Search results

  1. R

    Hussein Bashe, zuia mahindi kutoka nje kwanza nchi ijitosheleze

    Wewe umelima mahindi wapi. Kama hujalima pita kushoto
  2. R

    Waziri Bashe acha kuchezea Kodi zetu kwa maono mfu! Kilimo siyo filamu

    Nadhani Waziri ana nia njema ya kuanzisha Kilimo biashara block farming kwa baadhi ya mazao kama Katani inafanya vizuri kutokana na soko la uhakika.Moja ya component za BBT ni pamoja na marketing ya mazao kwa hiyo nasema kazi iendelee
  3. R

    Waziri Bashe acha kuchezea Kodi zetu kwa maono mfu! Kilimo siyo filamu

    Hii ilishafeli huko nyuma. Walikopeshwaga wakaishia kufungwa na kujinyonga na kutoroka.
  4. R

    CHADEMA wamwanika Amos Makalla kwa ufisadi

    Kasome QT na wewe ukafanye huo ufisadi. Hata hivyo hayo malipo ya kawaida tu.
  5. R

    CCM kuwalegezea CHADEMA ili ionekane tuna misingi ya Demokrasia ni kukengeuka

    SISI TUNAJENGA NCHI WE BAKI NA CCM NA CHADEMA YAKO SIO MUDA WA VYAMA NI MUDA WA NCHI
  6. R

    Magufuli alifariki miezi 3 iliyopita lakini unaweza kudhani alifariki kabla ya Nyerere

    UKO SAHIHI KABISA NYERERE MOYONI MWINGINE KWENYE TV
  7. R

    Machozi yamenitoka kusikia Bandari ya Bagamoyo itajengwa, tena na Wachina

    We ENDELEA KULIA TU SISI TUNAJENGA NCHI
  8. R

    Kwanini hadhi ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya imeshuka sana?

    Hawawezi tena kutumia ubunifu wao. Kwa kuogopa kutumbuliwa
  9. R

    Mwenyekiti Ulinzi na Usalama (W) anaporatibu vurugu wilayani

    Ina maana polisi wameshindwa kumlinda DC OLE SABAYA
  10. R

    Uchaguzi 2020 Jimbo la Meatu litaenda CHADEMA iwapo CC ya CCM itafanya figisu kwenye uteuzi

    Kura watapiga wananchi wote kwenye vigezo. Tusitishwe na mgawanyiko mdogo
  11. R

    Je, Bunge likivunjwa Mawaziri wataendelea na kazi hadi Oktoba?

    Je Baraza la mawaziri linamhusisha Rais wa Zanzibar pamoja na mawaziri wa Zanzibar?
  12. R

    Hivi Ester Bulaya aliwezaje kuteuliwa awe Mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni!?

    Bulaya hakuweza kuteuliwa. Turudi shule kujifunza kiswahili
  13. R

    Jipatie Dagaa nyama- bara (uono- Tanga)( dagaa mchele- Dar) watamu na wasio na mchanga

    Labda watu bado wana hela za kununua samaki wakubwa
  14. R

    Mbeya: Sugu azuiwa kufanya mkutano jimboni licha ya kuwa na kibali. Mbona Tulia huwa anaruhusiwa ikiwa si jimboni kwake?

    Kwani nchi yetu ni maskini wa viongozi wa kulisemea hili la kamata kamata ya wanasiasa?
Back
Top Bottom