Search results

  1. F

    Hongera Rais Kwa kuhutubia Kwa kiswahili

    Tatizo letu ni kuwa bado tuna kasumba ya ukoloni. Marais wengi wanaongea lugha zao mf mwingine Putin na rais wa ujerumani. Mwamkomalia Magufuli. Kuendesha nchi hakuhitaji kujua kimombo. Tuenzi lugha yetu kingereza ni lugha ya tatu kwetu. Mbona hawakomalii hao marais wengine. Mmfyuuuuu.
  2. F

    CCM mtaondoka tu, hili halina mjadala

    Na ukanda wa ziwa ambao ndio ulikuwa ngome ya ukawa imerufi ccm hivyo ni draw match. Usiangalie huko tu.
  3. F

    Chenge akemea ufisadi

    Haaaaaa baada ya hasira ulichukua hatua gn mkuu
  4. F

    Chenge akemea ufisadi

    Vijisenti vyenu warudishe BAE kama hawajavidisha kwani hawakuvimpa Chenge.
  5. F

    Lowassa hajawahi kukataliwa na CCM!!

    Hakupata. Ila nilikuwa nachangia kuwa ccm haikumkataa kama wanavyodai watu wengine nafasi ni moja tu. Yy alidhani ndio pekee anayefaa kuwa rais na si mwingine ndio maana alihama. Lkn waamuzi ni wapiga kura hivyo walifuta hiyo ndoto yake na kumchagua Mzee wa Hapa kazi tu. Lkn pia alisahau mamlaka...
  6. F

    Lowassa hajawahi kukataliwa na CCM!!

    Nafasi ya urais ni moja wagombea 42 ???? Kuna kukataliwa hapi jamani. Yeye alihamia Chadema kwa kuamini ndiye mteule wa kiti cha urais
  7. F

    Makosa: Sakata la kusimamisha watumishi kazi halina kichwa wala miguu! Imekuwa 'fashion'

    Kwa kweli watanzania tunahitaji maombi. Zama zilizopita kelele kuwa serikali inacheka tu tulikosoa sasa serikali inajihadi kurudisha nidhamu ya kazi tunalalamika. Hivi tunajua tunachokitaka au ni fashion kukosoa
  8. F

    Kimenuka: Mawakala wa forodha wameitisha mkutano wa wanachama wao

    Dawa ya deni ni kulipa walipe waendelee na kazi.
  9. F

    Wodi Mpya ya wazazi Muhimbili tayari, Jionee Mwenyewe!

    Wrwe Wewe huna jema.
  10. F

    Wodi Mpya ya wazazi Muhimbili tayari, Jionee Mwenyewe!

    Kwa kweli Mungu ambariki Magufuli. HAPA KAZI TU katika ubora wake
  11. F

    Mbowe: Magufuli pambana na wauza gongo Kilimanjaro

    Hivi kweli kiongozi mkuu wa kambi ya upinzani anaomba msaada kwa rais kwa suala la gongo? Basi tuna kazi wabongo. Viongozi wa vijiji/serikali za mitaa. Madiwani polisi jamii , polisi nk wanafanya kazi gn. Huyu naye anataka kuwa jip
  12. F

    Mbowe: Magufuli pambana na wauza gongo Kilimanjaro

    Hivi kweli hata mapambano dhidi ya pombe haramu yanamsubiri rais? Viongozi wa vijiji/serikali za mitaa madiwani na wabunge wa maeneo husika nini wajibu wao. Polisi jamii na polisi hakuna huko?
  13. F

    Miezi Mitatu ya Serikali ya awamu ya tano bado binafsi sioni mwelekeo

    Hata mtoto wa miezi mitatu hawezi kutembea. Kadri miezi inavoenda ndio anaanza kukaa kisha kutambaa halafu kusimama na hatimaye kutembea. Miezi mitatu kwa nchi iliyokuwa na matatizo ni michache kuanza kumtolea jicho mh. Rais kuwa hawaoni mabadiliko. Tatizo letu ni kuwa tunamwangalia Rais kana...
  14. F

    Zitto aanza vita ya wazi dhidi ya Rais Magufuli

    Maneno ya walioshindwa. Mwacheni Magufuli afanye kazi uchaguzi umeisha. Kila ck mmeibiwa kura mawakala wenu huwa wanalala vituoni wkt wa zoezi la kuhesabu kura.
  15. F

    CCM iligawa rushwa siku ya kuamkia uchaguzi mkuu

    Jamani tuseme ukweli nani aliyegombea aidha kupitia ccm au chadema ambaye hakutoa hata maji? Tena wasiseme rushwa ya chadema kupitia viongozi wake ilikuwa kubwa au ndio wamesahau. Lol
  16. F

    Kamati za Bunge zakodi kumbi Jengo la LAPF Towers, Makumbusho Dar

    Wabunge wako zaidi ya mia 3 ofisi za bunge haziwezi kuwa accommodate wote. Kukodi ukumbi ni lazima. Na ni kweli ulivyosema hili ni shirika la umma. Wangekodi kempisky au serena ndio tungehoji
  17. F

    Nina mashaka na Rais. Alipaa sasa anaporomoka kwa kasi

    Umenena mkuu. Hivi kweli case ya mtu kashikws red-handed na nyara za serilaki kisha case inachukua miaka kusikilizwa kweli inaeleweka? Wakati mwingine watanzania hatueleweki tunalamikua vitu viko wazi kabisa. Ushahidi gn unahitajika zaidi kwa suala kama hili kama sio ku create mazingira ya...
  18. F

    Rai: Waziri aliyetuma SMS kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo awajibishwe!

    Kama ni kweli suala lilikuwa na uzito. Barua itafuata. Chill
  19. F

    Mchungaji Msigwa akiwa kazini Washington Marekani

    Yaani kwa kweli ni umbea tena ambao hauna tija. AAkalime kama hana kazi maana kufatilia maisha yya Msigwa hakutakuondolea dhiki
  20. F

    Serikali inayodai iombewe. Kila kiongozi - niombeeni, tuombeeni!

    Na kuomba au kuombewa kuna dhambi gn jamani. Mbona wanaleta thread ya mashambulizi kana kwamba kuomba ni dhambi. Mimi nadhani kila mtu anahitaji kuomba na kuombewa dunia hii
Back
Top Bottom