Mbezi high mpaka Mpigi Magoe kuna tank maeneo hayo kuna mradi wa maji uliokamilika lakini haujazinduliwa rasmi ni.. hivi karibun tumekua tukipata maji vizuri lakin kuanzia wiki iliyo pita hatuna maji, hakuna ufafanuzi wa kina unaotolewa zaid ya kua tu kuna changamoto ila hakuna dalili yoyote ya...
Bonjour !great thinkers hivi naomba kuuliza je ukiugua na umepata upungufu wa damu je? Dna itabadilika ? Au hiyo damu huwa inajitenga ?na kama inajitenga inaenda wapi? Jamani mwenye jibu naomba anipatie
Wapendwa,
Something to cheer you up..
Kundi la wake za watu walikuwa kwenye semina kuhusu namna ya kuishi kwa upendo katika ndoa. Muwezeshaji akawauliza, Wangapi wanawapenda waume zao? Wote wakanyoosha mikono. Akauliza tena, Mara ya mwisho umemwambia mumeo nakupenda lini? Majibu mbalimbali...
Mwaka 2013 Nokia wameboresha lugha ya KIHAYA KWENYE SIMU,ukitaka kumuwezesha Mzee ili aitumie simu bila taabu unabadilisha hivi kaa sawa!
1. PHONE BOOK EKITABO KYE SIMU
2. Names Amabala
3. Timr Izoba
4. Ring Tone Emyeto
5. Settings Emitekaniso
6...
Hallow joyce kokote ulipo na salama jabir popote ulipo naomba wiki itakayo anza 11 bi salama umualike joyce kiri pia nawe joyce mualike salama jabir kiatika kipindi chako cha wanawake live maana nyie mtahojiwa lini ? Basi muhojiane
nawakilisha nadhanai itapendeza saaaaaaaaaaaaaana
Hi wanajf katika huu mtandao chini ya neno forum kulikuwa na neno la today's posts kwa sasa ni wiki moja silioni sjui imekuwaje maana hii ilikuwa inasaidia kusoma kwa urahisi posts kwa siku hiyo
asante nawakilisha
Hamjambo wana kubwa kufikili
jamani naomba kuuliza hivi ni nani anaepanga siku za mwezi wa fe kuwa 28 au 29? Maana zamani ilikuwa mwaka huu 29 unaofuata 28 lakini sasa hivi tofauti mwaka 2010 na 2011 zote zimefuatana 28 hivyio basi nanai mpangaji? Wa tarehe?
Habari zenu wana jf nawatakieni heri ya mwaka mpya.jamani naomba mnijuze maana ya jina hili maana nimepata msh katika mchina wangu nanukuu"waitu nakutona eibala ly'omwaka 2012 ni wechonche " akina ruta mpo??????????? Naomba maaana yake tafadhali
KUNA mdau kanitumia hii, isome, ni kweli?Mapenzi ni kitu kisichodumu kwa muda mrefu (do not last longer or is something temporary). Ni kwa sababu ya mapenzi (?) leo upo na uliyenaye na unajihisi ndiyo umefika. Huenda baada ya muda utaachana na huyo na baada ya muda fulani utapata mwingine na...
Jana nimepata taarifa kwamba unaweza kujisajili atm card ya crdb katika simu yako. Nauna uwezo wa kutuma na kupokea pesa hata kuamishia tigo pesa,je hii ipo safe siwezi kubiwa na mtu kwa kutumia simu yake? Au mpaka apate simu yangu ? Naomba shauri
Asalam alaikum wadau habari za masiku tele nilikuwa safari kidogo nimerdi namshukuru mungu.Jamani naomba kuuliza hivi katika simu ni kobeep au kudip maana wengine wanasema nibeep ,wengine nideep hivi ipi ni sahihi?
Hii People !!!!This is interesting. If your nameis disinteresting pick your neighbours...but don't shout! Fantasy is allowed.
Enjoy
How sexy is your name?
According to studies, the first letter of your first name
reveals your sexual identity ... What do you think?
-A-
You are not...
I needed a few days off work, but I knew the Boss would not
allow me to take a leave. I thought that maybe if I acted "CRAZY" then
he would tell me to take a few days off. So I hung upside down on the
ceiling and made funny noises.
My co-worker (who's blonde) asked me what I was doing. I
told...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.