Search results

  1. fredmlay

    Air Tanzania yaondolewa kwenye mfumo wa malipo wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga(IATA) kwa sababu ya madeni

    Kurudi rasmi kivipi wakati mkurugenzi anasema ni kupitia mgongo wa mtu? Mkataba uliosainiwa sio wa IATA ila ni shirika binafsi la HAHN Air, sasa huo unazi wa kuongeza habari kujipendezesha itasaidia nini ilhali ukweli uko hadharani? Aliyeingia chaka sasa hapa ni nani kama sio wewe mwenyewe rafiki..
  2. fredmlay

    Mrejesho: Forex ya Ontario

    Haijalishi watu wanasema nini, mafanikio ambayo yameanza kuonekana kwa wengi wetu ni uthibitisho tosha wa jinsi TMT ilivyo fanikiwa kubadili maisha kupitia fursa ya forex trade. Mimi kama mmoja wa wanufaika nampongeza sana Ontario kwa moyo na nia ya kutufikia vijana wengi ili kupambana na...
  3. fredmlay

    Kwanini Serikali ya awamu ya 5 inatumia nguvu kubwa kuzima hoja za upinzani?

    Mkuu uko na shida kidogo hapo.., umewahi kusikia kati ya wote walioitwa wachochezi na kufikishwa kwa pilato wangapi walipatikana na hatia? Kwanini wanaishia kushinda kesi? Halafu tena wewe mwenyewe unajiuliza mwizi wa simu anatiwa kiberiti lakini Lowasa anadunda mtaani, unafikiri nani mjinga...
  4. fredmlay

    TRA: Tumekusanya jumla ya Shilingi Trilioni 3.65 kuanzia Julai hadi Septemba 2017(Robo ya kwanza mwaka wa fedha 2017/18)

    Kuna haja ya kuziangalia tarakimu hizi kwa makini kabla ya kulaumu au kusifia. Uchumi wetu ni uchumi dhaifu kati ya chumi za dunia hii ndio maana pato la nchi yetu hupimwa kwa dollar na sio shilingi yetu, swali la kujiuliza kwanini serikali inapotoa takwimu za makusanyo ya kodi hawapendi...
  5. fredmlay

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu Bavaria hii kitu haifunguki aisee, kama hutajali naomba nitumie kwa email fredmlay@gmail.com ikiwa kwenye excel
  6. fredmlay

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Kuna mtu mmoja aliwahi kuulizwa ukipewa hii nchi kipaumbele chako cha kwanza, cha pili na cha tatu ni kipi? Majibu yake yalikuwa yakufurahisha lakini yanayohitaji tafakari ya kina; 1. ELIMU 2. ELIMU 3. ELIMU
  7. fredmlay

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Ontario mkuu I Salute... Inahitaji moyo wa pekee kuwajulisha watu opportunity kama hii, Mungu akubariki sana na ikiwezekana wazaliwe mamilionea humu kupitia wema wako. Sasa mkuu umesema yafuatayo:- “Mimi nimekaa na kuwaza sana, nimefikiria nitoe offer ya watu wa mwanzo kabisa kutoka JF. It's...
  8. fredmlay

    Yanayojiri Bungeni 19 Novemba, 2015: Rais Magufuli amteua Majaliwa K. Majaliwa kuwa Waziri Mkuu

    Hahahaha Pasco, leo sina furaha lakini hili nalo limenifanya nicheke
  9. fredmlay

    Yanayojiri Bungeni 19 Novemba, 2015: Rais Magufuli amteua Majaliwa K. Majaliwa kuwa Waziri Mkuu

    Kama alishatajwa kabla jina halijapelekwa bungeni na akaandikwa kwenye gazeti nini usichoelewa hapo
  10. fredmlay

    January Makamba: CCM imeshashinda majimbo 176 mpaka sasa

    Uchafu wa ccm ni escrow, iptl, deep green, epa, uuzwaji wa nyumba za serikali, mikataba ya kifisadi ya gesi, dhahabu, uranium, richmond, dowans, symbion, nk. Sasa ndugu yangu uvhafu wote huu ni Lowasa? Mimi naamini wewe na mimi tunaenda kuongozwa na mwizi mwingine na itakuwa hari zaidi.
  11. fredmlay

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Kama umati ni kipimo tosha hakuna wa kumzuia Lowasa, na kama kufahamika vijijini ni kipimo tosha pia hakuna wa kumzuia Lowasa. Kama umati wa jangwani ulitosha kuihakikishia ccm ushindi badi viongozi wastaafu na waliopo madarakani wasingeita wapinzani malofa nk, leo ccm ilipanic, sijajua kwanini...
  12. fredmlay

    Aden Duale: CCM Itadondoka kama KANU

    hahahahahahaha Labda kama mko tayari kuripo "The Hague"
  13. fredmlay

    CHADEMA yaonywa na JWTZ 'Leave us alone" - Army

    Unaumizwa na constitutional rights??! Hao mashabiki wa Magufuli hawakukeri? Kushabikia magaeuzi ni ujinga na kutokwenda shule?Umekula maharage ya wapi wewe?
  14. fredmlay

    Kwanini Tutampigia Kura Magufuli na Kupata Ushindi Wa Kishindo Oktoba 25!!

    Chililo mko wangapi ili tujihakikishie ushindi wa kishindo?
  15. fredmlay

    Picha hii inatufundisha nini kuhusu kufikiria kwetu kuhusu Watawala?

    Akili na mawazo mapya unayozungumzia ni yepi hayo? Chupa mpya mvinyo uleule? Kweli watanzania tuna tatizo kubwa la kufikiri, kuchambua na kufanya maamuzi
  16. fredmlay

    Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    Mimi sio mtetezi wa EL mimi ni UKAWA 100%, ila naomba nikuulize swali moja tu. Huo ufisadi wa EL unaojulikana na nchi nzima ni upi? Hivi kuna rushwa ndani ya ccm na serikali yake ambayo imefanyika ikulu haihusiki? Kwa mtazamo wangu ni bora ccm ikapumzishwa rushwa imekuwa ndio maisha yao.
  17. fredmlay

    CCM Wakimpitisha mtu mwenye tuhuma za Rushwa utakua mwisho wangu kuingia humu JF!

    Ukinitajia mmoja tu kati ya watia nia wa ccm asiye fisadi nitakuelewa, yani genge la mafisadi (ccm) linatafuta mgombea mmoja halafu wewe unatarajia genge hilo lituletee asiye fisadi? Kweli watanzania hatuishi vituko..!
  18. fredmlay

    CCM: Mnaitia aibu Tanzania

    Mkuu nafikiri hili si jambo dogo, watawala hawawezi kulizungumzia hili maana lina maslahi upande flani, sasa nashauri tuanzishe vuguvugu la kukataa huu ujinga kwa kukusanya saini za watanzania ikibidi hata kupinga mahakamani, pia nafikiri jaji Lubuva tunaweza kumshitaki kwa kaunzisha majimbo...
Back
Top Bottom