Search results

  1. Dr.philosophy

    Kushindwa kufanya supplementary UDSM

    Wadau habar za kazi..nilikuwa naomba kujua Ni utaratibu gani wa kufuata kwa mtu aliekosa mtihani wa supplementary chuo kikuu Cha UDSM kwa changamoto za kiafya. Nina ndugu yangu alitakiwa afanye mtihani leo asubuh..Sasa usiku alipata shida ya kiafya..huwa Ana matatizo flan ya kiafya akashindwa...
  2. Dr.philosophy

    Pikipiki ya hesabu Dodoma mjini

    Ndugu zangu,Mimi Ni kijana natafuta pikipiki ya hesabu ambapo nitakuwa naitumia kufanyia biashara ya boda boda na kumlipa mwenye Mali kutokana na makubaliano ya kiasi tutakachokubaliana...naomba ndugu zangu nisaidiwe kwa Hilo nitafanya kazi kwa uaminifu mkubwa mnoo na nitahakikisha naleta hesabu...
  3. Dr.philosophy

    Je, ingekuwa wewe ungefanyaje? Ushauri wako muhimu sana

    Habari zenu wakuu..Kwanza kabisa Mimi Ni kijana,mwanafunzi wa chuo Kikuu flani Hapa mjini Dar.nilikuwa na mpenzi wangu ambaye yeye siyo mwanafunzi..Sasa alipata mimba pasipo kutarajia..mimba hiyo anadai kuwa ya kwangu na binafsi nahis Ivo kwa sababu siku ntakutana nae alikuwa siku za...
  4. Dr.philosophy

    Natafuta Vitu vya ndani mkoani morogoro

    Habari zenu wadau wa JF nahitaji geto na vitu vyake..au at Kama anauza kimoja kimoja fresh kwa Alie Morogoro au dar anichek pm chap.natanguliza shukrani
  5. Dr.philosophy

    Wajuzi wa mambo wanisaidie kwa ushauri, nifanyeje ili niwe na afya njema

    Habar zenu wakuu..ndugu yenu Nina tatizo la kiafya huu Sasa ni mwaka wa Tisa... Tatizo hili Lilianza mwaka 2010 nikiwa kidato Cha pili nikiwa shule mwili wngu ulianza kuwa na joto Kali Sana yaani napata homa flan kali mpaka mtu akinishika anashangaa kwann nachemka hivi.nikaanza kukonda na afya...
  6. Dr.philosophy

    Mzumbe mna shida gani ya kiufundi?

    wakuu habar kwema Mimi nimechagiliwa mzumbe kozi ya sheria main campus lakin admission letter ni ya mzumbe campus ya mbeya kozi ya human resource nawapgia cm hawapokei nifanyeje wadau
  7. Dr.philosophy

    Mrejesho; Hatimaye tatizo langu la multiple limeisha

    habar wakuu,juzi niliandika thread iliyokuwa inaelezea tatizo la akaunt yang ya udsm campus ya mkwawa kuw nimetoka kwnye multiple wakat ukwel haukuw hvyo.sasa Leo mida ya SAA NNE hv naona wanelishughlkia tatazo langu na sasa limeisha
  8. Dr.philosophy

    Kuhusu confirmation code kutoka TCU

    habar wakuu,Mimi nilichaguliwa selection ya pili nkwawa kama direct yaan nilpata chuo hcho tu na nilipoangalia kwa wale waliotoka kwenye multiple sikuwepo na profile zoote za vyuo nlivyoomba zilionesha kuw ckuchaguliwa isipokuw udsm campus ya MUCE .lakin cha kushangaza Leo nimeingia kwenye...
  9. Dr.philosophy

    KUHUSU KUHAMIA UDSM MAIN CAMPUS

    wadau nimechaguliwa MUCE iringa sasa nauliza utaratibu wa kuhamia mlimani campus itawezekana?ushauri tafadhal
  10. Dr.philosophy

    KUOMBA CHUO RAUNDI YA TATU

    wadau Mimi nimechaguliwa DUCE BED ARTS kozi hii niliweka chaguo no 7 asa ndo nmedondokea hiyo hyo sasa nilkuwa naulza.he nkiomba tens vyuo vingine itakuwaje apo badae hasa kwenye suala la mkopo? ushauri tafadhal
  11. Dr.philosophy

    IVI NI LINI LINI TANZANIA TUTAKUWA SERIOUS KATIKA SUALA LA TAALUMA?

    Jana TCU wametoa multiple selection ambayo walitakiwa watoe tangu tarehe 22 kwa mujibu wa ratiba yao.lakini cha kushangaza vyuo vingi haviachia wale waliochqguliwa chuo kimoja jana hiyo hyoTCU wametangaza raundi ya tatu ambayo yenyew mwisho wakw ni tarehe 26.sasa najiuliza hivi Hawa jamaa kwann...
  12. Dr.philosophy

    Naomba kuuliza kama kuna mtu yeyote ambae alipata chuo UDOM bila kuambatanisha Cheti cha kuzaliwa?

    jamani naomba kuuliza kama kuna mtu yeyote ambae alipata chuo udom bila kuambatanisha Cheti cha kuzaliwa raund ya kwanza msaada tafadhali
  13. Dr.philosophy

    waliopata BAED UDOM

    wakuu nauliza kama kuna MTU mwenye two kachagiliwa BAED udom mana daah mimi nimeomba hyo koz udom nimetemwa
  14. Dr.philosophy

    waliopata BAED UDOM

    wakuu nauliza kama kuna MTU mwenye two kachagiliwa BAED udom mana daah mimi nimeomba hyo koz udom nimetemwa
  15. Dr.philosophy

    waliopata BAED UDOM

    wakuu nauliza kama kuna MTU mwenye two kachagiliwa BAED udom mana daah mimi nimeomba hyo koz udom nimetemwa
  16. Dr.philosophy

    waliopata BAED UDOM

    wakuu nauliza kama kuna MTU mwenye two kachagiliwa BAED udom mana daah mimi nimeomba hyo koz udom nimetemwa
  17. Dr.philosophy

    waliopata BAED UDOM

    wakuu nauliza kama kuna MTU mwenye two kachagiliwa BAED udom mana daah mimi nimeomba hyo koz udom nimetemwa
  18. Dr.philosophy

    Kuhusu kubadili kozi udsm

    Message…wadau naomba kujuzwa kuhusu kubadilisha machaguo udsm hasa kwa kipindi hiki ambacho application zimefungwa je naweza kuingia na kubadili kozi maana nimeingia leo asubuh naona unaruhusiwa ku uncomfirm ukabadil then ukasubmitt. Naomba kujuzwa mana nahofia nsije nsije na uncomfirm. Afu...
  19. Dr.philosophy

    MKOPO CHUO KIKUU

    wadau naomba kuuliza kwa anaejua .kna dogo aliungq vyeti viwil vya form four akafqnya mtihan wa form six mwaka huu..asa anatka kuapply mkopo na kwnye bahasa hizi mpya kuna sehemu unatkiwa uandike mwaka uliofnya mtihan wa form four.asa apo anatakiwa aandke mwaka wa kurisitia au mwaka aliofnya...
  20. Dr.philosophy

    Naomba ushauri kwa waliosoma BAGE UDOM

    Kama tittle inavyojieleza mimi ni muhitmu wa form six nimepata two ya 10, natamani sana kusoma kozi hiyo hapo juu, nahitaji ushauri kwa waliosoma kozi hiyo. Natanguliza shukrani.
Back
Top Bottom