Search results

  1. BAOBAO

    Waasisi wa JKK na kongamano kubwa kihistoria la jukwaa la kumhubiri Kristo

    Naomba kiongozi, fatilia link hii http://bit.ly/ShalomTvTz_Bishop_Gamanywa kufahamu makusudi ya Jukwaa la Kumhubiri Kristo; ambayo kesho pia, wataelezea kwa watu wote kupitia Kongamano hili. ASANTE NA MARANATHA !
  2. BAOBAO

    Waasisi wa JKK na kongamano kubwa kihistoria la jukwaa la kumhubiri Kristo

    Waasisi wa Jukwaa la Kumhubiri Kristo ni askofu mkuu Sylvester Gamanywa, Mtume dk. Veron Fernandes, na askofu mkuu Zachary Kakobe ambao wameandaa na kugharimia kongamano kubwa la kihistoria la kwanza Tanzania kufanyika; IWE MVUA AU IWE JUA; watanguruma Jumamosi hii ! Hizi ni habari njema kwa...
  3. BAOBAO

    Dodoma INVESTMENT GUIDE -(PDF 98pages)

    Dodoma jiji kujenga hoteli ya ghorofa 11 katikati jiji eneo la Paradise. Pichani mchoro wa hotel
  4. BAOBAO

    Rais Magufuli atua Dar leo

    Unashangaa nini kwa utaratibu wa kila kitengo kiwe na watu MAALUM wa Kitengo kwa usalama wa TAIFA ? Haujamtendea haki huyo Dada pichani kwa kumtaja kwamba ni MTU wa kitengo kwa mazingira ya utumishi wake sasa maana wakati mwingine hajawahi kuwa usalama wa TAIFA.
  5. BAOBAO

    Taarifa na ushauri kwa wanaoomba kujiunga na kozi Vyuo Vikuu kwa mwaka 2019/2020

    MAONESHO KWA VYUO VIKUU YAMEANZA MAONYESHO YA TAASISI ZA ELIMU YA JUU NA VYUO VIKUU YAMEANZA JIJI LA DAR
  6. BAOBAO

    Taarifa na ushauri kwa wanaoomba kujiunga na kozi Vyuo Vikuu kwa mwaka 2019/2020

    Wakuu naomba tuhusike na kichwa cha habari hapo juu kwa kupeana taarifa na ushauri kama wadau wa Elimu ya juu. Asanteni kwa kusaidiana kama ilivyo mila na desturi Yetu wana Jukwaa hill. ================================================================ TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UDAHILI KWA...
  7. BAOBAO

    Kama mzazi mwenye akili timamu siwezi kumchoma moto mwanangu hata kwa dk 2, Je, Mungu anaweza kumchoma moto mwanadamu aliyemuumba milele na milele?

    Mungu atachoma milele viumbe vyake sio watoto wake. Kuna tofauti ya kiumbe cha Mwenyenzi Mungu na wana wa Mungu. Wanadamu wasiomkiri Yesu Kristo kama ni Bwana na Mwokozi wa maisha yao wanaitwa VIUMBE na hawana tofauti mbweha au fisi watakaotupwa motoni milele pamoja na mashetani (Marko...
  8. BAOBAO

    Dodoma INVESTMENT GUIDE -(PDF 98pages)

    Pole mkuu ! Haya tazama video
  9. BAOBAO

    Dodoma INVESTMENT GUIDE -(PDF 98pages)

    Tazama video ya tukio la uzinduzi wa fursa za uwezekezaji Dodoma uliofanywa na mhe.Waziri mkuu, Kassimu Majaliwa tarehe 27-Juni-2019.
  10. BAOBAO

    Dodoma INVESTMENT GUIDE -(PDF 98pages)

    TANGU ZAMANI KUNA FURSA NYINGI ZA KUWEKEZA MAKAO MAKUU YA NCHI TANZANIA MKOA wa Dodoma una fursa nyingi za kiuchumi na kijamii na fursa ya kwanza inatokana na jiografia yake ya kuwa katikati ya nchi Hali hiyo inawezesha mkoa huo kufikika kwa urahisi kutoka maeneo yote ya Tanzania, hivyo...
  11. BAOBAO

    UFAFANUZI: Usalama wa Taarifa binafsi za Watumiaji wa JamiiForums

    Nimependa post hii chini na kubwa ameeleza hoja/sababu za msingi kwa nini bado anaamini uongozi wa Jf. Soma ANGALIZO: KUNA SITES ZIMEANZISHWA NA WATU WAKO KAZINI KUSHUSHA CREDIBILITY YA JF KWA KUZI- PROMOTE ZA KWAO...
  12. BAOBAO

    UFAFANUZI: Usalama wa Taarifa binafsi za Watumiaji wa JamiiForums

    Kongole kubwa Mkuu kwa taarifa hii ya kueleweka kwa watu wanaofahamu kwa nini wako hapa. HUU NI MWENDELEZO WA VITA NA MAADUI WANAPIGA POROJA ZA PROPAGANDA KWENYE MITANDAO YA JAMII BAADA YA KUSHINDWA VITA KABLA YA KUANZISHA VITA. Tuko pamoja na uongozi kulitendea haki jukwaa hili. Kumbukeni...
  13. BAOBAO

    Dodoma INVESTMENT GUIDE -(PDF 98pages)

    The preparation of this guide was supported by the United Nations Development Programme (UNDP) and Economic and Social Research Foundation (ESRF). EXECUTIVE SUMMARY Dodoma Region is a newly unfolding investment and business opportunity. The region has a population of 2,312,141 in 2017...
  14. BAOBAO

    Planning ya mji wa Dodoma ni mbovu, mji unaendelezwa zaidi kuelekea upande mmoja wa barabara ya Dodoma kwenda Dar es Salaam

    FURSA ZILIZOPO MKOA WA DODOMA https://www.jamiiforums.com/threads/zijue-fursa-zilizopo-mkoa-wa-dodoma-sasa.1090916/
  15. BAOBAO

    Hali ndani ofisi za Psssf kwa wastaafu ni majanga tupu

    UMESEMA KWELI KABISA 100%+. RUSHWA IKO WAZI WAZI PSSSF.
Back
Top Bottom