Search results

  1. Jicho la Tai

    Tahadhari: Huyu ni tapeli wa Kujiaminisha?

    Picha na video zote ni za Morogoro. Kama umeangalia vizuri hiyo picha imekuwa captured toka kwenye video hiyohiyo ya Morogoro.
  2. Jicho la Tai

    Kuna shida kubwa Bandarini, Serikali ipo kimya!

    Je Hii ndio DW Word imeanza kazi? au bado bandari wanasuasua? Kuna wakati ilitoka habari humu kuwa meli zinakaa muda mrefu bila kushusha mizigo mpaka ikafikia hatua meli zinahama bandari lakini Mamlaka ya Bandari wakakanusha pengine ni ukweli ambao ulifichwa. Hii dhambi ya kukanusha taarifa...
  3. Jicho la Tai

    Shule ya English Medium imegoma kumuhamisha mwanangu. Hatiani kukosa mtihani wa darasa la nne

    Kiukweli niliposoma kichwa cha habari nikajua kuna ukiritimba nikawa tayari kukupa mtu wa kukusaidia. Ila baada ya kusoma kisa kizima, nasikitika kwamba siwezi kukupa mtu wa kukusaidia. KUNA UKWELI HAPA LAZIMA TUKUAMBIE Jambo la muhimu lipa ada wanayokudai au peleka uthibitisho kuwa umelipa...
  4. Jicho la Tai

    Uuzwaji wa Viwanja vya Serikali mtandaoni ni Hatua kubwa sana

    Yani ukiona hivyo ujue kuna halmashauri zina ukiritimba, hazitaki kuweka wazi, hivyo zinaona kuweka kwenye mfumo itawakosesha ulaji. Kuna watu maofisi ya Serikali wanapenda kutukuzwa na kufuatwafuatwa, ukiuliza sababu hapo watajifanya wanakupa sababu za kitaalamu kweli kumbe wanachosema...
  5. Jicho la Tai

    Uuzwaji wa Viwanja vya Serikali mtandaoni ni Hatua kubwa sana

    Lazima namba ya simu uliyoandika iwe inaendana na ile uliyosajili wakati wa usajili wako wa Nida. Na Kama namba uliyotumia wakat unasajili nida ni tofauti, basi hakikisha namba ya sasa unayotumia imesajiliwa kwa namba yako ya ileile ya nida. kama unatumia namba ya mtu lazima utakwama
  6. Jicho la Tai

    Uuzwaji wa Viwanja vya Serikali mtandaoni ni Hatua kubwa sana

    As long as tunaona the re is no any way tunaweza judge wametuwekea vibaya au lah... kikubwa tunaviona na tunaamua wakat tumeshaona kama kuna korongo au alh kuliko ile njia ya mwanzo kwenye makaratasi makubwa kama mashuka ya mmasai
  7. Jicho la Tai

    Uuzwaji wa Viwanja vya Serikali mtandaoni ni Hatua kubwa sana

    Sema vinakimbia sana, yan dakika chache tu nashangaa nilichokitaka kimechukuliwa.
  8. Jicho la Tai

    Uuzwaji wa Viwanja vya Serikali mtandaoni ni Hatua kubwa sana

    Ukiingia kwenye huu mfumo wa Tausi kupitia tausi.tamisemi.go.tz una vitu vingi sana ndani japo vingine naona havifanyi kazi. Nimefurahishwa sana na uuzaji wa viwanja ambapo unanunua kiwanja unakiona kwenye ramani kama ilivyo google map, tofauti na ile ya kwenye karatasi. Wengi tuna viwanja...
  9. Jicho la Tai

    Makamu Rais wa Cuba amekuja Nchini kwa ziara ya siku 3, hapo hapo Rais wetu ameondoka Nchini. Wajuzi wa protokali imekaaje hii?

    Mgeni anapokuja hawezi kushinda na rais masaa yote na siku zote. Ukiangalia ratiba vizuri utagundua rais wetu atarud kabla mgeni hajaondoka. Hivyo uwezekano wa kukutana au kuonana bado ni mkubwa sana. Ingekuwa rais wetu ana ziara ya siku 3 alipoenda na mgeni ana ziara ya siku 2 nchini kidogo...
  10. Jicho la Tai

    DOKEZO: Mhe. RAIS, Rudi tena RITA! Ukiritimba wa Huduma ambayo ilipaswa iwe BURE

    Huduma yeyote ile inayoiwezesha jamii husika kupata huduma nyingine, ikicheleweshwa kwa jamii, Maendeleo kwenye nchi huwa yanachelewa au yanaenda Taratibu. NARUDIA! "Huduma yeyote ile inayoiwezesha jamii husika kupata huduma nyingine, ikicheleweshwa kwa jamii, Maendeleo kwenye nchi huwa...
  11. Jicho la Tai

    Maombi kwa Nchi ya Tanzania June/July 2023

    Nchi ya Tanzania inapendwa na Mungu zaidi kuliko hata sisi Watanzania wenyewe. Tumebarikiwa kuwa na bendera yenye yenye rangi nne na kila rangi ina maana yake. 1. Kijani 2. Blue 3. Dhahabu/njano 4. Nyeusi Tuiombee bendera yetu iendelee kupepea juu, ipande saa 12 asubuhi na ishuke saa 12 jioni...
  12. Jicho la Tai

    Natamani kuipinga Taarifa ya awali juu ya sababu za kudondoka kwa lift ya Millenium Tower

    Poleni sana wakazi wa Dar na wahanga wa ajali, nimeona kwenye mitandao hii habari nikatamani kujua vingi, na ningekuwa Dar ningefika hata eneo la tukio for physical observation. Nimeona Mtu kutoka jeshi la Zimamoto na Uokoaji akisema kuwa Sababu kuu za kudondoka kwa lift ya jengo la Millenium...
  13. Jicho la Tai

    Sasa ni rahisi kujisajili kwenye vikundi na kupata Mikopo ya 10% ya Halmashauri

    Katika pitapita zangu nimekutana na video inayoonyesha jinsi sisi wajasiliamali tunavyoweza kujisajili mtandaoni na kuomba mikopo ya Halmashauri. Bila shaka hatutasikia tena nakala kupotea au vikundi hewa. Nimefurahishwa na usajili kutumia namba ya NIDA na siyo majina hewa kama tulivyokuwa...
  14. Jicho la Tai

    Zuhura Yunus na Matangazo mabovu kutoka Ikulu Mawasiliano

    Nimekuwa mara kadhaa nikifutilia ukurasa wa Matangazo ya live (Youtube) ya Ikulu Mawasiliano. Tangu kipindi cha Msigwa na hata sasa kipindi cha Zuhura Yunus. Leo nimeona tatizo linaendelea sasa naomba nikiri wazi kuna mambo yanakwenda ovyo sana kwenye urushaji wa matangazo Youtube live kipindi...
  15. Jicho la Tai

    Wasio na ajira ndio wapewe kazi kwenye zoezi la Anwani za Makazi na Sensa kuwawezesha kiuchumi

    Watumishi wana uzoefu na kazi wanazozifanya lakini hawana uzoefu na Anwani za makazi. Ndio maana kuna mafunzo kabla ya kazi
  16. Jicho la Tai

    Wasio na ajira ndio wapewe kazi kwenye zoezi la Anwani za Makazi na Sensa kuwawezesha kiuchumi

    Katika zoezi ambalo linaendelea la Anwani za makazi, hata linalokuja la sensa, tunaiomba Serikali itumie watu wasio na ajira badala ya kuwatumia watumishi ambao tayari wana kipato. Serikali inapaswa itumie watu wasio na ajira katika zoezi la anwani za makazi pia sensa ili kusaidia vijana wasio...
  17. Jicho la Tai

    Nimechoka kutembea na mizigo isiyo ya lazima mwilini mwangu

    Kuna rafiki yangu ana kichwa kizito mpaka huwa anashindwa kusikitika, namuwazia zaid huyo
  18. Jicho la Tai

    Nimechoka kutembea na mizigo isiyo ya lazima mwilini mwangu

    Baada ya jana kurudi nimechoka sana nyumbani, nikaanza kuwaza kwanini nafika nmechoka nyumbani ilihali sikuwa na kitu cha maana nilichokifanya wala kubeba mzigo wowote. Nikasema nuvue kila kitu ili mwili upate hewa vizuri, ndipo nikagundua kuna mizigo binadamu tunaibeba kila siku na inatuchosha...
  19. Jicho la Tai

    Taarifa ya Mahakama kuwa na Sahihi ya kubandikwa na aibu kwa Muhimili

    HII BARUA INA PUNGUFU MOJA KUBWA SANA AMBALO WENGI HAWAJALIONA NEMBO ILIYOPO KUSHOTO NI NEMBO YA TAIFA (SERIKALI) NEMBO YA MAHAKAMA KUKAA KULIA INA MAANA KUWA MAHAKAMA NI TAASISI INAYOSIMAMIWA/IKO CHINI YA SERIKALI WAKATI SI KWELI MAHAKAMA NI MUHIMILI UNAOJITEGEMEA, HIVYO, BARUA ZA MAHAKAMA...
Back
Top Bottom