Search results

  1. B

    Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    Naomba msaada wa SHERIA YA ELIMU na. 25 ya 1978 na marekebisho yake mkuu.
  2. B

    Msaada: Mwenye kanuni za utumishi umma 2003 anitumie

    Nahitaji sheria ya elimu namba 25 ya 1978 mkuu kama inapatikana
  3. B

    Vipi Mshahara wa mwezi Agosti ushatoka?

    Are serious broo Sent using Jamii Forums mobile app
  4. B

    Julai 2017: Nyongeza za mishahara na kupandishwa vyeo - Kilio cha Watumishi wa Umma

    Basi tupige kazi kama vp maana tumeshindwa kubattle nao.... No way out Sent using Jamii Forums mobile app
  5. B

    Julai 2017: Nyongeza za mishahara na kupandishwa vyeo - Kilio cha Watumishi wa Umma

    Niya kweli hayo? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. B

    UTUMISHI: Hakuna nyongeza ya msahahara kwa sasa, tamko la Rais bado linafanyiwa kazi

    Ngoja nikabet ninaweza kuamka tajiri ila sio huku........ Post sent using JamiiForums mobile app
  7. B

    UTUMISHI: Hakuna nyongeza ya msahahara kwa sasa, tamko la Rais bado linafanyiwa kazi

    Ngoja nikabet.......... Post sent using JamiiForums mobile app
  8. B

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wanatoa ngap ukikosa mbili?
  9. B

    TANGAZO!! TANGAZO!!.... Kiwanja kinauzwa kipo MWANZA.

    Hakijapimwa lakini ukubwa wake ni mita 20 kwa 25.
  10. B

    TANGAZO!! TANGAZO!!.... Kiwanja kinauzwa kipo MWANZA.

    Kiwanja kinauzwa kipo mitaa ya Igombe Ilemela mwanza..... Kiwanja ni kikubwa kwa bei ya Tsh 5000000/= maelewano yapo. Kwa wanunuzi seeious tuwasiliane kwa 0756442366. Nawasilisha....!!
  11. B

    TANGAZO!! TANGAZO!! BIASHARA: Kiwanja kinauzwa

    > Kiwanja kinauzwa bei ni 5000000/= > kipo mwanza wilaya ya ilemela kata ya bugogwa mtaa wa Igombe. Sangara kwa wingi mtaa huo. > kama upo serious tuwasiliane kwa 0756442366. Nawasilisha.....!!!
  12. B

    Mwanza: Tetemeko la ardhi limetokea, Askari mmoja apoteza maisha

    Nilikua class nasimamia paper yaan n noma, ili ujue kifo kinaogopwa litokee tena hata dogo tu......[emoji12] [emoji12]
  13. B

    Zitto Kabwe: Kila wakipanga kuniteka wanakuta mti wa mrumba au Bwawa la karosho au ziwa Tanganyika

    Hawanaga hoja hao , na wao ndo wanatumika kuwateka wanaowaudhi sana
  14. B

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii meridianbet kila nki register inanambia invalid email msaada tafadhali
  15. B

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mie mbona kuna mechi 17? Inakuaje hapa
  16. B

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mmmmh.... lazma uwe na kifua kipana sana kwa mambo haya
  17. B

    Kiama: Vocha za simu kukatwa kodi ya VAT kabla ya kuzitumia!

    He nikiongeza salio kwa m pesa nakatwa pia ?
  18. B

    Je Computer yako ina tatizo lolote!! Wasiliana nasi sasa upate ufumbuzi wa tatizo hilo.

    Kioo cha lenovo ideal pad 110 bei gani na kuweka?
Back
Top Bottom