Search results

  1. Ednatha

    Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

    Asante shemu😉
  2. Ednatha

    R.i.p Afande Nicholaus Lonjino

    Apumzike kwa amani!
  3. Ednatha

    Msaada, mwanangu ghafla haongei

    Pole sana. Mungu akupe mwongozo sahihi wa kukabiliana na hilo tatizo Wapendwa huu sio muda sahihi wa kumhukumu, kwanza hatujui mazingira yaliyosababisha kuwapeleka boarding school. Kikubwa anachohitaji kwa sasa ni ushauri na faraja yetu
  4. Ednatha

    INAUZWA Nauza nazi

    Ningekuwa Da'slam ningekutafuta.
  5. Ednatha

    New member

    Naona umeamua kumkaribisha kwa mikono miwili[emoji38]
  6. Ednatha

    Mgeni

    Karibu mgeni, jisikie uko nyumbani
  7. Ednatha

    Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

    😄Ok, asante kwa ufafanuzi!
  8. Ednatha

    Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

    Bilashaka huu sio ujumbe wangu ndio maana sijauelewa. Hope mwenye ujumbe wake ataelewa vyema
  9. Ednatha

    Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

    Poa! Niko Pwani
  10. Ednatha

    Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

    Asante kwa kujali ila kwangu dini ni muhimu sana
  11. Ednatha

    Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

    Oooh kumbe!
  12. Ednatha

    Kukumbuka ndoto

    Usipoikumbuka ujue ndoto hiyo haina maana/ufunuo au ujumbe wa maana.
  13. Ednatha

    Jambo la uchawi ni serious kabisa Rukwa/Katavi

    Kuna uhusiano gani kati ya kutembea na mke wa mtu na kufa? Kuna uhusiano gani kati ya vichaa na uchawi? Ni mkoa gani ambao hauna wachawi?
  14. Ednatha

    Nimegundua Siri, Wanawake someni hapa

    Asante kwa somo!
  15. Ednatha

    Nimegundua Siri, Wanawake someni hapa

    Kwahiyo hapo hakuna cha utamu wa k yake wala ufundi wake kitandani unaoweza kumfanya mwanaume abaki nae?
  16. Ednatha

    Nimegundua Siri, Wanawake someni hapa

    Kwahiyo ushauri wa mleta mada una mantiki eeh!
  17. Ednatha

    Jambo la uchawi ni serious kabisa Rukwa/Katavi

    Mambo mengine mnayakuza tu!
Back
Top Bottom