Search results

  1. shuve

    Ni aibu kwa mtumishi wa umma kung'ang'ania ofisi huku umestaafu

    Mzee ana mawazo sana tumieni hekima na busara kwa kweli hapo.
  2. shuve

    Aliyekaa mahabusu miaka 7 kwa kukisababishia Chuo Kikuu Huria hasara, ahukumiwa

    Miaka saba upepelezi ulikua bado sio? Kuna haja ya kubadili huu utaratibu maana miaka saba na isinge kua haya mabadiliko ya sheria ange kaa zaidi ya hapo maana kuchelewa kwa haki ni chanzo cha kukosa au kunyimwa haki kwa mtuhumiwa alie mahabusu.
  3. shuve

    Je, mwanaume anaweza kumbaka mke wake wa ndoa?

    Mwanamke anapo olewa inamaana ameridhia(consent) kufanya tendo la ndoa mda wowote labda Kama ni mgonjwa anaweza kukataa ila la sivyo hawezi kukataa na akikataa basi ni refusal consummation na ina weza kuwa sababisha separation mpaka divorce. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. shuve

    Je wajua Sare ya 0-0 Kati ya Madrid na Psg , Madrid anaaga mashindano??

    we jamaa umenifurahisha sana asee
  5. shuve

    Je wajua Sare ya 0-0 Kati ya Madrid na Psg , Madrid anaaga mashindano??

    Matokeo ya mwanzo ilikuaje na izo ni rules zipi za soka?
  6. shuve

    Wote tumesema kuhusu Tundu Lissu lakini kwa huu wimbo wa Aslay katuzidi!

    Hii single ni kali sana Sent using Jamii Forums mobile app
  7. shuve

    Matusi kwa mtongozo wa siku moja tu

    Uache papara kama jogoo hata jogoo anasoma nyakati huenda uli mwambia akiwa kwenye mood mbovu. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. shuve

    TANZIA: Dr. Elly Macha mbunge wa viti maalum kupitia CHADEMA afariki dunia

    Apumzike kwa aman mama etu mpendwa
  9. shuve

    Nauli Arusha - Dar yashuka mpaka shilingi 13,000-15,000

    Tumegoma kusafiri nana sisi
  10. shuve

    Yaliyojiri Kutoka Ikulu: Mahojiano ya Rais John Magufuli na Wahariri wa Vyombo vya Habari

    "Uraisi ni punishment na sacrifice" Hayo ni maneno ya JPM
  11. shuve

    Arusha: Mwanafunzi wa Chuo cha Tumaini, Makumira abakwa hadi mauti

    Kama ni upepelezi unaanza na huyu bwana ake.
  12. shuve

    Kuuliza sio ujinga

    Hhahahahahahahahaha
  13. shuve

    Kuuliza sio ujinga

    Tukana ovyo ovyo na kutuma picha za ajabu ajabu ndo utajua kazi yake nini na kingine kama unajua maana ya MODERATOR basi usinge kuja na hili swali.
  14. shuve

    Arusha: Mwanafunzi wa Chuo cha Tumaini, Makumira abakwa hadi mauti

    Anacho kanusha yeye kuwa hakushiriki katika video ya Salome.
  15. shuve

    Girlfriend wangu ananiendesha kweli,Kichwa kinanivuruga sasa

    Vizuri gharama na ukubali kugharamia asa ww unachukua range rover huna hata uwezo wa kuweka mafuta mkuu tafuta mnae endana kihali na atakae kubali hali yako japo wengi vinyonga.
  16. shuve

    Arusha: Mwanafunzi wa Chuo cha Tumaini, Makumira abakwa hadi mauti

    Ila sio sababu yakutoa uhai wa mtu na hata mtu akiumizwa vip sio sababu ya kufanya unyama huo.
Back
Top Bottom