi kusini ya nchi;
Mfano Wizara ya ujenzi wanasema kipande cha barabara kilichobaki kitakamilika Disemba mwaka huu,na
Wizara ya Nishati watatoa ahadi zao kama bajeti...
wafanyabiashara wengi Tanzania wamezoea kuweka bei bila kujali hali ya soko,mfano kila siku bei zinapandishwa kwa visingizio vya thamani ya dola kupanda,siku thamani ya dola ikishuka hapa tanzania hakuna mfanyabiashara anayeshusha bei .!!!!,hili ni fundisho kwa wafanyabiashara kupanga bei kwa...
Job description ya DC?,daily action plan?
Bado semina na mafunzo wa Viongozi zinatakiwa kufanywa tena,na wapewe mtihani wa darasani ili kupima uelewa wao.
Awamu hii taasisi nyingi hazipati fedha ya kutosha,usishangae matatizo yapo kwenye Tasisi kama hii.Mambo mengi hayafanyiki kwa uwazi katika kuzihudumia taasisi zilizo chini ya wizara ya Elimu,hii ni kwa sababu ya Ubinafsi,na kutokuwa na nia ya dhati ya kuwasilisha na kushughulikia matatizo...
kweli,atakuja kujiongezea utajiri wa makampuni yake.Nasikia siku za nyuma palikuwa na balozi wa kenya alikuwa anafanya biashara Dar,na hakuna chombo cha dola kinachowazuia kufanya biashara bila kufuata taratibu,KWELI WAJINGA NDIO WALIWAO.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.