Search results

  1. sigitoro

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo singida manispaa nije tanga korogwe mji,tanga jiji au morogoro manispaa,Idara secondary 0783180191
  2. sigitoro

    Shiriki shindano la #ChinaMade kujishindia simu ya Huawei au Xiaomi Arm Band

    #ChinaMade Nakumbuka mwaka 2011 nikiwa chuo mwanafunzi wa mwaka wa pili pale iringa SAUT nilipata likizo ya kurudi nyumbani mbeya kwa ajili ya sikukuu ya christimass na mwaka mpya,nilipofika mbeya nilimkuta baba yangu kanunua simu aina ya samsung duos kwakweli niliipenda sn lakin baada ya...
  3. sigitoro

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    msaada jmn uzuri na ubaya wa nissan march
  4. sigitoro

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Msaada jmn nimetokea kuipenda hii gari bt inaniogopesha mbn bei yake iko cheap sn yard hd mtaani ss nahitaji msaada nijue uzur wake na ubaya wake
  5. sigitoro

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kwa alie tayari kuja lindi nachingwea idara ya sekondari mimi niende njombe ,iringa ,mbeya tuwasiliane kwa 0655292617 au 0757292617 karibu lindi nachingwea
  6. sigitoro

    Nina budget ya 1.2mil nahitaji pikipiki boxer nyekundu

    Kwa wakaz wa dar natafuta pikipiki boxer rangi nyekundu ambayo no zake zianzie C.. na iwe imetumika chini ya miezi nane km unayo ni pm au wka no yako nikucheck kwa hewa na unitumie picha zake niione tufanye biashara.
  7. sigitoro

    Nataka kuhama mfuko wa PSPF

    Kabisa CAG apite na hapa kuna uozo mwingi kweny huu mfuko jmn
  8. sigitoro

    Nataka kuhama mfuko wa PSPF

    kweli kabisa kk na tunaelekea uchaguz sintashangaa mwakan watu wakistaff wasilipwe mafao yao mpk 2016 na kuendelea
  9. sigitoro

    Nataka kuhama mfuko wa PSPF

    kaka unaanza kufuatilia mwaka mmoja kabla ukiombwa salary slp ya mwez wa mwisho unaostaff utatoa nn?
  10. sigitoro

    Nataka kuhama mfuko wa PSPF

    Asante sn yan huu mfuko unanipa uoga sn tunaweza staff tusipewe pesa zetu kwa muda mrefu sn
  11. sigitoro

    Nataka kuhama mfuko wa PSPF

    Kaka usitetee ujinga wa huu mfuko me navyokwambia mstaff huyu ninaemwona anahangaika mpk ss kudai mafao yake ni ndugu yangu na kila kitu kakamilisha bt wanamzungusha tu hapo mbeya mara tuyapiga cm dar mara cjui unashughulikiwa kuwa mvumilivu toka mwez wa sita till nw
  12. sigitoro

    Nataka kuhama mfuko wa PSPF

    Utafuatiliaje mwaka mmoja kabla wakati huwa wanadai results slp ya mwisho utakapo staff,ukiombwa salary slp ya mwez wa kustaff utatoa nn?
  13. sigitoro

    Nataka kuhama mfuko wa PSPF

    Jamani naomba ushauri kuhusu huu mfuko kwasababu wastaafu wengi wanalalamika wanachelewa lipwa mafao yao kwa wakati mtu kastaafu mwezi wa sita mpk ss hajapewa mafao yake na data zote kapeleka sehemu husika haki kweli hii au pesa zetu zinaliwa huko jamani
  14. sigitoro

    Idadi ya fimbo anazotakiwa kuchapwa mwanafunzi

    wewe mzazi unajifanya una akili sn na ukitaka mtt wako aharibike endelea kumtetea kwa mambo ya kipumbavu eti asipigwe bakora mtoto wakiafrika km unaona anaposoma mpeleke ambako hawachapi au kaa naye nyumbani kwako mfundishe,ONDOA HOJA ZA KIJINGA HAPA UNATUMALIZIA BANDO TU
  15. sigitoro

    Hongera Airtel kwa vocha za vifurushi Voda tupa kuleeee...

    kiukweli vocha hizi zinatuokoa watu wa kipato cha chini hebu fikiria 20 DK mitandao yote,300 sms na 125MB kwa 500tshs wkt voda 500tshs ni Dk 8,sms 300 na MB40 voda tupa kuleeee navunja line ss hv
  16. sigitoro

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo singida municipal idarara sec nije morogoro,pwani,tanga
  17. sigitoro

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo singida municipal idara sec kutoka morogoro municipal,kibaha,mlandizi, na chalinze plz ni PM
  18. sigitoro

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Idara ya sec njoo Handeni Tanga shule iko jirani na korogwe mjini hivyo unaweza kaa korogwe mjini na kufanya kazi uwe unatoka Morogoro town,chalinze,mlandizi,tanga jiji, na kibaha
  19. sigitoro

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Jaman msije jiloga mkanunua vifurishi vya voda unlimited havina speed kabisa yani net inasinzia kabisa kweli vya bure gharama
Back
Top Bottom