Search results

  1. Michael Bosco

    Utengenezaji wa maandazi

    Naomba mwenye ujuzi na uzoefu wa namna ya kutengeneza maandazi ya biashara. Lengo ni kuuzia maduka madogo madogo yanayonizunguka mtaani. Natanguliza
  2. Michael Bosco

    Msaada wa kujua namna ya kutengeneza maandazi kibiashara

    Naomba mwenye ujuzi na uzoefu wa namna ya kutengeneza maandazi ya biashara. Lengo ni kuuzia maduka madogo madogo yanayonizunguka mtaani. Natanguliza shukrani
  3. Michael Bosco

    Nyumba inauzwa Dodoma

    Nyumba ina: 1. Vyumba 3 2. Sebule 3. Nyumba mkonze ndani ya jiji la dodoma 4. Nyumba imekamilika ila inahitaji finishing kidogo 4. Bei milioni 20 (maongezi yanakaribishwa) 5. Nyumba haina dalali NB. Nyumba haina mgogoro wowote na ina offa Kwa mawasiliano zaidi nipigie kupitia 0717639621...
  4. Michael Bosco

    Natafuta mbia wa kuwekeza kwenye kilimo hasa cha mboga mboga

    Habari zenu! Niende kwenye mada nilikuwa natafuta mbia wa kuweza kuingia naye makubaliano na kuwekeza kwa pamoja kwenye kilimo hasa cha mboga mboga kwani ndicho chenye faida kwa sasa Tanzania. Mimi na baadhi ya vitendea Kazi kama pampu pamoja na utalaamu wenyewe wa kilimo. Chamngoto kubwa...
  5. Michael Bosco

    Natafuta mbia wa kuwekeza naye kwenye kilimo

    Habari zenu! Niende kwenye mada nilikuwa natafuta mbia wa kuweza kuingia naye makubaliano na kuwekeza kwa pamoja kwenye kilimo hasa cha mboga mboga kwani ndicho chenye faida kwa sasa Tanzania. Mimi na baadhi ya vitendea Kazi kama pampu pamoja na utalaamu wenyewe wa kilimo. Chamngoto kubwa...
  6. Michael Bosco

    Mwl. JK Nyerere kuvaa nguo za rangi ya kijani zinachowakilisha chama alichokiasisi

    Suala hili limekuwa likiniumiza kichwa kwa kujiuliza kwanini Mwl JK Nyerere alikuwa havai nguo za rangi ya kijani kwa kuwa yeye ndiye mwasisi wa chama hicho kwani nimejiuliza alikuwa anawaza nini au alikuwa anatabiri tofauti na waasisi wenzake walikuwa wanavalia sare za chama. Ebu nisaidieni...
  7. Michael Bosco

    Jinsi ya kufanya mapenzi na mwanamke wakati wa ujauzito

    Bila shaka kila aliyeko kwenye mapenzi ana kiu yakufahamu staili mbalimbali atakazotumia katika uwanja wa huba kumpagawisha mwenza wake, kimsingi kuna staili nyingi sana ijapokuwa nyingi huhitaji wapendanao wawe wanasarakasiyaani wawe wepesi wa viungo. Leo nitazungumzia staili ambazo mwanamke...
  8. Michael Bosco

    Wa wizara ya afya

    Sasa hii imekuwa to much maana tumekaa banch mpaka tumechoka sa nahisi mpaka viwango vya watu vimepungua kwa ajili ya strees ngoja tu tusubiri mpaka hiyo tar. 15 kama ni kweli maana tumezoea kupigwa kalenda ila ingekuwa wtoto wao wangewahisha
  9. Michael Bosco

    Kufanya mapenzi baada ya kujifungua: Ni baada ya muda gani, vitu gani vizingatiwe?

    Kungonoana au kungonoka na kufurahia tendo baada ya kujifungua inategemea zaidi na wewe mwenyewe (uponaji wako)na lini unadhani uko tayari vilevile ushirikiano wa kutosha kutoka kwa mume/mpenzi wako wakati unaendelea na uponaji baada ya kutoa kiumbe kipya duniani. Ni hali ya kawaida kabisa kwa...
Back
Top Bottom