Search results

  1. R

    Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

    Wana JF nisaidieni, katika masuala mazima ya sex, huwa na enjoy sana kama mpenzi wangu akinyonya cone mpaka nimwage mdomoni mwake. Halafu baada ya hapo navaa condomu kwa ajili ya sex. Je hii inaathari zozote aidha kwangu au kwake? Naomba msaada.
  2. R

    Nimkubalie?

    Wewe ni mtu mzima, unajua kila kitu, kwani unataka kutuambia kwamba hukuwahi kutembea na mwanaume yeyote ila mme wako tu? Je kama ulishawahi unatuuliza nini, tumia mbinu ile ile unayotumia kwa wanaume wako wengine.
  3. R

    Mafisadi Kuchapwa Viboko Uwanja Wa Taifa.

    Kwa kuwa Baba wa Taifa mwalimu Nyerere alichukia sana rushwa na ufisadi, na kwa kuwa mafisadi hawa walijua wazi msimamo huo wa mwalimu na wamefanya ufisadi huu baada ya kifo cha mwalimu, na kwa kuwa siku zote wamekuwa wakituadaa kwamba wanamuenzi mwalimu, na kwa kuwa wanajua ilikuwepo sheria ya...
  4. R

    Mkapa na Gazeti la RAI

    Ndugu yangu nakuunga mkono kwa asilimia 100, Mkapa ni raia kama raia wengine, awajibishwe kama wanavyowajibishwa raia wengine. Ametuingiza kwenye matatizo makubwa, Yeye pamoja na genge lake la mafisadi wamekomba kila kitu na sasa wamekaa kimya wanajifanya MABUBU. Huyu Mkapa si ndiye alikuwa...
  5. R

    Dawasco Hoi.

    Mamlaka ya maji safi na maji taka (DAWASCO) sasa inachungulia kaburi. Kampuni hii sasa imefikia hatua ya kushindwa kununua mafuta ya magari kwa ajili ya shughuli zake za kawaida za kila siku.Leo asubuhi mida ya saa nne na nusu nilienda katika ofisi za makao makuu ya Kampuni hiyo ili kulipa bili...
  6. R

    Kubenea kumwagiwa tindikali: Nini chanzo?

    Mimi sisemi ila yote yanawezekana......
Back
Top Bottom