Search results

  1. manenge

    CCM chukueni Hii ya Kagame 2030 Mgombea Urais awe na umri wa miaka 30-49

    Labda ndio umri wa yule kijana wake
  2. manenge

    Serikali, Wenye Hisa za NICOL ndio wameliwa au...?

    Kuna wakati walisema ofisi zao zimehamia msasani karibu na shule ya msingi msasani. Aliye karibu na maeneo hayo afuatilie na atujuze tafadhali na sisi ni wanahisa
  3. manenge

    Jinsi ya kununua kiwanja bila kutapeliwa

    Ni vizuri ukishaoneshwa shamba utafute muda bila kumshirikisha muuzaji uwatafute majirani zaidi ya mmoja na wakati totauti uulizie kuhusu mmiliki halisi wa hayo maeneo. Other wise unaweza kuuziwa shamba ukaja kuambiwa wenyewe wapo Dar na hawauzi. Vile vile ni kama ni mzee mwenye shamba ni vizuri...
  4. manenge

    Tanzania Tanzania Nakupenda Kwa Moyo Wote

    Sincerely it's nice
  5. manenge

    Serikali, Wenye Hisa za NICOL ndio wameliwa au...?

    Kwa heshima na taadhima naomba kama kuna member yeyote anayejua kampuni la uwekezaji la kizalendo la NICOL lina maendeleo gani anijulishe tafadhali. Kwa mara ya mwisho najua kulikuwa na kutokuelewana na mwenyekiti Felix Mosha lakini sijui nini kimeendelea.Je kama niliwekeza hisa zangu huko...
  6. manenge

    Reason Why France, Tanzania, SA are fighting M23...

    Uchumi wa Rwanda ni mdogo sana na unategemea giant DRC hasa looting ya madini sasa kuingia kwa hayo majeshi ya SA na TZ ni hatari kwa uchumi wao kwa sababu hawatweza kuiba tena madini. Pili kitendo cha Tanzania kutokukubali ardhi yetu iwe ya wote ie EAC nayo imeongezea hasira kwani walikuwa...
  7. manenge

    Elections 2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

    Mimi naona Mh. Zitto anapiga mahesabu ya mbali. Anajua katiba mpya mbunge hawezi kuwa waziri hivyo anajiweka mbali ili rais ajae aweze kumpa uwaziri. Nina uhakika kutokana na uwezo wake hawezi kuachwa nje kwani ni jembe kwelikweli
  8. manenge

    Plot inauzwa mpiji darajani

    Naomba unijuze kama imepimwa na kuwa na hati tafadhali
  9. manenge

    Red Brigade: Kikundi cha mauaji, watekaji, wamwagia sumu na "nchi kutotawalika"

    Ndugu yangu Nchemba mwogope Mungu kwani huwa hadhiakiwi. Lakini linalonishutua zaidi ni kwa wale waliomwamini na kumpa madaraka kuendelea kumvumilia mtu anayeipeleka CCM kaburini.Huitaji darasa lolote kuelewa kwamba anayoongelea huyu jamaa ni propaganda ambazo hazisaidii CCM zaidi ya kuwatia...
  10. manenge

    CHADEMA wanasa waraka wa siri wa CCM... Aliyekuwa mgombea UWT Taifa, Maryrose Magige ni CHADEMA

    Tukubali tu kuwa kila chenye mwanzo kina mwisho. CCM imeezeeka na haitaki kukubaliana na ukweli. Karibu vyama vyote vilivyopigania uhuru na kukataa mabadiliko vimeshapigwa chini. Ni zamu ya CCM penda usipende. Sio mimi ila ni historia inasema hivyo pole sana. Kwa hiyo yanayoendelea kwenye...
  11. manenge

    Kwanini mpaka sasa Mwigulu Nchemba hajajitokeza kuongea au kusalimu wahanga?

    Salam kwa Nape na Mwigulu Njemba. Mwogopeni Mungu.Hakuna hata mmoja aliyetumia mabavu kwa kumwaga damu za wasiokuwa ha hatia akabaki salama. Damu za watu zilizomwagika hakika hazitapotea bure. Ni suala la muda tu.Mungu ibarikia Tanzania
  12. manenge

    Capt. Komba: CHADEMA inachangia kufeli na kushuka kwa elimu Tanzania!

    Kama huna cha kusema kabisa ukaamua kukaa kimya kuna ubaya gani kuliko kutumia nguvu kuongea kitu ambacho hakina mchango wowote katika afya ya elimu nchini
  13. manenge

    Sera ya kubeba wanawake ni mzigo kwa taifa: HAISAIDII TAIFA

    Kweli hii siyo sera sahihi hata kidogo.Watafute njia nyingine ya kuongeza ajira kwa wanawake na sio kuwapatia ubunge. Huu uwakilishi wa mbunge mmoja tayari ni mzigo tosha kwa taifa.
  14. manenge

    Bakuli la CCM Mtwara!!

    Hela zote za nini. Kwanini wasichangie kununua hata ya madawati ya watoto wanaokaa chini kuliko matumizi yasiyo na tija?
  15. manenge

    Maalim Seif: Tunataka Zanzibar yetu!

    Napenda kutoa onyo kwa Wazanzibari wote. Zanzibar ipo kwa sababu ya Muungano, nje ya Muungano kuna Upemba na Unguja.(Nukuu ya Mwalimu). Mtambue kwamba Muungano ukishavunjika Waarabu watakuja kuchukua koloni lao na wote mtaolewa kwani kila kitu mtapewa na waarabu na baada ya miaka kama 20 nchi...
  16. manenge

    Vigezo vitakavyotupa Rais bora 2015 (Dini, Muungano, kipato, elimu, Katiba Mpya, wafadhili)

    Tuendelee kuchangia sifa za mgombea atakayetufaa. Tukiongelea majina hakika tutapata taabu sana kupata rais kwani yapo mengi ambayo yameshaanza kutajwa na hadi kufikia 2015 yatakuwa zaidi ya 50 lakini wana JF tukiongelea wasifu wa rais tunayemtaka hakika majina yatakuwa machache sana na itakuwa...
  17. manenge

    Vigezo vitakavyotupa Rais bora 2015 (Dini, Muungano, kipato, elimu, Katiba Mpya, wafadhili)

    Awe maskni au tajiri, lakini akiwa tajiri kusiwe na shaka yeyote jinsi alivyoupata. yaani awe na utajiri unaoelezeka kwa maana ya utajiri wa kurithi au wa biashara na awe mlipa kodi mzuri
  18. manenge

    Vigezo vitakavyotupa Rais bora 2015 (Dini, Muungano, kipato, elimu, Katiba Mpya, wafadhili)

    Kumekuwa na malumbano marefu ya kuanza kupiga ramli nani atakuwa rais wetu mwaka 2015. Katika malumbano hayo watu wanaongelea majina ya watu. Mimi nafikiri tuongelee sifa za kiongozi atakayetufaa na baada ya sifa hizo tuangalie nani anazo bila kuangalia chama anachotoka, kabila lake, rangi yake...
  19. manenge

    Hivi ukifanya mapenzi mfululizo unapata madhara gani kiafya?

    Kwa hakika kama ni kweli siku zako hapa duniani zinahesabika.Anza kufanya maandalizi ya kwenda ahera. Pole sana.
  20. manenge

    Gari Moshi (Train) zaanza safari jijini Dar es Salaam!

    Hongera Dkt Mwakyembe. Kwa hali yeyote ile kila mmoja wetu amuunge mkono kwani kero ya usafiri Dar imekuwa tishio la kweli kwa uchumi wa nchi. Tunaomba na mradi wa mabasi ya kasi uharakishwe na pia ikiwezekana ziwekwe boat za kasi kutoka Ununio hadi posta. Hii itapunguza sana msongamano. Penye...
Back
Top Bottom