Search results

  1. S

    Wanawake wengi sana hawaogopi UKIMWI

    jilinde, have a HIV test (both) before sex. ISHI kwa Amani after a game.(wengine test kit ni mandatory kuwa nayo kwa dharura)
  2. S

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    mkuu mshana naomba kufahamu kuhusu hizi caldina new model, je ni full time 4wd(zenye 4wd),na vip kuhusu uimara wake and maintenance.
  3. S

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    habari wakuu, asante kwa mada hii ni msaada sana kwetu sisi tusio na utaalamu wa magari, naomba kujuzwa kuhusu engine ya toyota caldina new model ambayo ni 4wd uimara wake,consuption ya mafuta spare parts na service na kama zinavumilia njia za vumbi nipo kwenye mchakato wa kuagiza. with regard.
  4. S

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kwa mawasiliano piga Namba 0718436767
  5. S

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Anatafuta mwl wa kubadilishana naye kutoka wilaya ya Sengerema Mwanza kwenda sehemu zifutazo kibaha,Mkulanga,Bagamoyo,pamoja na Morogoro manispaa Elimu secondary
  6. S

    Madakatari wa Tanzania ni wauaji wakubwa!

    for a great thinker....
  7. S

    Madakatari wa Tanzania ni wauaji wakubwa!

    mtoa mada naomba ujiulize ni madaktari wangapi wapo nje ya nchi hii wanafanya tiba huko kila siku na ulishawahi kusikia tuhuma zozote kama tunazozitoa hapa kwetu? ulishajiuliza kwa nini na kwa nini sisi hapa kwetu? kwa taarifa tu madaktari kuanzia ngazi ya degree hawazidi 3500 nchi nzima yenye...
  8. S

    Consultation fees (Gharama ya Kuonana na Daktari) zinatumaliza watanzania - RAIS tusaidie

    gharama za matibabu hazipangwi na madaktari bali ni taasisi husika kulingana na matibabu na standard zake. rejea madai ya madaktari kabla ya mgomo, rejea majibu ya mheshimiwa pm na president. naamini hatuhitaji kulalamika kwa sasa hamia tiba mbadala.
  9. S

    Tuwasaidie dada zetu walio vyuoni

    wapo waliokua wanavaa uniform za secondary na kukaa vituoni unaweza kudhani ni wanafunzi kumbe ni machangudoa, now upepo umegeuka kwa wanavyuo, nenda mabibo hostel, udom, saut, wapo wengi hasa kipindi cha boom delay, sikatai wapo wanachuo baadhi wanafanya hyo biashara but they are very...
  10. S

    Nimeshtuka sana baada ya kusikia hii

    mkuu,nahisi ulikua unaopoa machangudoa coz wapo wengi wanajifanya wanachuo na walikua wanaingia hdi mabibo hostel (my reference 2006/2009) na wanaume wengi wanaopigwa pale kwa kudhaniwa wezi ni sababu hzo za kudanganywa na machangu hao(mfano njo block x saa 3),na ndo issue iliyopo UDOM na...
  11. S

    Hembu Msome huyu Jamaa - Dr. Pona

    walikuwepo na watapita kama babu wa loliondo...
  12. S

    hello to all JF MEMBERS, brothers and sisters

    am new here, want to say hello to you all JF MEMBERS.
Back
Top Bottom