Search results

  1. MONANKA TATA

    Zitto Kabwe kukutana na Waandishi wa Habari tarehe 24 Novemba 2013

    hii ni noma kama, zitto akawe tour guide huko gombe national park maana siasa imemushinda
  2. MONANKA TATA

    Kutoka Kampeni za Vijiji Iramba Magharibi: Aliyemuuzia Jina Mwigulu aibukia CHADEMA

    akhasante kamanda kwa taarifa, mpaka 2014 kitanuka kwa ccm vijjni, nchi nzima. aluta continua
  3. MONANKA TATA

    Polisi waanza kuwafuatilia waliomtukana Spika

    mafisadi mbona hawatafutwi na hawa mbwa wa ccm (polisi), tumechoka tunatafuta mabadiliko kwa njia yoyote ile. anne makinda kutukanwa ni sawa kwani anayofanya bungeni ni zaidi ya matusi aliyotukanwa. TUTASHINDA
  4. MONANKA TATA

    Kikwete: Hizo kura 2 za HAPANA niachieni mimi nitashughulika nazo

    kura mbili za hapana kwa kikwete ni fedheha kuu kwake, yaani makamu mwenyekiti hawakupata kura hata moja ya hapana ila yeye anapata, kweli hana mvuto ndani ya ccm na hata nchi kwa ujumla
  5. MONANKA TATA

    Makala Ndani ya RAIA MWEMA: "Ndimi mbili za Zitto na kisa cha mkata kuti alilokalia"

    kweli ni haki ya zito kutangaza nia, ila ikiwa anahiden agenda atakuwa anakosea sana na atarudisha nyuma harakati za CHADEMA kupigania mackini. bro zito fikiria sana kuhusu haya
  6. MONANKA TATA

    PICHA: Uharibifu uliosababishwa na Waislamu Mbagala

    hata kama n JIHAD WAR c hivi, waislamu tumenda mbali zaidi, hebu wakati mwingine waislamu tutawaliwe na busara na c hasira na itikadi kali ambazo tumeimitate from mataifa ya kiarabu. wale walikuwa ni watoto wakbishana, na ikatokea mmoja wao akatumia akili za ktoto akafanya tendo lile baya,so...
  7. MONANKA TATA

    Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

    kweli kabisa kngoz, redio hii ni namba moja kwa kueneza chuki mbalimbali esp dini
  8. MONANKA TATA

    nimejiunga nkaribishe

    its my first time and 1st opportunity to say hi to u all my fellows, welcome in this pge of great thinkers so that we can cooperatively give views and opinions on politics esp TZ politics
Back
Top Bottom