Search results

  1. M

    "Moto umewawakia, hawawezi kuuzima" - Mengi

    Kwenye la ufisadi tumpe hongera kaka yetu Mengi kwa kulikomalia mpaka kieleweke. Lakini na yeye sasa anaanza kuwa mdaku. Kuanza kuwasonga washkaji wa zamani wa vimwana wake kutaanza kumpunguzia sifa. Kaguswa kidogo tu keshaita wanahabari, kahamaki kwani si kweli kuwa ana kimwana mdogo? au...
  2. M

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Haleluya. Kwa hiyo unatishia kuua watu au. Hata wakifa watakuwa hawajaziba lako na wewe siku moja utakufa kifo ni cha kila mtu. Pole kwa hilo lakini hakuna anayeogopa kufa labda wewe. Na wala usinitishie maisha mimi kwani pia hunijui. Lakini siogopi kufa kamwe nakuhakikishia Kama wewe ndio...
  3. M

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Kila taabu ya mtanzania ni kwa sababu ya ufisadi? come on give me a break. Mtu akieleza jambo positive kuhusu chenge anakua adui yako. Endelea basi kama maneno yako yatakufanya uboroshe maisha yako Nawaonea huruma Viongozi wa Afrika mna kazi. Kwaheri ndugu yangu kaa na chuki yako sisi wacha...
  4. M

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Ama kweli watanzania wengine wa ajabu Keep on preaching siku ya siku ndio utajua ukweli. I dont think kama hata yeye anajua kuwa kuna kitu kama hiki kinaendelea katika mtandao. Waulize aliofanya nao kazi watakuambia lakini hata sisi hatuwezi kukaa kimya tukawangalia mkitoa hoja tusijibu kwani...
  5. M

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    sasa unaona usivyo na akili, ni lini amefikishwa mahakamani? Unadhani dhambi ni ufisadi tu huo unaoudai bila hata ushahidi huna dini nini kasome maandiko maana hata kumsingizia mtu ni dhambi, kutamani mali ya mtu ni dhambi, kumsingizia mtu kafa ni dhambi. Kwani wewe ni mungu hata ujue kuwa...
  6. M

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Ehe badugu si mlisema hizi fedha zimetokea uswiss sasa huko finland kuna nini. Mh haya tumngoje huyo aliyetumwa siku zinaenda hajarudi vyanzo venu vinasemaje?
  7. M

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    "Hapa sheria lazima zitachukua mkondo wake na nguvu ya umma inaweza kuwa the last option... so be ware![/" ndio mana nakuambia una jazba kafanye kazi acha kutupotosha hapa kama maisha yanakushinda usiweke visingizio kuna theory moja inasema kuwa watu wengine wakishindwa maisha au wakipata...
  8. M

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Sasa si usubiri sheria ichukue mkondo kwanini unatoa hukumu kama unajua kuna sheria? Wanasema nyani haoni kundule anayetapatapa hapa nani? wewe tayari umeshaongea na mahakama kuwa he is guility as charged? poa kaka vuta subira maana haraka huwa haileti baraka. Mtaumbuka nyie haya mambo...
  9. M

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Kasoma Havard mshikaji uliza ni wanasheria wangapi wamesoma huko hapa mjini. Hebu na wewe kasome huko labda utaamka usingizini. Sisi wengine sio kuwa tunaungana naye bali tunataka tu kuondokana na dhana ya kuwa watanzania wanapaswa kuwa maskini. Tunaupiga vita ndio maana tunahangaika lakini...
  10. M

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    sawa mwananchi unayejiita wananchi lakini atakufa cha mungu kama wewe na kama unasubiri afungwe ngoja majibu ya SFO ndio yatatoa mwelekeo. Jazba unayo nyie ndio wale mnaodhani maisha yenu yamekuwa hivyo kwa ajili ya watu fulani. Gangamala kaka au dada katika kujitafutia maisha maana vijisenti...
  11. M

    Lowasa: Toka Sofa hadi Tendegu

    mbona wote waliovaa nguo za kijani wamekalia kiti hicho cha mbao? au mmemuona Lowassa tu? Mhhh mn Jmbo. Mke ampendaye mumewe humlinda siku zote mlitaka Regina achekelee, wanaochekelea down fall za waume zao ni wale wanawake maataahira.
  12. M

    Lowasa: Toka Sofa hadi Tendegu

    siku hizi umerekebishwa ni aliye juu mfate hukuo huko. Kashuka madarakani je maisha ya kawaida ya mtanzania yamebadilika hili ndilo swali la kujiuliza.
  13. M

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Hivi kuhoji wananchi 20 ndio dhana kuwa wanawakilisha maoni ya watanzania milioni 30? Hii mbinu ya utafiti ni ya nchi gani? ndio maana hata CCM inashinda kila wakati pamoja na kelele za upinzani. Ushabiki uko mjini tu ndugu yangu endelea na ushabiki lakini haubadilisha maisha yako ya kila...
  14. M

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Fisadi hata nyie ni mafisadi kwani kusema mtu kafa tena kujitia habari hizi mmezipata kutoka kwa chombo cha uhakika kinachowapatia habari.. Fanyeni kazi acheni malumbano ambayo hayawapatii hata sumni. NI wananchi au ni mwananchi wewe uliyechoshwa na neno fisadi maana kumtuhumu mtu ni tofauti.na...
  15. M

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Mungu ni wa wote na hujua ukweli wa kila nafsi ndio maana wale mnaowaombea wafe hawafi maana ni mungu pekeee anawajua undani wao , Waombaji kama nyie pia mna madhambi yenu yaliyofichika hivyo mungu hasikilizi maombi ya wenye dhambi labda kwa wale wanaotubu madhambi yao upo, na sio kuombea mabaya...
  16. M

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    ndio sijui weweni mwendesha mashtaka yupi au wakili yupi au judge gani ambaye unatoa hukumu hata kabla ya kesi kusikilizwa. Kufa wote tutakufa including wewe tena unaaweza kutangulia kwa kihoro cha kuamini kuwa matatizo yako yataisha kama kina fulani wakifa.
  17. M

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    He is not rude amechocha na ujinga wa baadhi ya watu hasa wanaovumisha maneno ya kuyaita Breaking news
  18. M

    Tetesi : CHENGE ANYWA SUMU??!

    WEWEEE WACHA UNOKO WALA HAJALAZWA
  19. M

    Tetesi : CHENGE ANYWA SUMU??!

    Tuache Udaku Wa Kuua Watu Funga Mjadala Huu Kwani Unaabisha Na Kutuondolea Imani Ya Vyanzo Vyetu Vya Habari
  20. M

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Unataka aseme nini kwa wakati huu ehe neno subirini matokeo haliko kwenye vocabulary yako? hebu mtafute mkono akueleze sheria inasemaje katika hili
Back
Top Bottom