kwenye hizo kona kona za Kimara kuna siku scania mbili zilikuwa zanapishana zikaishia kuparuzana..kuna siku pia scania yenye tela ilibinuka ikauwa dereva na utingo wake..juzi tena scania likadondosha container..na tutegemee kusikia ajali nyingi zaidi na zaidi.. Kunyoosha bara bara Pale...
bora baba wa taifa mwl julias kambarage nyerere..alitubakizia rasilimali ili tuje kufaidi na watoto na wajukuu zetu..si hawa wametuuza mpaka sisi wenyewe
Wana jamvi,jana pale Kimara mwisho kwenye konakona ambapo sasa hivi watu wanapaita kitonga kulitokea ajali mbaya sana,dereva wa lori lililokuwa limebeba container alishindwa kumudu zile kona gari likaangukia pembeni miguu juu,huku sehemu ya dereve likiwa nyang'anyang'a.
Juzi yake lori mbili...
Dada Rose..Hii msg yako imegusa vilivyo..hata wasaliti wote wakiisoma itawaacha uchi..Namwomba Mungu ili awape ufahau..maana naona wachangiaji wengi wanaendeshwa na nguvu ya pepo( na pepo lenyewe ni rushwa...buku 7)akishapokea anajisahau hata Tanzania ya kesho itakuwaje...
maandamano inawakilisha kilio cha wengi..ukisema uache kutumia luku na utumie solar,wataacha wachache sana na haita leta adhari yoyote kwa tanesco na wala serikali haiwezi jua kama kuna watu wameacha luku na wameanza kutumia solar..maandamano ndio ujumbe mzito
SISI Huwa tunabebeshwa mizigo kwa uzembe wa watu wachache na ingekuwa ni serikali makini wale wote waliyoingiza hii nchi kwenye mikataba mibovu ungekuta siku nyingi wako jela..wameingia mikataba ambayo inatunyonya haswa..hata kama mtambo haufanyi kazi lazima ulipie capacity charges..mfano mdogo...
Tunamachungu,Tunaudhuni na tunamasikitiko makubwa sana na huu upandaji ya umeme kwa kiwango cha kutisha.leo namaliza siku ya 4 baada ya luku kuisha sijanunua umeme..tuko tayari ya kwa maandamano ya kupinga huo upandaji wa umeme,maana huu upandaji umegusa nyanja zote,nitashangaa sana kama police...
mkuu..like zingekuwa zinafika kumi ningekupa..umenena sana..Tatizo sisi watanzania tumekaa kutumika tumika tu kwa maslai ya watu wachache wenye nafasi zao na pesa zao/..lakini sisi ambao hatujui kesho au leo tunakula nini hatuwezi kujipigania sisi wenyewe.. hatuwezi..duuh huyu aliyetuloga kama...
mkuu umenena..hapo ndo ujue wanavyomtumia..lumumba wanakesha kwaajili ya hii kesi..wanaacha kushughulika na jinsi gani watamshawishi mzee wa magogoni ili awapunguzie wananchi wake kupanda kwa gharama za umeme wao wanashughulika na kupandikiza migogoro kwenye vyama.wao hawajui mwananchi...
kama ana wafuasi wengi na anajiamini kwamba anawanachama wengi..si ni bora akaanzisha chama chake..sasa hivi pale kashaonekana msaliti.hata kama mahakama ikimpatia ushindi haitamsaidia..kama kweli anajiamini aanzishe chama chake na nadhani atapata kuungwa mkono sana na wana ccm..
watanzania navyowajua..ukiwaambia tususie kutumia umeme watakwambia sasa hivi kunajoto tusubiri kipindi cha baridi..hehehe..(mimi mtanzania najichukia kuwa mwoga wa kudai haki zangu tena za msingi.)tumuombe sana Mungu ili atuondolee hofu na uwoga
Ina maana haya manung'uniko ya kupanda kwa umeme mzee mzima ajayasikia??au ndo ile funika kombe manaharamu apite.hapa ndo ilikuwa kipindi cha kuonyesha anajali wananchi wake
kweli kabisa..nadhani huu mwenge unaopitishwa nchi nzima ndo unatundondocha.. ndo maana tunakuwa tunalalamika ndani kwa ndani,tunaumia ndani ya mioyo yetu!!mashabiki na wanachama wa cdm,nccr,ccm,tlp wote tunaumia..lakini ukipiga kelele utasikia huyo mpinzani anataka kuleta fujo na kupoteza amani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.