Search results

  1. T

    ninauza set ya vifaa vya mazoezi vya body building ambavyo ni locally

    kaka ushauri wa bure tupia picha tuone!
  2. T

    Ubungo: Wanajeshi wampa kisago traffic police...!

    Kasome katiba inakueleza tafsiri sahihi ya wanajeshi na sio kama unavyodhani
  3. T

    Ubungo: Wanajeshi wampa kisago traffic police...!

    Wengi wao ni IGNORANCE OF LAW!
  4. T

    Ubungo: Wanajeshi wampa kisago traffic police...!

    Kwa nini tulaumu trafiki badala ya kuangalia miundo mbinu ambayo itaondoa misongamano isiyokuwa na lazima! tafakari
  5. T

    Ubungo: Wanajeshi wampa kisago traffic police...!

    Kwani wewe ofisini kwako wote mko perfect??
  6. T

    Ubungo: Wanajeshi wampa kisago traffic police...!

    Wana JF Ni hivi juzi tu tumeshuhudia wanajeshi wakimpiga trafiki eti kawachelewesha kwenye foleni! Sasa mimi ninajiuliza maswali kadhaa ambayo naamini hata wengine inawezekana wakawa wanajiuliza kama mimi 1. Je ni kweli trafiki aliwachelewesha wao wanajeshi tu au kulikuwa na watu wengine wa...
  7. T

    Msaada jamani!

    storage fee baada ya siku saba tangu kushuhswa toka melini, gharama za bandarini zategemea na aina ya gari pia na size ya gari, kwa kifupi ni hivyo wengine wanaweza fafanua, asante
  8. T

    Polisi ARUSHA wanatumia magari ya polisi kinyume na sheria

    Kichwa cha habari na uliyoyaandika tofauti!
  9. T

    JWTZ kupiga doria barabarani: Mwamunyange ameenda mbali mno...

    kwa lip mkuu? au ulitaka adanganye kuwa alikuwa na taarifa zao wakati si kweli!?
  10. T

    JWTZ kupiga doria barabarani: Mwamunyange ameenda mbali mno...

    1. kazi kuu ya vyombo vya ulinzi na usalama ni kuhakikisha amani ndani ya nchi yetu inakuwepo, sio eti hawa ni wanajeshi basi kazi yao ni kulinda mipaka wakati ndani sio shwari NO unajidanganya ndg! 2.Lakini pia yafaa ujue kuwa vyombo hivi vinafanya kazi kama mwili wa mwanadamu unavyofanya kazi...
  11. T

    Sheikh Fareed wa Uamsho apatikana akiwa yu hai na mwenye afya tele

    ndio kinachofuata mkuu! Ni suala la muda tu
  12. T

    Sheikh Fareed wa Uamsho apatikana akiwa yu hai na mwenye afya tele

    Hizi sanaa za maigizo ya kutekwa kazi kweli kweli...sasa subiri aje atekwe kiukweli akanyofolewe kucha na ulimi kudadadekiii!!!!
  13. T

    NINA MTAJI WA 10M TSHs NAOMBA MSAADA WA BIASHARA

    jaribu kupitia post za nyuma haya mambo yalishazungumzwa sana..... karibu
  14. T

    Uamsho yaipa serikali masaa 26, vinginevyo...!

    asante, nimependa swali lako....
  15. T

    Tutashuhudia kutangazwa kwa hali ya hatari?

    Mnyika alipotoa kauli yake bungeni si mlimfukuza???? haya sasa tumieni macho yenu kuona nn maana ya kauli ya MNYIKA
  16. T

    Tutashuhudia kutangazwa kwa hali ya hatari?

    kwenye hiyo blue ...source ya takwimu zako tafadhali!
  17. T

    Dr Ulimboka atoa tamko, amtaja Ramadhani Ighondu

    jiulize kwa nn dr. ulimboka alikuwa na mawasiliano na watu wa ikulu huku akijua wazi kabisa kuwa yeye ndie kiongozi wa mgomo! Mambo mengine huhitaji kuambiwa tafakari nn ilikuwa nia yake ulimboka kukutana na IGHONDU?
  18. T

    Picha: Huyu ndiye farid wa uamsho

    kuna sehemu kajificha mwenyewe then wafuasi wake wanadai eti katekwa! Ili wapate sababu tu ya kulianzisha .....!
Back
Top Bottom