Search results

  1. jackline1

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Hawa Frankfurt United leo inatakiwa wafungwe tena in style. Gazzeti la Le Equippe limesema-Barca toka irudishe Tikitaka imeupiga mwingi-limeshauri watafute wachezaji sio kwa ustar bali kwa uwezo wa kumudu tikitaka. Limedai uwezo wa Xavi unaweza kumfanya mchezaji yoyote mwenye dna ya tikitaka...
  2. jackline1

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Yaani ktk makocha ninao shindwa kuwasoma ni Tuchel na yule wa PSG-hopeless sana
  3. jackline1

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Ancelotti mna muonea,mpe Man City leo kama hakuupiga mwingi-tatizo ni players alionao hapo RM.
  4. jackline1

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Hawa Seville jana Mungu alikuwa nao-mpira unakataa kuingia nyavuni na pressure yote ile-ingekuwa kwetu usukumani lazima tungelivamia goal lao kuitoa hiyo hirizi:):):)
  5. jackline1

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Le Equip-gazzet linaandika hawa Seville leo watacheza 11 nyuma ya mpira na kuvizia counter attack-limemshauri Xavi wing moja Traore,wing ingine Dembele ili watu wauane hapo kati
  6. jackline1

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Hawawezi kukupa nafasi,wakizuazua wanapewa penalt,mchezo umekwisha
  7. jackline1

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Tukatae/tukubali Barca kuna clear out kubwa inakuja-Laporte hataki kufanya kosa
  8. jackline1

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Tiki taka inamuhusu Mbappe lazima asikie kizunguzungu
  9. jackline1

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Madrid wamekuwa wateja wa Barca.Madrid females wamepigwa 3-1 jana
  10. jackline1

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Leo El Classico ya wanawake kombe la UEFA- Madrid mko home ground lakini kichapo kiko palepale
  11. jackline1

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Leo saa 5 usiku sa ya Tanzania-inachezwa match ya Classico ya wanawake kombe la UEFA.Barcelona females watakuwa ugenini.Madrid females hawategemei kushinda sababu akina dada WA Barcelona hawajafungwa match 34. Barca TV leo imemuonyesha Traore akipewa darasa maalum na Xavi-wakitumia stimulator...
  12. jackline1

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Gazetti la El Mundo linadai kwamba wataalam wa soka walishasema Tiki taka imepitwa na wakati-ajabu ni kwamba Xavi ameirudisha to a devastating effect- Gazetti limeendelea kudai Tiki taka kwa sasa inachezwa na back na midfielders wa Barca tu sasa punde Tikitaka ikifika kwa strikers itakuwa taabu...
  13. jackline1

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Qmmae,mshukuru sana sana-Xavi kachelewa kuja Barca-tungekuwa tunaongea mengine hapa
  14. jackline1

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Magazeti ya Spain yanaandika hii midfield ya Barca kufikia msimu ujao itakuwa haikamatiki-yanadai midfield ya kina Iniesta inasukwa upya na Xavi-katikati Barca imekuwa mithili ya python inakunyima pumzi alaafu inakumeza mzimamzima. Yes Barca are back crisp passes pekee ni worth the entrance...
  15. jackline1

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Barcelona tutashinda kama tutaweza umiliki mpira in the middle of the park-hapo kati tuki wa overwhelm Madrid we win-i have this gut feeling it is what we will do today- lets pray and hope for the best and at the end dance
  16. jackline1

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Hii Barca for now it may be too late-but msimu ujao we will be fighting for honours Spain.Magazeti ya Spain leo yanamjadili Dani Alves,inakuaje hii position Barca inawasumbua sana lakini yeye anaimudu bila jitahada kubwa? je ni genes za Barca ndio zinamsaidia au ni bahati tu? Dani amesema mbele...
  17. jackline1

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    We naye-dont you see they were just lucky-hii kazi tutaimaliza huko huko kwao
  18. jackline1

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Jamani,what has happened to Messi-huyu sio Messi tunayemjua-au mfumo PSG uko tofauti- Messi ghafla kawa ordinary player anakuwa outplayed na Benzema. Hawa wa Turkey leo itapendeza kama tutawapiga goal nyingi
  19. jackline1

    Sioni Dalili ya show ya "Afroeast Carnival" ya Harmonize kufanyika

    Niliitazama hii show live kupitia Ceek.com WELL sikuamini kama hii ni Tanzania-the guy killed it.Hii team ya Harmonize inastahili pongezi. Kumbe Watanzania we can do it tukiamua.The part anashuka na stage with the daughter was soo emotional!!!!! Ubunifu was spot on.Its just a matter of time...
  20. jackline1

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    in so long as Barca play football from the front,we will go places-flanks ni muhimu sana huyu man mountain Traore will always occupy defenders so that others finish the job-Hii last game we were unlucky in front of goal,any other day we would have been home and dry by half time.Galastaray will...
Back
Top Bottom