Search results

  1. Ngagarupalu

    Nyerere Against Islam in Zanzibar and Tanganyika

    Hapo kwenye red, Mohamed Said, akiulizwa, na wakati wajibu, yeye hutoa upande ambao wengine hawajausema. Swali kwanini wewe ujue kile tu ambacho hata waliokuwepo hawajakisema? ila kwamba hawataki kukisema? unaweza sema kwa nini Ahmed Rajab na wengine wasiandike juu ya hao wamakonde wako? Ni...
  2. Ngagarupalu

    Movement for change ndo hiyoo inaanzia ndani ya CHADEMA from hero to zero

    hao vijana wanatoka lini? nani aliwaningiza chamani? na kwa nini wanatoka? je wataenda wapi na kufanya nini? kwa nini walijiunga chamani? mleta maada, hebu acha kuja na jaziba mnatapotezea muda kufikiria nyepesi nyepesi, toa tahdhmini kamili.
  3. Ngagarupalu

    Ubaguzi CRDB

    umeona?? mwingine alikuja kukusanya majadala na kajibu wote, kisha kapewa like!!! nilijua kafunga kumbe unaendelea!! Kazi ipo.
  4. Ngagarupalu

    Toyota vx limited inauzwa cheki bei hapa

    mkuu hiyo nyumba yapo ukipanga bei ni PM.
  5. Ngagarupalu

    New salary scale bank officer

    650.000 hela ya kitanzania, ingawa inategemea bargaining power yako
  6. Ngagarupalu

    Mkutano soko kuu Mtwara- muendelezo wa gesi.

    kwenye red, ndo maana wanataka Processing ifanyike mtwara/Lindi Ili investors wavutiwe kujenga karibu na resources!!! nadhani hiyo ndo mojawapo ya madai ya msingi.......jst thinking loud
  7. Ngagarupalu

    New salary scale bank officer

    benki gani? una qualification gani?
  8. Ngagarupalu

    Mdahalo: Je, Tunahitaji UVCCM na BAVICHA Kwa Kiasi Gani?

    Mchambuzi hongera hii maada!! Awali ya yote nina jua kisheria mahakama imeruhusu uundwaji wa baraza la wanawake tanzania, ila sijui kama nani kwa sasa yupo tayari kusimamia uundwaji wake. Yule mama Profesa ndo hivyo tena, ametumia msemo wa wazungu "if you cant.... join them". Swali langu je kuna...
  9. Ngagarupalu

    Msaada: Penzi La Aunt (shangazi) linanitoa roho ...

    una muda gani tangu uanze kumgegeda? nini kinacho kufanya kumchukia/kutompenda sasa ( zaidi ya abortion) ? ukijibu hayo ndo nitakushauri 0.5%
  10. Ngagarupalu

    Uandishi wa habari huu wa mwananchi unanitia shaka!

    Mkuu tumia neno jingine hiyo uliyo fanya siyo....typos, ina jina jingine, utakuwa umechanganya tu. ngoja watalaam waje!!
  11. Ngagarupalu

    Je, Waziri Mulugo amemaliza utata wa jina lake?

    Hilo jina la Hamimu Augustino lina matokeo gani hapo songea boyz!?? tuendelee kuanzia hapo
  12. Ngagarupalu

    Je, Waziri Mulugo amemaliza utata wa jina lake?

    hivyo Mlugo alifaulu form IV, au unakumbuka alijiunga hapo Songea boys na matokeo gani?. Huyu Omary Mjenga ndiye yule alisoma UDSM BA ps ?. Politik anaweka politik, kwa nini asiende huko Song boys kujua
  13. Ngagarupalu

    Je, Waziri Mulugo amemaliza utata wa jina lake?

    wewe ni mwandishi, mchunguzi au mdadisi? kama ulipata nafasi ya kuongea na Mh Mlugo hayo si maongezi kamili, wala usingeleta hapa taarifa (labda kama nia yako ni kuona upepo). Hebu muulize kaka/dada Mkuu wenu, mwl mkuu na mwl wa taaluma. Kisha ki ujumla matokeo yalikua je? yaani div one all to...
  14. Ngagarupalu

    Ubaguzi CRDB

    Mleta uzi pole, jipange tena, hiyo ndo biashara! wana jf Mtoa mada apewe, benefit of doubt, naona wengi mna tafuta kajiunga lini, badala ya kutafiti ukweli ndani ya ujumbe wake. 1. hawezi kuwa ameropoka tu, ila fikiria mfanya biashara umepewa ahadi na Branch manager kuwa utapata hiyo tenda...
  15. Ngagarupalu

    Kikwete: Watanzania punguzeni kasi ya kuzaliana!

    Kwa mfano nchi yetu ya Tanzania iko chini ya kiwango cha ongezeko la watu hapa duniani ukilinganisha na nchi nyingine zilizoko dunia ya tatu. Tanzania ina ukubwa wa eneo la mita za mraba zipatazo 342,100, karibu sawa na Misri ambayo ina ukubwa wa mita za mraba zinazofikia 384,300. sahihisho...
  16. Ngagarupalu

    Uandishi wa habari huu wa mwananchi unanitia shaka!

    Mtoa maada, kwanza pole. Naamini na wewe ni mmoja wapo wa wanaokereka na vichwa vya habari vya magazeti yetu ( excluding udaku) mara nying haviendani na habari yenyewe, tena mara nying ni vya kushadadia. Jambo nyinegine habari zinaletwa zina acha maswali kwa msomaji, hata hiyo habari ya maruku...
  17. Ngagarupalu

    Waziri Nchimbi: Siwezi kulumbana na maaskofu

    Aliongea na waandishi wa habari au waandishi wa habari walimuuliza? mimi for sure hawa waandishi siwaelewi kabisaa? kwanini wasiulize Faridi na Pond wana kesi gani mahakamani, au je yale maazimio yapatayo 11 na ushee yote ndo wapo mahakamani? hawa waandishi walitaka kuambia jamii nini amaeongea...
  18. Ngagarupalu

    Should the government start taxing religious organizations?

    Mtoa mada, hii mada yako ni Nzuri, ingawa umemjibu hoja nzito bandiko la 4 kiujumla anagalia bandiko lako na 5. hiyo ni hatua ya juu sana!! hebu kwanza tuzibe mianya iliyopo, tuone kama serikali bado inatatizo la kifedha. sababu kuna mianya mingi, na matumizi mabaya hilo kila mtu analijua hata...
  19. Ngagarupalu

    Kikwete: Watanzania punguzeni kasi ya kuzaliana!

    Ndugu zanguni idadi yetu na ongezeko la watu ni sawia kabisa, tena hatuongezeki kwa kasi!! moderate increment Ili tusizaliane ni lazima tuchukue idadi yetu tugawe na square m, ili tujue watu wangapi katika mita za mraba na pia tutoe projection za ongezeko. kwa haraka haraka hapo juu 34m mwaka...
Back
Top Bottom