Search results

  1. M

    Mama yangu ana matatizo sana, anavuruga familia yetu

    Hakika umenena ndugu!! hakuna mbadala wa mama.
  2. M

    Mama yangu ana matatizo sana, anavuruga familia yetu

    mama ni mama tu hakuna namna vumilia tu na fanya majukumu yako kwake,,akikutoka utayakumbuka hata unayolalamika sasa.
  3. M

    Tukumbushane Wakuu wa Mikoa wa miaka ya nyuma

    Hawa baadhi ya Wakuu wa mikoa wa kwanza baada ya Uhuru Luangisa,John Mwakangale,Joseph Nyerere, moses Walwa, Mwakangata,Chamshama, Kapilima na Humbi Ziota.
  4. M

    Nauza Mchele wa miezi sita nilioulima mkoani Morogoro

    Hebu ni PM namba zako tuongee.
  5. M

    Top ten wonderful names from Tanzania

    Akatele Isukulu Songea Boys 1993-1996
  6. M

    Kama hujawahi kuona hizi muvi basi zitafute

    Deadly pley mpaka sasa naiangalia nzuri sana
  7. M

    Walinzi wa Rais kufuga vitambi imekaaje?

    Tatizo tunahangaika sana na overt tunasahau kabisa covert!!!
  8. M

    Dawa ya tatizo la kupasuka pasuka midomo

    Yes nilikuwa na tatizo hili niliambiwa kula sana machungwa sasa niko vizuri sijapata tena hiyo shida.
  9. M

    Kwa nilichoambiwa na mke wangu; Nimechanganyikiwa naomba ushauri

    Daaaa weee noma huu ndio ushauri bora kabisa kwake.
  10. M

    Msiba wa King Majuto: Aibu yako Kikwete, aibu yetu Watanzania...

    Tena aombe msamaha mtoa uzi huu, mzee wa watu kafanya mengi sana kwa huyu mzee Majuto. Acha pia Mzee wetu King apumzike kwa aman.
  11. M

    Laptop yangu imeibiwa nimechanganyikiwa kabisa

    Laptop yangu min imeibwa.nimechanganyikiwa kabisa kupoteza kumbukumbu zangu nyingi sana. Msaada kwa wataalam plz.
  12. M

    Kabla hujaanza wiki mpya fuata mpangilio huu ili kupanga wiki yako

    Umekaa vizuri sana hii..ngoja niitanyie kazi.
  13. M

    Zambia to ship Kenya’s maize by rail

    From dar port they will them to mombasa port
  14. M

    Oluoch Ezekiah ni Jasusi? Kwanini aliahirisha kugombea Ukatibu wa TUCTA?

    Mtoa mada ungeweka jina lako ndio tungekuamini..vinginevyo ni husda na majungu tu kwa Mwl Oluoch.
  15. M

    Dr. Mwakyembe: Marufuku TV na Radio kusoma habari za magazetini kwa ujumla wake

    Aiseee hii issue ina tija gan kwa uhuru wa vyombo vya habari.
  16. M

    Maneno maarufu secondary za bweni

    Shimoni--jikoni Magoti--funza weupe kwenye maharage
  17. M

    Maneno maarufu secondary za bweni

    Chingambo-uji usikuwa na sukari Kuhenyi--kukosa msosi Bondo--ugali Uyengu--layer ya juu maharage Milango--vyoo vya shimo Makemba--magogo
  18. M

    Maneno maarufu secondary za bweni

    Bila shaka wewe utakuwa songea boys
Back
Top Bottom