Search results

  1. Dr.philosophy

    Loan Board mnatutesea Watoto. Jitahidini kwenda na muda

    Kama huna Cha kukoment piga kimya mkuu siyo Kila Uzi lazma uchangie🤔
  2. Dr.philosophy

    HESLB imetoa siku nne kwa Wanafunzi 2,982 walioomba mikopo kwa mwaka 2021/2022, kukamilisha taratibu za maombi yao

    Ivi ukiingia kwenye akount yako utaona viashiria gani vinavyooneaha umekosea...
  3. Dr.philosophy

    Kushindwa kufanya supplementary UDSM

    Nashukuru kwa mchango wako mkuu
  4. Dr.philosophy

    Kushindwa kufanya supplementary UDSM

    Hiyo sick sheet ni Kama chet Cha daktari au Ni Nini mkuu
  5. Dr.philosophy

    Kushindwa kufanya supplementary UDSM

    Nashukuru mkuu kwa mchango wakongoja nimjulishe afuatilie kesho
  6. Dr.philosophy

    Kushindwa kufanya supplementary UDSM

    Nashukuru Sana mkuu..kumbe huwa Kuna special ya sup..
  7. Dr.philosophy

    Kushindwa kufanya supplementary UDSM

    Asante mkuu..kapata mtihani kwakweli
  8. Dr.philosophy

    Kushindwa kufanya supplementary UDSM

    Wadau habar za kazi..nilikuwa naomba kujua Ni utaratibu gani wa kufuata kwa mtu aliekosa mtihani wa supplementary chuo kikuu Cha UDSM kwa changamoto za kiafya. Nina ndugu yangu alitakiwa afanye mtihani leo asubuh..Sasa usiku alipata shida ya kiafya..huwa Ana matatizo flan ya kiafya akashindwa...
  9. Dr.philosophy

    Pikipiki ya hesabu Dodoma mjini

    Broo Mimi nahitaji kwakwel na Kama unaweza tu kunisaidoa nisaidie na mm nijikwamue mkuu...hakika hutajutia kunipa Mali yako
  10. Dr.philosophy

    Pikipiki ya hesabu Dodoma mjini

    Ndugu zangu,Mimi Ni kijana natafuta pikipiki ya hesabu ambapo nitakuwa naitumia kufanyia biashara ya boda boda na kumlipa mwenye Mali kutokana na makubaliano ya kiasi tutakachokubaliana...naomba ndugu zangu nisaidiwe kwa Hilo nitafanya kazi kwa uaminifu mkubwa mnoo na nitahakikisha naleta hesabu...
  11. Dr.philosophy

    Je, ingekuwa wewe ungefanyaje? Ushauri wako muhimu sana

    Mkuu badala ya kutoa ushauri unaanza ku criticize typing duh!
  12. Dr.philosophy

    Je, ingekuwa wewe ungefanyaje? Ushauri wako muhimu sana

    Sijaelewa ulichoshaur apa mkuu...mjinga kivipi Sasa?
  13. Dr.philosophy

    Je, ingekuwa wewe ungefanyaje? Ushauri wako muhimu sana

    Ni Kweli mkuu...ila at least nimepata mawazo nashukuru Sana
  14. Dr.philosophy

    Je, ingekuwa wewe ungefanyaje? Ushauri wako muhimu sana

    Habari zenu wakuu..Kwanza kabisa Mimi Ni kijana,mwanafunzi wa chuo Kikuu flani Hapa mjini Dar.nilikuwa na mpenzi wangu ambaye yeye siyo mwanafunzi..Sasa alipata mimba pasipo kutarajia..mimba hiyo anadai kuwa ya kwangu na binafsi nahis Ivo kwa sababu siku ntakutana nae alikuwa siku za...
  15. Dr.philosophy

    Natafuta Vitu vya ndani mkoani morogoro

    Habari zenu wadau wa JF nahitaji geto na vitu vyake..au at Kama anauza kimoja kimoja fresh kwa Alie Morogoro au dar anichek pm chap.natanguliza shukrani
Back
Top Bottom