Search results

  1. C

    Jaji Mutungi, sakata la UDA na ESCROW, majaribio kwa spidi ya Rais Magufuli

    Hivi uda kumbe imeuzwa eeeh?mimi nilidhani kuwa jamaa wamenunua hisa asilimia 51 na serikali wana asilimia 49?uliza basi hata hapo kwa jirani yako hii inamaanisha nini,sio kubwabwaja tu kuwa uda imeuzwa!!!kwa jinsi nilivyomuelewa JPM ni kwamba ameanzisha mahakama ya ufisadi kama ngao ya...
  2. C

    Makonda endelea kunyamaza, miti yako imekuumbua

    Kwa hiyo mlitaka baada ya makonda kuhamasisha kupanda miti mlitegemea atakuwa akipitia kila mti kumwagilia?watanzania vichwa maji kweli yaani tunalalamika nchi ina ukame na sababu mojawapo ni watu kuharibu mazingira sasa leo anatokea kiongozi kama huyu anayeguswa na hali hiyo tunajitokea...
  3. C

    Baa la Njaa na Ukame: Kanisa Katoliki lawataka waumini kufunga na kuomba mvua

    Hivi mnajua maana ya Rais kutoka hadharani na kuitangazia dunia kuwa Tanzania kuna njaa??au ndio point ya kutafutia kiki kwa sasa kwa sababu siasa za upinzani nchi hii ni za matukio na sio issues.mvua zimechelewa kunyesha kwa sehemu mbalimbali za nchi na kwa sababu hiyo kuna hofu/uwezekano wa...
  4. C

    MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

    Kwa hiyo nyie binadamu mnabishana hapa kuwa ni nani kawapa wenzenu mamlaka ya kumwomba Mungu kupitia kwa Bikira Maria lakini nyie mmejihalalishia mamlaka ya kwenda kukesha mkiwapigia magoti akina gwajima/kakobe/lwakatare/frank nani sijui etc ili wawaponye au sio?au hao niliowataja hapo juu ndio...
  5. C

    Tumeshindwana na aliyekuwa mpenzi wangu, nimempeleka mahakamani, sasa anaomba msamaha

    I hope kufikia muda huu kutakuwa na PM za kutosha umepata na may be ushalivua boooonge ya likambalefuta basi huu upupu wako hapa tuendelee na mishe nyingine!
  6. C

    Hivi 2020 kuna Mtanzania ataichagua CCM?

    Tumchague nani,Lowasa?hata kama utakuwa umenishikia smg kichwani bora nife na kalamu yangu mkononi kuliko kutiki kwenye kijedwari cha picha ya Lowas!!!!JPM kama angekuwa kwenye nchi ya watu wenye akili timamu wangekuwa wanafanya sherehe kila siku kushangilia kuwa na rais kama huyu,but cha...
  7. C

    Darassa hii sasa too much, Wimbo wa 'Muziki' umetikisa Bongo nzima

    Unajua uliposema kamfunika nikashawishika kuja kuona kamfunika kivipi na wapi,kumbe kamfunika kwenye viredio vya mbagala,tandika manzese na kwingineko bongoland?msichokijua ni kwamba diamond ameshatambua kwamba bongo siku hizi ni majungu na fitina so amelenga soko la kimataifa.sasa mchukue huyo...
  8. C

    Nahitaji ushauri, mume aliniacha kwa dharau na matusi, sasa anajirudi, nifanyeje?

    Watu wengi humu mnamshauri mleta mada kinafiki na naamini wengi wenu ukishasema huku usirudiane nae unaenda PM kutongoza ujipatie wewe....just imagine ndio baba na mama yako wametengana hivyo na unaishi na single parent utajisikiaje?dad wako anakuja kwa maza baada ya kugundua kosa lake na...
  9. C

    Mh. Makonda anawatendea haki Vijana

    Hana hadhi ya kuwa PM,yaani hapo umemdhalilisha sana Mh Majaliwa kwa kushauri nafasi yake apewe Makonda!!!!PM tuliyenaye yupo vizuri sana kiutendaji so acha kumvunjia heshima kumlinganisha na huyo dogo wenu.
  10. C

    Rafiki wa ex wangu ananitaka niwe mkewe

    Wewe bado unampenda huyo x wako na kuna siku atakuja kuutumia huo udhaifu kuiharibu ndoa yako.ukiolewa na rafiki wa x wako utakuwa umevunja urafiki baina yao na kitakachofuata ni kisasi,huhanga utakuwa wewe,trust me kuna siku huko mbeleni utamvulia kyupi tu!!!!
  11. C

    Diamond humgharimu Tsh million nne kwa kila view million moja on youtube

    Yaani mmeamua kwa maksudi kabisa kukesha mitandaoni kumtafutia kiki king wenu kupitia jina la Diamond!!!!!mwenzenu anatengeneza pesa nyie mnatengeneza majungu/fitina,mnajitekenye na kucheka wenyewe
  12. C

    Ndalichako: Marufuku wasio na sifa kujiunga na masomo ya shahada kwa kupitia kozi za'foundation'

    Tatizo letu ni namna tunavyowaza/tunavyofikiri na sio darasa.unaamua kwa makusudi kuua elimu ya ufundi/mafundi mchundo wakati unatangaza kuwa unaenda kwenye uchumi wa viwanda....that's how viongozi wetu wa sasa wanavyowaza and still wanadhani kuwa wao tu ndio wanajua kuliko wote!!kwa mwenye...
  13. C

    Video ya Kokoro ya Mavoko na Diamond ni ulimbukeni mtupu

    Hawako uchi but mavazi waliyovaa yanawafanya waonekane kama wako uchi,tulia utazame upya.sijaona hiyo video ikionyeshwa sana mida ya mchana kwenye tv stations za Tanzania.anyway,sio video nzuri kutazama ukiwa na familia kwa jinsi ilivo
  14. C

    Ushauri: Kama umeambiwa kitu na Mungu, unaezaje kuamua tofauti?

    Aliyeelewa pls atufafanulie ili na wengine tuweze kumshauri vizuri mdau mwenzetu wa JF!!
  15. C

    Unafiki wawa pigakula

    Unajua watu wanashindwa kuelewa kwa nini watu wanaandamana,ukweli ni kwamba H. Clinton ndiye wapiga kura walimchagua lakini kutokana na mfumo wao wa uchaguzi aliyetangazwa mshindi ni mwingine, kwa ushindi wa electro votes.not fair at all but ndio mfumo mliojiwekea inabidi kukubaliana nao!!
  16. C

    Rais Magufuli awasomesha namba wakazi wa Ubungo, Kimara na Mbezi kwa mwendokasi

    Kama umepanga huko hama hulazimishwi na mtu kuishi mbezi,na kama umejenga ni afadhali yako kwani zile gharama za kodi unakuwa unahamishia kwenye gharama za usafiri!!!!waswahili mnachosha kweli na malalamiko ya ajabu ajabu.
  17. C

    2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

    Kuna wengine wanashangilia eti ashinde DT aje awanyooshe madikteta na magaidi,wanachosahau ni kuwa watakaoumia zaidi ni watu baki kama wao.marekani anapokwenda kushambulia waarabu huko anaowaita magaidi,na kwa kuwa nchini kwao marekani wanakuwa wameweka ulinzi wa ziada...hao magaidi option...
  18. C

    Peniela (Story ya kijasusi)

    mkuu na mimi naweza kupata soft copy ya vitabu vya msuiba kama inawezekana?naomba nitumie inbo
  19. C

    Namtafuta Stephen Victor Mbwambo

    asante mkuu,naamini nitapata taarifa zake.
  20. C

    Namtafuta Stephen Victor Mbwambo

    asante mkuu ushauri mzuri naneda kuufanyia kazi.
Back
Top Bottom