Search results

  1. S

    Hivi ukitaka kuliona Bonde la Ufa uende wapi hasa kwa Tanzania?

    Mlima Kilimanjaro na Mlima Meru haviko ndani ya bonde la ufa, lakini vimetokana na bonde la ufa. Kusema kwamba mkoa mzima wa Arusha na mkoa wa Kilimanjaro kuwa ndani ya bonde la ufa ni uongo.
  2. S

    TANZIA Grivas Mwangoka afariki dunia kwa ajali ya Gari

    Mkuu, unawezaje kuandika uongo kwa kujiamini hivi? Origin ya Ford sio England, Origin ya kampuni ya Ford ni Michigan, USA.
  3. S

    Zipi ni Spark Plug sahihi kwa gari lako?

    EJ15 subaru, impreza second generation. GG series.
  4. S

    Mbunge Lema apandishwa kizimbani, afunguliwa kesi 2 za jinai. Anyimwa dhamana

    Mkuu deformation ndo nini? au ulidhamiria kuandika "defamation"?
  5. S

    MWANZA: Mkurugenzi wa Wilaya ya Misungwi afafanua kuhusu tuhuma za kumdhalilisha Mwalimu

    Uandishi wa kitoto! Hivi amewezaje kuwa afisa habari wa wilaya? Ningekuwa JPM ningetumbua wote Mkurugenzi na huyo afisa habari wake.
  6. S

    Naibu Spika Tulia hajamtembelea Spika wa Bunge tangu atoke Hospitali?

    Hivi kweli kwa propaganda mfu kama hizi ndo mnatarajia kuwakomboa wananchi toka kwa sisieme??!! Sisiemu imechokwa, Lakini kama nyie ndio watu mbadala basi tutaendelea kuwa nchi maskini milele! mnaandika umbeya mtupu badala ya kutafuta hoja mbadala za kuweza kuchukua dola na kuifufua nchi! Poor...
  7. S

    Frederick Sumaye, Waziri Mkuu Mstaafu, ameteuliwa kuwa mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA

    Kama akina Sumaye na Lowassa ndo tunawategemea kukuza chama then we are simply doomed, na kama think tanks wetu kama akina Ben Saanane wanabariki hii kitu... unaweza kuelewa kwanin CCM watatutawala milele
  8. S

    Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Sasa naanza kuamini kuna watu mabwege zaidi duniani nyuma ya Lowassa! Mnasherekea kushindwa? Urafiki wa EL na Magufuli umeanza lini? Kikwete ndo mshindi hapo, hebu rudisheni japo hela za EL jamani! Mtamuua kwa presha!
  9. S

    Kama ni kweli basi CCM ni master mind na imefanikiwa!

    Are u guys daydreaming? Sijawahi kuona wanawake optimistic kama nyie! Mmeahidiwa nini? Stay scheming
  10. S

    Mbeya: Utitiri wa redio ni kero nyingine

    Ndugu yangu N'yadikwa, maisha ni kujifunza, kama una akili timamu ukisoma comment za Masopakyindi utaona jinsi alivyokuvua nguo, lakini kama alivyosema Mwandosya akimjibu Zitto... Akili ni nywele, kila mtu ana zake Nakutakia kila la kheri katika ujuha wako
  11. S

    UVCCM yawasha moto Mbeya mjini

    Mpuguso haiko Mbeya mjini, hapo ni wilaya ya Rungwe, Jimbo la Rungwe magharibi, jimbo la Prof David Mwakyusa. Wakati mwingine ndugu zangu wa CCM kabla hamjaposti ushuzi wenu Jf Jipeni muda wa kufanya utafiti japo kidogo!
  12. S

    Ushauri wa Bure Kwa Hon Dr. Harison Mwakyembe (Mb)-Kwa Hili la Richmond!, Bora Ujikalie Kimya!

    Oh! Unamaanisha kwamba uzi huu wenye "comment" 140 hapa JF umemaliza mjadala wa watanzania zaidi ya milioni 40? hehe! kumbe watanzania wote mijini na vijijini wanatembelea JF? Safi sana ndugu greti thinka!!
  13. S

    DAY 2: Updates za mgomo wa madereva wa magari Tanzania - Mei 5, 2015

    Ndugu zangu wa njia ya Ngaramtoni kwenda Mjini Arusha kuna mwenye updates? Mi bado nimevuta shuka, jana wenye Noah walituchaji bei ya taxi wakati wengine mishahara yetu haifikii hata posho ya siku moja ya mbunge wa inji hii!!!
  14. S

    Majengo ya Morogoro, Nani mjenzi?

    Tusidanganyane hapa, Apart from Dodoma na Sumbawanga miji mingne yoote inayobaki ni kama vile hakuna Mipango miji
  15. S

    Ziara ya Mh Pinda Mbeya, Too little and almost too late!

    Cha kumshukuru Mungu ni kwamba Mbeya is naturally endowed! wanazuia mashirika ya pensheni kuwekeza lakini wakati huohuo TBL wamejenga plant ya kisasa East Africa! muulize mtu yoyote wa TBL, plant ya Mbeya inaperform vizuri kuliko plant nyngne yoyote hapa nchini! Juzijuzi hapo Iringa walikuwa na...
  16. S

    Ziara ya Mh Pinda Mbeya, Too little and almost too late!

    Barabara ya Katumba - Mwakaleli imeanza kujengwa kwenye section ya Lupaso - Bujesi (10 km) mchina yuko site! barabara ya Kikusya - Matema wameamua kuijenga yote, kuanzia Tenende mpaka Matema, tender ya civil works ilifungwa november 2014 kwahyo itaanza kujengwa mwaka huu, barabara ya chunya...
  17. S

    Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    Hehe! nahic tulikutana vichochoroni somewhere ukaniuliza kama nafaham iliko benk ya CRDB!! kama sio wewe bac samahani!
  18. S

    List of Applicants with Multiple Selection and Their Allocation into ONE Institution

    Hivi kwanini watu mnapenda kulalamika bila kufanya utafiti japo kidogo? hao walioko kwenye hiyo list ni wale walioapply kwa direct vyuoni kisha wakaapply kwa njia ya CAS na wengine ni wale walioappy direct vyuoni chuo zaidi ya kimoja! ukifungua hiyo list wameindicate kila kitu, vyuo ambavyo mtu...
  19. S

    Karibu Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Morogoro

    Badilisha hiyo 'headline' ili isadifu maudhui, unashindwa hata na watoto wa form four?
Back
Top Bottom