sasa kila mganga ana dawa zake na zinatofautiana raw material ingawa zinatibu ugonjwa mmoja.je kama mgonjwa kalazwa mganga wa shift anamuanzishia dozi yake na kusitisha ya yule aliyetoka zamu????
reading has always being a hobby of mine.it helps me escape the reality and dwell into someone elses mind even if for just a while..ive read over a thousand books......nakumbuka mama alichoma novel zangu kama mia na ushuzi hivi when i was not perfoming well nikiwa form 3...sasa hivi inakuwa...
mnapenda sana kulalamika...hivi vifaa vlivyotumika toka mzee wetu kafika hospitali mpaka mauti yakamkuta analipia nani?aliyemhudumia mnadhani mshahara wake unatoka wapi?hata kama ni mtumishi wa serikali hamjui hizi pesa mwisho wa siku zinamlipa mshahara?tukate bima jamani hata kama sio nhif basi...
hivi mkikaa kama kijiji mkachimba shimo,mkanunua mifukoo kadhaa ya cement na mkamlipa fundi mnadhani huduma haitaboreshwa?serikali ina mambo mengi na vituo vingi sana....tufike sehemu kama jamii tutoe muda wetu na rasili mali zetu kwaajili ya vizazi vyetu...kuna kamsemo kanasema 'my community...
hela za chanjo ziliingizwa lini?walikuwa na vifungu vya kutolea?usimlaumu kwa usilolijua...nadhani wilaya zote ndio zinaanza kulipa posho za vikao na za zoezi baada ya kuwekewa vifungu na Tamisemi....hilo la chf sijui lakini kama meananchi hudhuria hata kikao kimoja cha full council na utoe...
aisee huko uswahilini unapoishi nakushauri uhame maana inaonekana unakutana sana na walevi wa local brew...nigonge zangu nyagi au kvant halafu nikakojoe choo kinuke??
just thinking outside the box...hivi daktari aliyeajiriwa bima kukuagua madai ya bima na yule wa kwa ded anayepasua daily na kujirisk kujichoma sindano au kujiambukiza kwa bahati mbaya,who is more at risk?
miye wangu mpaka namba kumi katimiza...next week nasepa kimya kimya na document zangu na kitanda tu,mtoto nimeshampeleka boarding.vitu vingine ntanunua tu upya.Eminem aliimba..... I got a wife that's determined to make my life living hell,
But I handle it well, given the circumstances I'm dealt...
Kwa haraka haraka unaweza ukadhani hivyo...kumbuka yeye ni referal hospital na ana wagonjwa wengi kuliko uwezo wake.wagonjwa wenye magonjwa simple yakutibiwa hata level ya dispensary mtu anamleta hapo.tujifunze kutoka muhimbili...nenda bila referal na mtoto au mzazi uone utakavyolipishwa
Mimi umeme ukikata mgonjwa ntakayemhudumia ni mzazi tu maana labour ikianza hawezi jizuia....wengine watanisamehe kwa kweli maana waweza dhani unaokoa kumbe ikawa majanga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.