Search results

  1. prospa

    Penzi bila maumivu

    Daaa kweli majanga , lini tena???
  2. prospa

    Msanii Wema Sepetu arejea CCM, aitosa CHADEMA

    That z politics
  3. prospa

    Kafulila na Katambi wanawaambia watanzania, mkafie mbali

    Wote hao ni njaa tuu zinawapelekesha. Mda si mrefu watapewa ukuu wa wilaya
  4. prospa

    Jerry Muro kufanya mkutano na waandishi wa habari Leo saa sita kuwajibu CHADEMA

    Kwan yeye ni Nani, kichaa kishampanda huyu kwa kukosa kazi
  5. prospa

    Walofanya Interview Bank Tellers NMB Mtwara

    mpaka lini mdau kama una info tujuzane
  6. prospa

    Walofanya Interview Bank Tellers NMB Mtwara

    yaan ndo wanatuweka njia panda kama hatujapata waseme tu maana watu tumetumia gharama na mudaharafu hawasemi kitu hii sio fair
  7. prospa

    Walofanya Interview Bank Tellers NMB Mtwara

    Wapendwa wasaka ugali . hivi kuna mtu anajua chochote kuhusu interview ya Bank Tellers Mtwara (NMB), mm naona kimya sjui wenzangu mshaitwa???? tujuzane please
  8. prospa

    Kiboko Albino agunduliwa Masai Mara

    Duuuu basi sawa waache waendelee
  9. prospa

    Kiboko Albino agunduliwa Masai Mara

    Wazungu bwana amegundua au amemuona?
  10. prospa

    Sina uhakika na mimba hii kama ni ya mchepuko au mume

    Muulize Magufuli ............ kama hilo jipu la kutumbua au laaaaa
  11. prospa

    Baniani mbaya, kiatu chake dawa: Wa kushukuriwa ni Lowassa

    Jamani mi naona aloandika mzee Tupa Tupa ni ya kweli ila tuendelee kuvuta subira walau 100 days tutatoa tasmini yetu . sisi wapinzani ndo tunachokitaka nchi iendeshwe kwa haki na usawa, wasiwepo mabwenyenye katika nchi yetu. Nawasilisha
  12. prospa

    Magufuli, unayajua ya Hazina na Msajili wake mpya?

    Ni kweli jamaa aliharibu NBC na hata NMB alitaka kuingia kimagumashi wakamkataa pia NBC holding walimkataa BP Tanzania wakamkataa the same person wala hajaonewa alipiga hela NBC ila kwa sababu alikula na vigogo akaachwa tu
  13. prospa

    Natafuta mume anayeishi na virusi vya UKIMWI

    Kuna mtu humu asubuhi aliandika anatafuta mke mwenye VVU sasa si mpatane muanzishe family
  14. prospa

    CECAFA Robo Fainali: Ethiopia Vs Tanzania Bara

    nani kakosa?????
  15. prospa

    Magufuli, unayajua ya Hazina na Msajili wake mpya?

    Mafuru mi nilishangaa sana nilipo sikia eti ndo msajili wa hazina watu wa NBC walistushwa na habari hizo
  16. prospa

    Viwanja vinauzwa

    Mbona ni vidogo vidogo sana au umechanganya kati ya futi na mita mkuu
  17. prospa

    CECAFA Robo Fainali: Ethiopia Vs Tanzania Bara

    MMMMMMMMMMM MY God sasa kitumbua kishachafuka
  18. prospa

    CECAFA Robo Fainali: Ethiopia Vs Tanzania Bara

    Safi sana JB tunawategemea sana vijana wetu huko kwa wahabeshiiiii
  19. prospa

    Wanawake: Acheni kuwaiga waume zenu kutoka nje ya ndoa, mnavunja ndoa zenu wenyewe

    Wanyakyusa watakusaidia kuelezea , Simply means wanakomoana na atakaye umia ni mtoto au watoto
Back
Top Bottom