Search results

  1. E

    Stiegler's gorge hydropower project

    uliona mbali sana, ni kweli kabisa mpaka leo hiyo project iko mifukoni mwa wenyewe! Hii ndio Tanzagiza!
  2. E

    Magufuli afanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa, Wilaya. Mulongo atemwa, Polepole ahamishiwa Ubungo..

    wameteuliwa kwa ajili ya kushirikiana na viongozi pamoja na wananchi kuleta maendeleo au kwa ajili ya kuwamaliza au kuwaumiza au kuwadhibiti UKAWA?
  3. E

    Naomba vyombo vya Dola kuwa makini na usanii mpya wa kuchangia Lowassa

    Sioni ni tatizo! Huu utaratibu upo kwenye nchi za watu na hasa ambazo zinatupa misaada. Kama ulifatilia kampeni za Obama utakuwa shahidi wa hili (donation ilikuwa inaanzia USD 10 na kuendelea) na ilikuwa kwa wamarekani na wasiokuwa wamerekani na sasa wanaendelea kutoa donation kwa health...
  4. E

    UKAWA ya Lowassa yapumulia mashine, BAVICHA wakosa hoja

    Kikwendu na Prof. Maji Marefu nani zaidi? na wengine unaowajua wewe kupitia nyinyiem. Nasikia kuna mmoja kabla ajaanza kuact bongo movie alikuwa anafanya biashara ya naniiiii!
  5. E

    Picha za campaign UKAWA wilayani Mufindi na Iringa mjini

    wana Iringa katika ubora wao. Hakikisha kichinjio chako kiko salama na kufanya kweli tarehe 25/10/2015. Malofa katika ubora wetu.
  6. E

    CHADEMA kususia kuhudhuria mkitano mkuu na uzinduzi wa ACT-Tanzania

    pasipo kuitaja CHADEMA siku haiendi na familia inakosa chakula. CDM hawataudhuria mkitano kama ulivyosema ila watahudhuria mkutano.
  7. E

    Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

    sitaki kujua kama kuna ukweli ndani yake ama la! Ila tatizo ni nini mpaka ulete mada hii? Kuna tatizo mwanaume kuzaa nje ya ndoa kama ameamua kufanya hivyo? Huyo mheshimiwa mkuu wa kaya ana watoto wangapi nje ya mke au wake zake halali? Umetumwa kupost au ni akili zako mwenyewe??.Inasikitisha sana.
  8. E

    Nafasi za kujitolea katika makampuni mbalimbali

    Hakuna kinachoshindana, fika ofisini kwetu au piga hiyo namba ya simu kwa maelezo zaidi.
  9. E

    Nafasi za kujitolea katika makampuni mbalimbali

    piga hiyo namba ya simu kwa maelezo zaidi mkuu.
  10. E

    Nafasi za kujitolea katika makampuni mbalimbali

    IMED tumeanzisha BRIDGE Program kuwapatia vijana waliomaliza vyuo ngazi zote fursa kufanya kazi kwa miezi 6 sehemu mbalimbali kwa kujitolea kujenga uzoefu na kuonyesha umahiri wao. Pia watapata mafunzo kuwawezesha kuthaminiwa zaidi na waaajiri au kujiajiri. Chukua tangazo na fomu kuomba...
  11. E

    Chadema wapanga kuvuruga uchaguzi, red brigade kutumika!

    na wewe ni mmojawapo au ndio wale vijana walioandaliwa na Mwiguru kwa kuwavisha combat za CHADEMA ili kuwaaminisha watanzania CDM ni chama cha vurugu. Kama haupo kati ya vijana wa Mwiguru umeyajuaje hayo? Vijana tuache kutumika kwa njaa zetu na kwa manufaa ya wengine ambao wanajielewa...
  12. E

    CCM Inajiandaa kukabidhi nchi kwa CHADEMA-Lwaitama

    Kwani CDM anakusanya kodi au anaongoza serikali? Nina mashaka na upeo wa uelewa wako kuhusu uendeshaji wa serikali. Ulishampa nchi CDM akashindwa kutatua kero za wananchi? CCM ndio imeunda serikali lakini uwezo wa kutatua shida za wananchi ni chini ya 40%.
  13. E

    My Apology to JamiiForums, by Chris Lukosi

    Unaomba msamaha na ndani yake unapiga majungu yasiyokuwa na tija kwa kuongea mambo ya kinafiki. Kitendo hicho si cha kiungwana bali unadhihirisha ni jinsi gani unavyotumika pasipo kushughulisha akili yako.
  14. E

    CHADEMA yapata pigo wilaya ya Lushoto usiku wa kuamkia leo

    RIP mpambanaji, tulikupenda sana lakini Mungu amekupenda zaidi. Tunaahidi kuyaendeleza mapambano ya kudai haki za wanyonge pasipo kuchoka.
  15. E

    Chadema vyuoni yafa kwa kasi.

    Ndio mlivyoambiwa mlivyoenda kwenye kikao chenu kilichokuwa kinaongozwa na Wasira na nyinyiem wengine kwa kutumia mabasi ya chuo cha UDOM? Tumeyasikia yote mliojadili uku wengi wa wanafunzi walioudhuria walikuja kuchukua posho na pia nasikia walikuwa wanawapigia makofi akili ndogo kwa...
  16. E

    Kwa hili, Dr. Slaa wewe ni 'Mdini' pia!

    Usiongee maneno usiyokuwa na uhakika nayo ndugu, uchaguzi wa 2010 makanisa yalizuia waumini kufanya kampeni za aina yoyote katika maeneo yanayozunguka kanisa ila kwa upande wa pili hali ilikuwa tofauti. kauli zako ni zi zakichochezi waziwazi tafuta point nyingine ya kumuusisha Dr. Slaa na udini...
  17. E

    LIVE UPDATES: Mkutano wa CCM Morogoro

    mimi nilifikiri unaniambia ccm wametekeleza ahadi zao lukuki walizotoa 2010! Kumbe kama kawaida yao wamesomba watu kwa magari na kuwakalisha kwenye viti kwa posho ya elfu 5 na pia kuwadanganya na wabana sauti wa bongo flava? Kwa akili ya kawaida inasikitisha sana na sikutegemea kwa kijana wa...
  18. E

    Walioomba mafunzo ya ualimu: Tazama jina lako hapa!

    asante kaka, nitizamie Mary Daud - 111A.
  19. E

    Diwani wa Mianzini (Dar) afariki dunia

    Mungu alitoa na ametwaa, jina lake lihimidiwe. Amen.
Back
Top Bottom