Search results

  1. S

    Nkrumah Hall Yesterday: One of my greatest moments in my life, I wish my father was alive....!

    Mjengwa hapa umeelezea furaha yako lkn sio kile ulichoelezea its pity kuelezea your private ktk Natioanal Dialogue of Next 50 years Is not about you! Maggid is about Tanzanian Sorry kuteleza~!
  2. S

    Uchumi wetu umeinuka kwa kiasi gani miaka sita ya utawala wa Kikwete?

    ni Mazingaombwe mtupu tatizo hakuna uwazi ktk kila kitu huwezi pata data kamili. CCM JUU ya kila kitu Propaganda ndio kitu kinawafaa watanzania, Uchumi lazima uwe na Impact na mwananchi wa kawaida through Madawa hospitalini na Huduma bora za afya majengo vitendea kazi vya Ops na ubora wa Hosp...
  3. S

    Ndugu Zitto ziarani Ulaya

    Zito na ofisi yake wapo sahihi Kabla ya kubisha na kuponda jaribu kujifunza maana ya ofisi ya umma na uwajibikaji wake
  4. S

    Jamani CCM waongo....nyinyi sikieni tu

    Wametoa mawazo yao na msingi Deo ndo aliyetoa nn watanzania wengi wanakosea Kuhusu CCM, na Tanzania CCM ni Chama kinachopata ridhaa ipo siku inaweza kukosa ridhaaa hiyo na bado Taifa likaendelea miaka 30 iliyopita Kenya walidhani Kanu ndo Kenya na Unip ndo Zambia but Vipi leo? Au Kamuzu Banda...
  5. S

    January Makamba: Waliozaliwa kabla ya 1961 waachane na wazo la Urais 2015!

    Hivi Makamba katokea wap? mpaka atoe kauli kama hiyo kama siyo kubebwa na baba zake na shemeji yake RA, Ingawa sio chadema lkn ZIto alipotokea na Consistency yake ktk jimbo ni uwezo tosha wa yeye ni Mwanasiasa wa aina gani, Vijana wote walio ndani ya CCM wamewekwa pale majina ya baba zao au mama...
  6. S

    Nape: Msimamo dhidi ya ufisadi hautabadilishwa

    Sasa Nape amebaki mdogo sana si kama alivyokuwa kabla ya Februari 2012 pale Lowassa alipopasua jipu ktk Halmashauri kuu dodoma na leo Mukama, Msekwa na Chiligati ni wastaafu kabaki peke yake ndani ya Secretariat sasa atafanya kazi na Lowassa as long as Lowassa alive
  7. S

    Disemba 9 kila mwaka: Tunasherehekea uhuru wa nchi ipi?

    Nyerere ni mtu mwenye akili sana anapotaka jambo lake lifanikiwe mbona akumuuliza baba yake kwanini aliitwa kambarage nyerere? kwa kuwa akuanzisha yeye au kusimamia neno Tanganyika so halina maana Tanzania kalisimamia yeye so wote tufuate ni ujinga sana, England ipo pale milele haitofutika...
  8. S

    New African Union HQ Puts All Africans To Great Shame

    kitu cha kwanza Africa kinachozuia maendeleo ni vyama vilivyoleta Uhuru, pili kwa AU ungekuwa Umoja wa kiuchumi zaidi kuliko sehemu ya Picnic kama ilivyo sasa kila nchi wangepewa target ya ukuaji wa uchumi at least tungekuwa na uchumi wa Dola 3000 nchi zote tungekuwa na uwezo mzuri wa kufikiri...
  9. S

    Nchi yetu Inavyodharauliwa na Wakenya

    Kitu cha kwanza ktk maisha ni Identity kenya wanajiita wakenya, tulipaswa Tuwe Tanganyika kwanza ndo tujiunge EA bila hivyo tutaburuzwa tu Zanzibar ijiunge ka Zanzibar. Kenya wanasema ukweli dhidi yetu sio dharau kenya wapo kimaslahi zaidi wakati sisi tupo kihuruma zaid, Kenya walishirikiana na...
  10. S

    Dr. John Pombe Magufuli & Morgan Tsvangirai Wahudhuria Uzinduzi Kampeni za ODM Kenya

    Deja vu, Namkubali Odinga kama Mzalendo wa kenya mwenye vision na Taifa lake, sio Magufuli yupo ktk Genge la Wahuni ni kweli kuna boom ya ujenzi wa road but kwa kasi ndogo sana sasa ni foleni zimezidi na usumbufu usio wa lazima kwa ujenzi wa barabara dar ulivyo haribika usimamizi ni mdogo wa...
  11. S

    Watanzania msikubali Tapeli wa mtandaoni awe kiongozi wenu...

    Leaders kids of africa are bizzare, hawajui kitu wanaota wizi tu hawajiulizi kwanini watoto wa pele sio wachezaji? baba zao wana penshen na wana contact kibao pamoja na wizi mkubwa tu hasa Malecela alikuwa close na wahindi kwanini asianzishe undustries akaajiri wagogo na kulipa kodi serikalini...
  12. S

    Wanafunzi Wabaka Walimu Wao, Shule Kufungwa - Ni Huko Rufiji

    Dini ni imani so ukimdharau mwenzio kwa sababu ya dini ujui thamani ya imani yako, Mungu hatoi nafasi hiyo ya dharau only shetani utakuwa unamwakilisha shetani
  13. S

    Seif Tumekusikia; Sasa jiuzulu na iondoe CUF kwenye SUK!

    To be honest naipenda Zanzibar iwe huru wawe na uhuru wao kamili wajiamulie mambo yao wenyewe na sisi Tanganyika yetu Irudi tutakuwa kama Russia na Zanzibar ni Georgia tutaishi bega kwa bega TUTASHIRIKIANA KAMA KAWAIDA KIUCHUMI NA KIBIASHARA KAMA ILIVYO sOUTH AFRIKA NA LESOTHO
  14. S

    CHADEMA ni WikiLeaks ya TZ zaidi kuliko chama cha siasa?

    Unapokuwa na mfumuko wa bei pia thamani ya shilingi lazima ishuke ni kitu kimoja au viwili vinavyoenda sambamba na kuinua hali ya uchumi ni kuongeza Uzalishaji wa viwandani na kilimo na kubana matumizi CDM walishasema watapunguza matumizi ya Serikali kwa kuwa na Serikali yenye mawaziri wachache...
  15. S

    NYERERE ni 'MSANII' kwanza mzalendo

    Complicated
  16. S

    Jaji Warioba ambana Jussa kuhusu Muungano wa mkataba

    Russia ilipata Uhuru twake toka Soviet union sasa watu wake wananeema kuliko mwanzo, why not for Tanganyika, Georgia ni Zanzibar Georgia ilikuwa inainyonya Russia uchumi wake lkn wote sasa ni nchi huru LIFE GOES ON! why Tanganyika au Zanzibar zisiwe huru? wacha ZNZ iende Tanganyika ni Russia
  17. S

    DKK 45 za ITV

    Tanzania hakuna uhuru wa habari Muulize Ulimwengu anakijua kilicho mtoa kanga manyoya
  18. S

    Dar es Salaam Mpya: NSSF kuanzisha miradi mikubwa jijini; Mwisho wa malori kuingia jijini wawadia

    Mpango wa Dr Dau ni mzuri lkn wasiwasi wangu ni kwa ajili ya maendeleo ya nchi na wananchi? au ni kujinyakulia Prime Area kiujanjaujanja? kwanini asikae na wataalam wa ujenzi tukajenga reli za kisasa toka Kongowe - Posta, posta bunju na kibaha - posta kwa kuanzia ili tuone mradi utakavyofanya...
Back
Top Bottom