Search results

  1. Jewel

    Umeshakutana na shida gani kwenye gari lako upewe suluhisho?

    Toyota Ist inapoendeshwa ikiwa kwenye foleni mwendo mdogo sana inazima redio kisha inawaka dashboard inawakataa zote gari inazima na kisha ukiwasha gari inawaka na kwenye mwendo usio wa foleni haiizimi nini tatizo?
  2. Jewel

    Shida ya maji mbezi high school mpaka mpigi magoe

    Mbezi high mpaka Mpigi Magoe kuna tank maeneo hayo kuna mradi wa maji uliokamilika lakini haujazinduliwa rasmi ni.. hivi karibun tumekua tukipata maji vizuri lakin kuanzia wiki iliyo pita hatuna maji, hakuna ufafanuzi wa kina unaotolewa zaid ya kua tu kuna changamoto ila hakuna dalili yoyote ya...
  3. Jewel

    Shirika halijajibu Hoja za Mkaguzi ya kuwa linajiendesha kwa Hasara, limeona liandae futari kwenye hoteli ya kifahari

    HATA NDUGAI ALISEMA NCHI ITAUZWA LAKINI MPAKA LEO HATUJAUZWA ACHA KUCHAFUA KULICHAFUA SHIRIKA
  4. Jewel

    Sumu ya kuua kunguru ni ipi?

    TAFUTA CHUMVI YA MAWE WAPIGE NAYO WATAKIMBIA UTAKUJA KUNISHUKURU
  5. Jewel

    Wizara ya Maji na DAWASA wanampotosha Rais

    HAFAI MTINI WALA SHIMONI YAANI KATIKA MAWAZIRI WAONGO HUYO JUMA NAMBA MOJA SIJUI ANALOGEA WAPI
  6. Jewel

    MREJESHO: Simuelewi mume wangu

    Dada yangu Mwili Wako Sio Maonyesho Kila Mwanaume Auone,Mwili Wako sio Mdoli Kila Mwanaume Auchezee,Mwili Wako sio Dampo Upokee Kila Uchafu wa Mwanaume,Mwili wako sio Mali ya Umma kila Mwanaume Akutumie,Mwili wako sio Kiburudisho kila Mwanaume Ajiridhishe,Mwili wako sio Pazia la Sebuleni kila...
  7. Jewel

    MREJESHO: Simuelewi mume wangu

    WEE LALA UCHI WA MNYAMA
  8. Jewel

    Siasa zimezidi The Law School of Tanzania. Hiki chuo kimulikwe!

    HATA MATOKEO YAO HAYA YALIYOTOKA JUMATANO YANA WALAKINI INABIDI WARUDIE KUYASAHIHISHA MAANA KUNA WATU WAMEFELISHWA MAKUSUDI
  9. Jewel

    Mke wangu kapata kazi Mkoani!

    Ndoa ni ya watu wawili ikiisha ingia mtu wa 3 hapo ndoa itakuwa mashakani .Wewe na mkeo ndo wa kuweza kulimaliza hili na sio mtu wa 3 .Kuna ugumu kweli wa kuwa mbali na familia lakini kikubwa ni kumuomba mungu kila wakati .Kufanya kazi mwanamke si mbaya lakini angalia kama ni ya serikali mruhusu...
  10. Jewel

    Nampa laki 5 ya matumizi kila mwezi, lakini kila siku nalishwa kabeji

    KWANI HIYO LAKI 5 MPO WANGAPI? INAWEZEKANA KUNA FAMILIA YA WATU 7
  11. Jewel

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    wapi ntapata chimbo la frame za mbao kwa ajili ya printing
  12. Jewel

    Mwandishi wa gazeti la Jamhuri, Angellah Kiwia afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za utekaji na kuendesha genge la uhalifu

    Kabisa maana Kuna uonevu hapa na huyo anaeekaje mil 30 ndani Kama sii jambazi nadhani wanze na huyo
  13. Jewel

    Najuta kuhamia kwangu Kerege

    NILICHOKIFANYA MIE NILIVYOHAMIA NILIBEBA SIKU YA KWANZA ABILIA NIKWAPA LIFT NDANI YA GARI NIKAWAULIZA WANAOKWENDA KILA SIKU KAZINI NIKAWAPA 2 NA WAWILI WAO WALIKIUWA NA DHARULA TU YA MARA MOJA HIVYO HOA WAWILI NIKAWWAMBIA WACHANGIE PESA YA MAFUTA SEHEMU YA KUPANDA MAGARI 2 KAMA NI 800 NAWATOZA...
  14. Jewel

    Najuta kuhamia kwangu Kerege

    NIPE NAMAB NAKUPIGIA SASA HIVI
  15. Jewel

    Najuta kuhamia kwangu Kerege

    NIPE NUMBER YAKO INBOX NIKUPE NJIA UTAIPENDA
  16. Jewel

    Tangu makutano ya Ubungo yamewekwa hii Round About, foleni imepungua kiasi

    Ni kweli kabisa foleni imekwisha ubungo matokeo yake trafiki hawana Kazi Wamekwenda kujirundika tazara wanakLeta tena foleni
  17. Jewel

    TCU hamna lolote mnataka muendeleage kupiga pesa tu..

    NA KAM NA KAMA MFUMO WA CODE UMESHINDIKANA BASI WAFANYE KAMA MWAKA JANA MBONA MWAKA JANA ULIKUWA UNACONFIRM TU NA CHUO UNAPAT
  18. Jewel

    Fundi Engine ya RAV4

    mpigie namna ya fundi anapatikana airport
Back
Top Bottom