Search results

  1. M

    HOTUBA ya Kambi ya Upinzani Bungeni, Maliasili na Utalii na Peter Msigwa (FULL TEXT)

    Wabunge wanne wa sisiem watajwa majangili wa tembo
  2. M

    Wabunge wa CCM Wakibadili Mawazo Bungeni Nitarudisha Kadi yangu ya CCM Siku Hiyo Hiyo!!

    We mshukuru mungu mzee kifimbo alishatutoka vinginevyo ungelishawekwa kitimoto kama babako jumanne m. Sijui ungetokea ads!
  3. M

    Kingunge Ngombale-Mwiru alazwa Muhimbili (March, 2013)

    Duh, namkumbuka sana huyu Babu mwaka 2010 alipomtupia dongo Askofu Kilaini kuwa enzi akiwa kwenye dini kama mkristo mkatoliki angeenda kuungama kwa uongo wa Askofu. Baada ya kuzidiwa hoja na Kilaini Babu alifyata mkia.
  4. M

    Mwanafuni UDSM ajinyonga leo asubuhi

    Mungu akurehemu Njelekela, kama hatujakosea hawa kinanjelekela wanaweza kuwa wanatoka jirani na kizazi kile cha kina MUTWA WA VAHEHE, mwakajana tu walikuwa mkoa mmoja na sasa wapo mkoa mpya. Poleni wanyasa wa huko Ludewa
  5. M

    Je ni kweli kuwa watu kutoka Mbeya ni radicals? Kwanini inatokea mara nyingi Hudhuriwa?

    Niliamini kuwa wanyaki ni radicals lakini wazee wa mila na vijana wa kada mbalimbali kupitia taarifa ya habari ya STAR TV jana, ilionesha watajimaliza wenyewe kwa unafiki wao. Wanajidai kulaani maandamano na kuona chadema ni chama chenye fujo huku wiki mbili tatu zilizopita wakati kambi ya...
  6. M

    Tanzania na Ajira za Kujuana

    ndo chichiem ilipowafikisha na bado mnavaa t-shirt na kofia zao wakiwapa elf tano. Unasahau kabisa kuwa kunamaisha baada ya elfu tano kuisha.
  7. M

    2015: Urais wa damu Habari ya Mtanzania ya leo

    Nona mwandishi kama anataka KUFUNIKA M....A....V.....I KWA BAKULI! YATANUKA TU!
  8. M

    2015: Urais wa damu Habari ya Mtanzania ya leo

    Gazeti la mtanzania bwana! Waanze kuwa mashahidi namba moja! Nikiliona namkumbuka mbunge wa zamani wa igunga........ Hivi aliitwa fisadi papa au fisadi nyangumi?
  9. M

    Ninavyomfahamu Ludovick Joseph Rwezaura (kilio cha usaliti)

    Hii ni dalili wazi kabisa sasa inayoonesha jinsi gani watu wanataka kuua CHADEMA kwa kukishinikiza na udini. Ninasema haya kwa sababu gazeti la Jamhuri limeandika historia ya Joseph kuwa kasoma seminari na amefanya kazi VATICAN hadi unashangaa! Kuna uhusiano gani wa kuhusisha ukatoliki na...
  10. M

    Mwalimu Nyerere College Inahujumiwa!

    UMEWAHI FUNDISHA VYUO VYA ELIMU YA JUU WEWE! Kuna kazi! Kuna wadada wanajilengesha kama nini? Tena wanapenda sana kuingiaingia kwenye ofisi za wahadhili bila hata woga. Wakifika ofisini Mikao yao kama picha hiyo ya Mleta mada. Yaani ametega unafikiri yupo Kimboka Buguruni. HATA NINGELIKUWA MIMI...
  11. M

    Tweet ya CCM yenye Kingereza Kibovu iliyogeuka Kichekesho Kenya!

    It is hard to believe! This is EXTRA OMNES!
  12. M

    Absalom Kibanda: Namuogopa Abdurahman Kinana

    NDO KUSEMA HATA MWAKYEMBE ALIFANYIZIWA NA CDM, mh! Pole ndugu zangu wanambeya! Ulimboka, Mwangosi, Mwakyembe, na yule jaji nani aliyefia getini kwa kupigwa risasi! Duh! mbombo ghafu!
  13. M

    Picha na matukio: Mwenyekiti wa UVCCM taifa Sadifa Hamisi, Mtela Mwampamba na Shonza mkoani Morogoro

    walitumia hela nyingi sana kukusanya watu kutoka matombo, mgeta, kiloka, mkuyuni na maeneo mengi ya milimani. Wengine waliwapa elfu kumikumi lakini wakala na hawakusogea kwenye hizo mbururala zao.
  14. M

    Maaskofu Z'bar: Hatuhusiki na waraka wa vitisho

    Duh, boko haram, al qaida, al shababu, tuareg, msimamo mkali, uamsho, na mengine mengi. kazi kwelikweli! why? kwa nini?
  15. M

    Walimu kupongezana kwa matokeo mabovu ya wanafunzi ni uzalendo?

    Kada ya elimu: Msomi anaishia shahada ya kwanza serikali ya ccm haitambui kabisaa shahada ya pili, na hicho cheo hakipo katika serikali ya ccm. Hii ni hatari kubwa.
  16. M

    Ushauri wa bure kwa Shonza!

    "make more friends than enemies when you are growing up" kwani hujui mtakutana wapi! Hao wanaosema umeshika pabaya cdm si muda mrefu watakuacha upotee mwenyewe!
  17. M

    Tume ya ajira mzigo kwa serikali:

    kama ungelikuwa umefanya utafiti vizuri usingeacha kutaja wachagga na wahaya. Hawa ndo wanaongoza wengine cha mtoto. Siku hizi nimesikia hata kina mwanakampwala na wale wa turiripereke kituoni wanakuja juu.
  18. M

    CCM wapigeni stop Shonza na Mwampamba kuhubiri Udini, Ukanda na Ukabila....NI HATARI!

    Majibu ya shonza ni kama ya mlevi aliyelewa pombe aliyonunuliwa bila kuitolea jasho. Hajataka kufikiri wala kuitesa akili yake hata kidogo. Muda huu si wa kuongea mambo ya udini wala ukabila hata kidogo. Jaribu kufikiri nje ya box. Hivi wananchi wa GEITA wanaposikia kauli kama hizi watakuwa...
  19. M

    Josephat Isango, Mhariri wa Habari Tanzania Daima akamatwa na Polisi

    KUFIKIRI KWETU LAZIMA KUWE NA MASHAKA. MBONA SASA HIVI POLIS WENGI WAMESOMA? KWA NINI WANASHINDWA KUFIKIRI KWA VITU VIDOGO AMBAVYO HAVIHITAJI HATA SHULE? HIVI TANZANIA DAIMA UNAWEZA KULINGANISHA NA MAGAZETI YA AL NUUR NA AL HUUDA au NYAKATI? OH, LORD RESCUE IDIOTIC THINKING
  20. M

    Juliana Shonza na Mtela Mwampamba kuanika ukweli wa mambo, ni leo kwenye mkutano wa CCM jijini Dar

    NAWAONEA HURUMA, WAANZE KUNUNUA BASTOLA KAMA RAGE NA Dr. Kigwangala, Maana SIASA za CCM ni zaidi ya vita.
Back
Top Bottom