Search results

  1. IPILIMO

    Car4Sale Jipatie magari mazuri kwa bei ya mmiliki

    Harrier 240g, cc 2400: black, no D, unaweza kuwa nayo? Bei gani ?
  2. IPILIMO

    Mikopo ya bure kutoka ''Tala' Hongera lakini kuwa makini na wabongo!

    Kimsingi inasaidia sana. Kuna siku kiukweli, hangaika hangaika zangu kikawaida ziligonga mwamba, nilikuwa nahitaji 50,000. Kwa jamaa na ndugu nilikosa, nikakumbuka nilishawahi kopa TALA, nilifikishaga 40,000; nikawacheki tena, aisee, nilipewa mkopo wa 60,000. niliokolewa na huo mkopo. So ni...
  3. IPILIMO

    Mambo muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa kampuni

    SAFI SANA, KUNA MTU NILIMWELEKEZA THE SAME ILA MBISHI SANA....Very clear
  4. IPILIMO

    Mambo muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa kampuni

    Shida ya wengi ni returns za nyuma hazijafanywa, pia hawana hesabu zilizo kaguliwa, sababu system inataka hizo nyaraka ndipo uupdate. au iko kivingine?
  5. IPILIMO

    Mambo muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa kampuni

    Ukisajili business name, je TIN unatumia ya individual, yaani ya mtu mwenyewe biashara au watatoa nyingine?
  6. IPILIMO

    Najuta kuanzisha biashara ya baa, nashindwa na gharama za uendeshaji

    Jiwe jiwe jiwe jiwe jiwe jiwe jiwe.... Stone stone stone.... Hataree.... Bar zitakuwa vibanda umiza sio mda..
  7. IPILIMO

    Mikopo ya bure kutoka ''Tala' Hongera lakini kuwa makini na wabongo!

    Acheni kutuharibia... Wengine tunakopa vizuri tu na kurejesha japo ni pesa ndogo ndogo.. Mkiletewa urahisi mnadai Igumu, mkiletewa ugumu mnalalamika... Duh wabongo hawaeleweki... Badala ya kukopa huko na urejeshe unatafuta kuwambia hatari iliyopo ...washafanya Risk analysis ...so waache wafanye...
  8. IPILIMO

    Wema Sepetu akutwa na hatia ya kukutwa na Madawa ya kulevya! Alipa faini na kuachiwa huru

    ML 2 NI NDOGO SANA AISEE, INAHAMASISHA WATU KUENDELEA KUTUMIA NA KUJIHUSISHA NA DAWA ZA KULEVYA...BORA KUSINGEKUWA NA AU FAINI...INGEBAKI SERO MIAKA HIYO ILI WENGINE WAOGOPE JAPO KIDOGO...SASA IYO 2ML SI ANALIPA KWA MPESA TU?
  9. IPILIMO

    Feasibility study/uchambuzi yakinifu

    Umeeleweka mkuu. Uko vizuri. Wakati unanielewesha, pia kuna baadhi tumewasiliana Kwa simu nikawaelewesha kwa kadri ya uhitaji wao, maana Upembuzi husika hutofautiana Kati ya wazo moja na lingine... Ndani ya JF sijaja kufanya upembuzi, nimeleta wazo kama ilivyo post, wapo wanaofahamu tayari na...
  10. IPILIMO

    Feasibility study/uchambuzi yakinifu

    Upembuzi yakinifu... Imeeleweka.
  11. IPILIMO

    Feasibility study/uchambuzi yakinifu

    Hujaeleweka mkuu, feasibility study inafanywa BURE? Anyway, biashara ndani ya biashara... Pia sijakuelewa.
  12. IPILIMO

    Watu wenye vimradi vya kufuga kuku na kelele za kujiajiri

    NASEMA HIVI MTU ALIYE JIAJILI NA AKAENDESHA MAISHA KAMA KAWAIDA BILA KUJALI UKUBWA WA KUJIAJILI KWAKE, HUYO NI BORA KULIKO MWAJILIWA NA MTU AU TAASISI YOYOTE... MIFANO TUNAYO, ILA JEURI YA WAAJILIWA NI ILE TOKEN YA KILA MWEZI, ALIYEJIAJILI HANA TOKEN YA MAWAZO HATA KAMA NI NDOGO, HANA MWISHO WA...
  13. IPILIMO

    Mchanganuo wa Biashara (Business Plan) - REQUESTS

    Wabongo tunapenda vitu vya bure ktk mambo ambayo wengine ni kazi... Utadhani tunaomba maji ya kunywa nyumbani kwa mtu... Kumbe wenzio wamewekeza mda, maarifa na pengine wanalipa kodi serikalini, kodi ya pango nk. Watanzania ukiona kuna maarifa huna na unahitaji sana, tuache kudhania mawazo ya...
  14. IPILIMO

    Feasibility study/uchambuzi yakinifu

    Hello wadau, IPILIMO BUSINESS SOLUTIONS, pamoja na shughuli nyingine katika field ya "Project development services", Leo nahamasisha wadau katika uwekezaji kiuchumi na kijamii. Kila siku watu wanawaza kuwekeza katika miradi mbalimbali, wapo wanaofanikiwa na wanaokwama. Sababu za kufanikiwa au...
  15. IPILIMO

    SOLD: Vifaa vya salon ya kike vinauzwa

    Nahitaji viti tu... Nipo kmr pia
  16. IPILIMO

    Naomba msaada wa kuelekezwa jinsi ya kuandika Business Proposal

    Was 2015 Leo ni 2018, hivyo nadhani ni outdated post
  17. IPILIMO

    Proposal Writer -Jobs

    Utanipa email.. Nikupe short tutorial, ila lazima ujue kujiongeza, kwa maana uwe tayari na angalau uelewa wa writing skills, language mastering etc.
  18. IPILIMO

    Proposal Writer -Jobs

    Personally siku nikikwama nitakuconsult.... But for now am good! Sijalalamika, sijalalamikiwa! since 2011, nimefanya proposal assignments kadhaa, na wateja waliridhika na zilisaidia ktk malengo yao.
  19. IPILIMO

    Proposal Writer -Jobs

    OK, keep waiting.
Back
Top Bottom