Search results

  1. B

    Yaliyojiri: Uhesabuji Kura na Utangazaji Matokeo katika Chaguzi Ndogo kwenye Kata 43 - Novemba 26, 2017

    Duuuu hizi kauli zinatisha,na kunauwezekano wewe ni mtu wa system na haya unayoandika hapa ndio mipango halisi inayosubiria utekelezaji
  2. B

    CHADEMA msituchokoze

    Hahahahaha hawaogopi mkuu
  3. B

    Wafanyabiashara wauawa na kutupwa ziwa Victoria mkoani Mara

    Mkuu atuachie mengine yeye akomae na milion 5,nimecheka kwa sauti usiku wote huu...
  4. B

    CHADEMA msituchokoze

    Unawapangia jinsi ya kuongea sio????
  5. B

    CCM yaipa CHADEMA ushindi wa moja kwa moja Kata ya Saranga Kimara kabla ya uchaguzi!

    Kwa Kwamaneno yaliyotamkwa na Mwigulu Nchemba leo,naona giza huko mbeleni....
  6. B

    Wafanyabiashara wauawa na kutupwa ziwa Victoria mkoani Mara

    Imenibidi nisome kwa umakini zaidi kujua wapi umeandika milioni 5 lakini sjapaona sjui kakurupushwa?
  7. B

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Kariakoo ndio kila kitu kaka, karibu sana na ukishanunua mzigo nakusafirishia hadi Getini kwako.
  8. B

    Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

    Hahahahaha ,mkuu imebidi nicheke tu.......maana mtu kajiuzuru lakini imekua kafukuzwa.......duuuu hii sasa kali
  9. B

    Kwanini mwaka 2015 Dr. Slaa aliwatukana CCM wenyewe wakashangilia?

    Niwe wa kwanza kureply....hata mimi sjui kwanini walifurahia kufananishwa na choo
  10. B

    Zitto Kabwe: Takwimu za Pato la Taifa kwa robo iliyoishia Juni 2017 si sahihi, ZIMEPIKWA! (PDF attached)

    Inaonekana kunakitu unakifaham ila hufunguki hadi mwisho. ....
  11. B

    Katibu Mkuu Wa CHADEMA, Vicent Mashinji atakiwa ofisi ya DCI kwa mahojiano. Baada ya mazungumzo aeleza kilichojiri

    Kumbuka hii nchi ni yetu sote, Leo wewe unacheo kesho haunacho tunakutana huku mtaani hizo kauli mnazozitoa ndio hali halisi ya viongozi wetu walipofikia
  12. B

    Kenya: Dereva wa naibu jaji mkuu apingwa risasi na watu wasiojulikana

    Wewe Mbowe sjui kakuchukulia nini mkuu
  13. B

    Polepole: Cheche zangu hizi hapa

    hahaahaha,pole mkuu anakuona unazo zakuvukia barabara tu....
  14. B

    Polepole: Cheche zangu hizi hapa

    Kwani Lowasa na Sumaye ndo walioingia hiyo mikataba?
  15. B

    Kusafirisha mizigo na Pacel kwenda mikoani

    Wewe ukinunua mizigo mfano:Nguo,Viatu,nk. Kutoka Soko la kimataifa la Kariakoo au sehem yeyote ile ndani ya jiji la Dar na ukataka kusafirisha mzigo huo kwenda mikoani sisi ndo tunachukua jukumu hilo la kuupeleka mzigo wako hadi mkoa unaotaka,
  16. B

    Kwa uhai wa CHADEMA lazima M/kiti wa Mbowe kuvuliwa uwenyekiti wa chama

    Kwani anakiongoza vibaya au....maana sielewi mnataka atoke madarakani ili iweje?
  17. B

    Kusafirisha mizigo na Pacel kwenda mikoani

    Tunasafirisha mizigo na Vifurushi kutoka Dar es salaam kwenda mikoani Ofisi zipo Kariakoo Mtaa wa Nyamwezi na Ndovu na Ubungo Bus Terminal. Piga 0742 005500 au 0767 181836 au 0677 646292
Back
Top Bottom