Search results

  1. SN.BARRY

    Ufisadi wa kutisha Wizara ya Habari na Michezo

    Ofisi nzima kuanzia waziri wapo Uturuki kuponda raha eti wameenda kushangilia timu ya Walemavu/Tembo Warriors. Swali: Hii wizara kazi yake ni moja tu kushangilia Tembo Warriors? Huu ni ufisadi was kutisha, rudini mhudumie wananchi wizi ni dhambi. Tangu msifiwe na Rais sasa imekuwa ndio tiketi...
  2. SN.BARRY

    Masanja awachana 'live' wambea wa ndoa yake

    Video hiyo hapo "Yaani namuachaje huyu msichana, nimuache huyu dada halafu? Yaani hata ndoa ziishe leo zote halafu kesho tuanze upya namrukia huyu huyu! Nataka niwaambie kwa lugha rahisi, ninamshukuru Mungu kwasababu Mungu yupo kazini." "Yote ambayo wanangu mnasikia, msiende na mikumbo watu...
  3. SN.BARRY

    Nape Nnauye tunaomba Paypal

    Mheshimiwa Waziri katika Ulimwenguu wa Teknolojia malipo mengi yanafanyika kwa PAYPAL. Kwa bahati mbaya sana sisi tunaweza kutuma tu hela kwa PayPal ila kupokea hatuwezi. Wizara yako kwa kushirikiana na Benki kuu iliangalie hili. Wenzetu Kenya wapi mbali kwa hili. Saidia vijana WAKO...
  4. SN.BARRY

    Mnaotafuta wapenzi muwe mnaandika madhehebu ya dini mnayoyahitaji

    Unapoleta tangazo kusema unatafuta mume au mke mkristo jitahidi uwe specific kwani sasa hivi ukristo una madhehebu mengi, mfano ORTHODOX ROMAN CATHOLIC LUTHERAN ANGLICAN PENTECOSTE HUDUMA ZA KITUME NA KINABII SILOAM SABATO MASHAHIDI WA YEHOVA n.k Jitahidi kuwa wazi usije angukia mikononi...
  5. SN.BARRY

    Ajira 80 za madereva - Galco Limited

    Madereva ajira hizo. Pelekeni barua ofisini. Usitoe rushwa kupata ajira.
  6. SN.BARRY

    Marekani yawapiga changa la macho Uganda kuhusu wakimbizi wa Afghanistan

    Waliwaambia Uganda waandae makazi ya wakimbizi kutoka Afghanistan. Jamaa wakachangamkia fursa. Ila hadi leo ndege haijatua Uganda. Bunge la Uganda limemtaka Waziri Mkuu ajieleze walipo wageni wao, mbona hawafiki. Kinachowauma Waganda ni hela ambazo Marekani waliahidi katika kufanya zoezi hilo...
  7. SN.BARRY

    Glock 17 kama ya Sabaya

    Ila yeye kasema mahakamani Glock 17 sio bastola ni kachuma tu kadogo kakujilinda.
  8. SN.BARRY

    Mzee Haji Mpili awa balozi wa kuzuia na Kupambana na Rushwa

    Hapo ndio uwezo wao wa ubunifu ulipoishia Mkuu wa wiliaya ya Rufiji kushoto pamoja na Mkurugezi wa halmashuri ya wilaya ya Rufiji (Kulia) wakimtambulisha balozi wakuzuia na kupambana na Rushwa mzee Haji Mpili jana wilayani humo
  9. SN.BARRY

    Taliban waiga mbinu za JWTZ za mwaka 1979

    Mwaka 1979 Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) liliuchukua mji wa Kampala na rais wake Dikteta Fashisti Nduli Idd Amin Dada akakimbia nchi na wanajeshi wote wa Uganda kwa unafiki wakaungana na JWTZ kushangilia ushindi. Mwaka huu 2021 kwa style ile ile Taliban wamechukua jiji la Kabul, Rais...
  10. SN.BARRY

    SADC imetia aibu Msumbiji

    Mmefuga magaidi kwa miaka 4 mnajishauri tu bila kuchukua maamuzi ya kijeshi. Rwanda wamefanya uamuzi ndani ya wiki 3 wamekomboa miji kadhaa na msako unaendelea huko misituni. Tanzania tuliwafuga magaidi Kibiti hadi walipoleta madhara ndio tukaamka. Magaidi wapo Msumbiji na Tanzania kikubwa...
  11. SN.BARRY

    Ajali mbaya Ilula: Basi limegonga na kuua waendesha bodaboda wawili

    Basi limefyeka waendesha bodaboda wawili Ilula mabandani asubuhi hii. Wamekufa papo hapo. Safari yangu na siku yangu imeharibika asubuhi hii kwa kuona maiti.
  12. SN.BARRY

    Mo Dewji na GSM anzisheni timu zenu

    Hizo Yanga na Simba waachieni kina Mpili na Manara (Waswahili). Bakhresa aliona mbali akaanzisha timu na uwanja wake. Yupo huru kutumia hela yake pasipo majungu yoyote. Yanga na Simba mtapoteza hela zenu na mwisho mlipwe matusi na dharau kutoka kwa maskini wasio na mbele wala nyuma. Mtu...
  13. SN.BARRY

    Uhamiaji Tanzania badilikeni

    1. Kazi yenu ni kutoa passport sio kujua mtu anaenda wapi. Passport ni haki ya kila mtu. Jifunzeni kutoka nchi nyingine. 2. Sasa hivi Tanzania ajira hamna. Mnanyima watu passport maana yake wafe na njaa wakiwa Tanzania. Jifunzeni kwa nchi jirani. Kenya, Uganda hata Rwanda raia wao wanafanya...
  14. SN.BARRY

    Kwa ramani hii mkoa wa Chato utatokea wapi?

    Hebu tulinganishe ukubwa wa mikoa mbalimbali tushauri mikoa inayotakiwa kugawanywa.
  15. SN.BARRY

    Ana laki tano cash, afanye biashara gani?

    Dogo anataka kuhama kwao amechoka kula kulala. Mfukoni ana laki tano na ushee. Kaomba ushauri kwangu nimemuahidi jioni nitampa jibu ili nije huku kwa akili kubwa/Great thinkers kuulizia. Yupo Dar.
  16. SN.BARRY

    Daniel Kolenda kuhubiri mikutano minne kwa wakati mmoja

    Ni mrithi wa Reinhard Bonnke, atahubiri kuanzia leo Morogoro, Iringa, Mbeya na Dodoma. Ninasogea eneo la tukio Morogoro. Nitawaleta mrejesho itakavyokuwa. Mungu awabariki wote watakaohudhuria mikutano hii ya cfan-,christ for all nations.
  17. SN.BARRY

    Jaji Mkuu Martha Koome amemuonya Rais Uhuru Kenyatta dhidi ya kuingilia shughuli za mahakama

    JAJI MKUU NCHINI KENYA AMUONYA RAIS Jaji Mkuu Martha Koome amemuonya Rais Uhuru Kenyatta dhidi ya kuingilia shughuli za mahakama na kutoheshimu sheria za nchi. Jaji Koome amemhimiza Rais kuwateua majaji 6 aliowaacha nje,wakiwemo wawili waliopinga muswada wa kubadili katiba wa BBI. ==== Chief...
  18. SN.BARRY

    Rais sio Mungu naye huwa anakosea

    Ninampenda sana Rais wetu Mama Samia ila ninaomba kumsahihisha kuwa rais ni binadamu huwa anakosea. Tukianzia kwa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Marehemu na yeye mama mwenyewe tukisema tuorodheshe mazuri na mabaya yao jamiiforums server haitatosha. Ushauri kwa mama: Achape kazi tunampenda...
  19. SN.BARRY

    Dkt. Philip Mpango ajitafakari kwa aliyoyafanya akiwa Waziri wa Fedha na Mipango

    Alipokuwa Waziri wa fedha: 1. Alikuwa anachukua fedha za mazingira na kufanyia mambo mengine au kuzizuia kwa utashi binafsi yeye na Doto. Mh. Rais kalisema leo wakati wa uapisho wa maRAS. 2. Alitoa takwimu za uongo kuwa uchumi unakuwa kwa 7% kumbe ni 4%. 3. Kuna baadhi ya Wizara alikuwa...
Back
Top Bottom