Search results

  1. K

    Nakumbuka: Kuvunjwa kwa Sekondari ya Tambaza na Kuhamishwa Wanafunzi Wote

    mleta thread amenifurahisha sana.anaposema walikuta maandish dining hall "GALOPA MKRISTU MUCHAFU IS HERE"kama hp akajua timbwili la tambaza limehamia minaki.nimejaribu kutafsiri huyo kiumbe kwanini alijiobatiza hilo jino.kwamba ni mkristo aliyeshindikana au nimebaki nacheka.But al in al wale...
  2. K

    Usalama '0' wilaya mpya ya kaonko kigoma

    Nayajua hayo maeneo vema kama wameanza tena itakua hatari.ujumbe umefika mkuu
  3. K

    Mwisho wa mwaka 2012

    Epica 9.bomu lingine lakufungia mwaka.no salaries no any malipo serikalini ukiuliza Epica9
  4. K

    mikopo ya vyombo vya usafiri ni ya wakubwa tu-hazina

    Ahsante kwa ufafanuzi kamanda nimekupata.Je kuna wakati maombi yanakua pending kwa muda mrefu sana.au tunapigwa juu kwa juu na wakubwa.zetu.maana ukiwa mikoani hata kuambiwa zipo hawsemi
  5. K

    mikopo ya vyombo vya usafiri ni ya wakubwa tu-hazina

    labda utueleweshe inaelekea unafahamu wa hiyo mikopo.je mtu akiaply inaweza chukua muda gani?na inasimamiwaje ili hadi wa chini wapate?
  6. K

    mikopo ya hazina ya magari.

    nimefurahi na kupata upeo fulani toka kwa wana JF Kuhusiana na hii mikopo.lakini upande wa mahakama inaishia hukohuko juu kwa juu.nivema serikali ingetoa hiyo mikopo kwa vote au idara na kila mkoa na wilaya.ili isiishie kwa wakubwa tu.wao wana magari tayari na masurufu kibao alafu wanatolea...
Back
Top Bottom