Search results

  1. K

    Viongozi wa Uamsho walia mateso wanayoyapata selo

    Tusubiri kwani muda mfupi twaweza ondokewa na utando machoni, hakuna amani iliyopatikana bila damu na mateso.
  2. K

    [WARNING-DISTURBING IMAGES] Mwanamke Achomwa na Pasi Mwili Mzima

    Duh, waelimishwe watu ndoa inayovunjwa ni ile iliyoshindikana kujengeka. Hivyo kuwepo uwezekano wa kuwaruhusu watu kuachana, majitu mengine ni manunda. Pole kwa wote waliofikwa na mkasa huo.
  3. K

    Katibu wa Mufti Zanzibar (Sheikh Soraga) amwagiwa tindikali

    Mmmmh kuna jambo. Pia SUK wawe macho na visasi, wasiwaruhusu vijana wa kmkm kupiga hovyo mitaani kwani kuna rafiki yangu wiki iliyopita alinipigia kuwa polisi na sijui kmkm wanakamata vijana hovyo na kuwadunda kwa maelekezo maalum kuhusu walipo vijana hao.
  4. K

    Mtoto aliyekojolea msaafu kortini...

    Nadhani sasa wakati umefika kwa waislam na wakristo (dini kuu Tz) wakiwakilishwa na viongozi wao wakae pamoja na kuweka mikataba ya kuheshimiana na kuvumiliana (kutohujumiana, kutodhulumiana, kutoshambuliana). Hapo zamani paliweza kufanyika mikataba kama hii (mwanzoni mwa kipindi cha Mtume wa...
  5. K

    Kwa nini tunawapigania Mitume??

    Watu hawapiganii Mitume bali Imani zao. Swali kama hilo unaweza kuwauliza watu ambao mara nyingi huamua kukojolea Qur'an, kuichoma au kuiweka chooni. Je, nani anawapandisha chuki kufanya hayo na nia yao nini? Kwani hata wakifanya hivyo bado mafundisho yapo mioyoni mwa watu hivyo haisaidii...
  6. K

    Chaguzi ndogo za kata

    Nami natamani kati ya hizo 20, Magomeni (Bagamoyo) iwe mojawapo; hii itasaidia kuondokana na usukule wa viongozi wanaotumia rasilimali za umma kufanya anasa na kuimarisha ufalme wao.
Back
Top Bottom