Search results

  1. Kamyamya

    Rais Samia naomba ukemee ubaguzi kwenye sherehe za Mei Mosi

    Soma vizuri taarifa hii ya Tucta utabaini ukweli wake.
  2. Kamyamya

    Watusi walifikaje Mkoa wa Mbeya?

    Nadhani ni katika suala zima la kuoleana maana nakumbuka mwaka nimetembelea Wilaya ya Kyela nulipokuwa naishi kulikuwa na jirani yetu Mjeshi mstaafu wa kinyaki familia yake ilikuwa na wajihi wa kinyaru. Nilipoendekea kuchunguza zaidi niligundua kuwa mama yao ni mnyarwanda.
  3. Kamyamya

    Ewe mwanaume mwenzangu usitoe msaada wa pesa kwa ndugu yako au mtu yeyote mbele ya mke wako

    Hawa rafiki zetu( wake) sijui waliambiwa nini na yule nyoka yaani hata kuiona tu pesa umeshika jicho halibanduki. Hivi kwa nini mi nilijua inatokea kwa mke wangu tu.
  4. Kamyamya

    Mwanaume epuka kuoga maji ya moto

    Huwa hawaogi Maji ya moto Kwa sababu ya baridi mkuu , ni Mazingira ya kawaida kwao kwani wamezaliwa na kukulia humo.
  5. Kamyamya

    Hivi ndivyo itakavyokuwa pale unapoanza kufa

    Nawaza tu kwamba nitakuwa nimekufa hakika au nitafukiwa nikiwa na bado na hisia nisiweze kujitetea
  6. Kamyamya

    Baadhi ya mila na desturi zilizotumika kufundisha jamii vyema

    Pia; Kumpiga Kwa mfagio mwenzio na kukalia mafiga na kinu ilionekana kuwa ni mwiko.
  7. Kamyamya

    Katavi: Ubovu wa barabara katika Manispaa ya Mpanda, TARURA yanyooshewa kidole

    Wana Mpanda hawana m'bunge pale . Watafakari upya 2025.
  8. Kamyamya

    Makonda: Waziri akayekaa Robo Mwaka bila ripoti ya kazi atachukuliwa hatua

    Muda wowote kuanzia sasa ataliwa kichwa. Mama usichoke kutengua.
  9. Kamyamya

    Usimkopeshe ndugu yako

    Ukweni hapo ndo balaa, utaambiwa sio deni ni mahari.
  10. Kamyamya

    Nini kifanyike wananchi waanze kutokeza kwenye mikutano ya viongozi wa CCM na serikali wakiwemo mawaziri?

    Nimeliona hili jana huku Mpanda wakati Chongolo akihiitimisha ziara yake ya mkoa wa Katavi pale viwanja vya Shule ya msingi Kashato. Mkutano huo ulijawa na wananchi waliokokotwa na kusombwa na magari yaliyo kodiwa kufanya kazi hiyo kila kona ya mkoa. Kimsingi hakukuwa na wenyeji pale bali wageni...
  11. Kamyamya

    Kinachoendelea Kigoma kuibua wachawi ni udhalilishaji, upuuzi na uchonganishi

    Zoezi limeingia pia huku Katavi, wilaya ya Tanganyika katika makazi ya Mishamo. Yaani ni mwendo wa mchakamchaka kitaa Kwa kitaa.
  12. Kamyamya

    Wizara ya katiba na sheria imejizindulia utaratibu wa kula pesa za walipa kodi kwa kampeni ya elimu ya katiba mpya 2024/2026; waanza kuandaa mikutano

    Tumekufahamu mama, huu ni mkakati wako mahususi ili kuchelewesha kwa makusudi kabisa mchakato wa kupata Tume Huru ya Uchaguzi ama Katiba mpya ili 2024/2025 wagombea udiwani, wabunge na Rais kupitia Cham chako Cha CCM wapite bilakupingwa . Hilo haliwezekani , napinga kabisa mkakati huu ovu wa...
  13. Kamyamya

    NHIF Ilala, kwanini hamtaki kutupatia kadi zetu za Bima?

    Naomba kiongozi unijibu na Mimi , nimepigiwa simu na mtoa huduma ofisi zenu hapa Mpanda nikijulishwa kuwa niende nikachukue vitambukisho vyangu viwlili change na Cha make wangu tu vya watoto eti mpaka ni submit kadi za clinic. Hii imekaaje kiongozi ili hali nimeambatisha nakala zote za kuzaliwa...
Back
Top Bottom