Search results

  1. I

    Wahusika wakuu wa Makontena bandarini hawa hapa

    Mnaligeuza suala zito la kitaifa kuwa la kitoto kabisa. Hivi viongozi kupiga picha na mtu yeyote yule ni ushahidi wa ufisadi? Sasa mnataka viongozi wakimbie kupiga picha na watu? Hivi, viongozi wote waliopiga picha miaka ya nyuma na Mramba, Yona, Chenge, Lowassa, Rostam, Bade, Masamaki wote sasa...
  2. I

    Wahusika wakuu wa Makontena bandarini hawa hapa

    Mnaligeuza suala zito la kitaifa kuwa la kitoto kabisa. Hivi viongozi kupiga picha na mtu yeyote yule ni ushahidi wa ufisadi? Sasa mnataka viongozi wakimbie kupiga picha na watu? Hivi, viongozi wote waliopiga picha miaka ya nyuma na Mramba, Yona, Chenge, Lowassa, Rostam, Bade, Masamaki wote sasa...
  3. I

    MAGUFULI na MWAKYEMBE tubuni dhambi hizi.

    Ama kweli Mwakyembe ni Kiboko Yao. Linapokuja suala la mabehewa mabovu ya TRL, Mwakyembe anashutumiwa peke yake bila kumhusisha aliyekuwa Naibu Waziri wake, Tizeba. Linapokuja suala la taarifa ya CAG kuhusu Wizara ya Ujenzi, Magufuli anatuhumiwa pamoja na aliyekuwa Naibu Waziri wake, Mwakyembe...
  4. I

    Ukistaajabu ya Escrow utaona ya Mwakyembe

    HAKUNA KITU HAPA, NI POROJO, CHUKI, INDA, HADITHI ZA KUSADIKIKA ZA MAMLUKI WANAOLIPWA NA MAFISADI ALIOWATIMUA MWAKYEMBE. NILIISHAUSOMA UJINGA HUU KWENYE GAZETI LA BALILE ANAYETETEA BULA AIBU WAHAYA WENZAKE WAWILI WALIOWEKWA PEMBENI NA UONGOZI WA TPA. MAPUNGUFU YA FACTS NI KIBAO: - Mradi wa...
  5. I

    Ridhiwani Kikwete aundiwa zengwe

    Mbona hueleweki, unaongea kama baamedi anayehaha kupata mteja wa kumtuliza siku hiyo?
  6. I

    Nape kadhihirisha uongo wake Dodoma leo

    Don't personalise this matter, you won't discover the truth. Tatizo hapa si Nape, ni uongozi mzima wa CCM uliokosa maadili na mwelekeo. Dawa iko jikoni 2015 ; Mashahidi ni lukuki - Unip, Kanu, Anc (Malawi), Upc n.k.
  7. I

    Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

    Nimeishiwa ya kusema: Pole mwakyembe x 1,ooo,ooo!!!
  8. I

    Dr. Mwakyembe arejea Bungeni

    Ndugu yangu Msauzi, pamoja na nia yako nzuri, mawazo yako ni ya kikabila ambayo mtu msomi na mwenye utaifa kama Dk. Mwakyembe hawezi kuwa nayo. Ndiyo maana hata dereva wa Prof. Mwandosya ambaye yuko naye miaka mingi, ni Msukuma na siyo Mnyakyusa. Mwacheni Mwakyembe na visheni yake kubwa. JF...
  9. I

    Dr. Mwakyembe arejea Bungeni

    Makubwa haya! Hivi Msuya ni Mchagga?
  10. I

    Ajali ya Dr. Mwakyembe na yatokanayo

    Mkuu, naona na wewe una matatizo kama ya huyo Mtanzania unayemtetea faithfully. Nimesema dataz, sikusema shahada! Dataz ni pamoja na ujumbe wa nyumba kumi kumi, udiwani, ukatibu kata na hata hizo shahada! Kama hizo dataz hatituhusu hapa JF, basi afunge mdomo. Tumechoka na porojo za Kyela...
  11. I

    Ajali ya Dr. Mwakyembe na yatokanayo

    Kama kweli Mtanzania unahamu ya ubunge Kyela, basi mwaga dataz zako hapa tuone kama unaviweza viatu vya shujaa Mwakyembe. Hilo brother wetu au dada yetu Mtanzania unayeishi Uingereza huwezi kulikwepa: Mwakyembe is a house-hold name in Tanzania whether you or RC Mwakipesile likes it or not! Lete...
  12. I

    Ajali ya Dr. Mwakyembe na yatokanayo

    Mkuu M Mwanakijiji, heshima zako kwanza. Naliona hilo tatizo, lakini sana sana ni la uelewa tu! Niruhusu Mkuu nitumie fursa hii kukupongeza sana kwa ile master-piece ya Jumatano kwenye Tanzania Daima: UJUMBE WA WAZI KWA EDWARD LOWASSA: UCHAGUZI NI WAKO. I wish akina Dilunga and co. wangeisoma...
  13. I

    Ajali ya Dr. Mwakyembe na yatokanayo

    Mkuu Dilunga, hili si suala la kujua civic education, ni suala la kujua applied constitutional and administrative law na uwe na subira kujifunza mzee! Ukiwa na muda rejea hansard za Bunge uone Lowassa alivyojibiwa alipoingia na hoja hiyo wakati wa kuachia ngazi. Ni maji marefu kidogo; usiyaingie...
  14. I

    Ajali ya Dr. Mwakyembe na yatokanayo

    Mkuu naomba nichangie kama mwanafunzi mzoefu wa sheria. Suala la Lowassa na suala la sasa la Mwakyembe ni tofauti kama usiku na mchana! Katika suala la Lowassa, Kamati Teule ya Bunge haikumhukumu Lowassa ila ilimshauri "AJIPIME MWENYEWE"! Lowassa alikuwa na uhuru wa kujipima kwa kuendelea na...
  15. I

    Ajali ya Dr. Mwakyembe na yatokanayo

    Mkuu Mtanzania, achana na Kusadikika, hapa ni Tanzania. Nimefurahia hiyo statement ya msomi aliyebobea na hana wasiwasi. Mimi na Kombe tumesoma certificate in law pamoja na mwalimu wetu alikuwa Mwakyembe. Unataka Mwakyembe aseme nini kwa hawa abc wa sheria wanapoamua kumfanyia dharau?
  16. I

    Kagoda: Ni Rostam

    What is the matter with Tanzanians? Why do we always take the same bait? Rostam anaiba, wenzake wako mahakamani, he is scot-free halafu anatunga ngonjera za uongo against serious Tanzanian politicians: Sitta ameforge risiti za dawa, Sitta anatumia magari ya Bunge kuwahudumia vimada wake...
  17. I

    Habari za afya ya Dr. Harrison Mwakyembe

    Mkuu Mtanzania, ni rahisi sana kuiinamia kompyuta yako na kumwaga analysis ya kila aina kutokana na simulizi kwa njia ya simu za mikononi na magazeti aina ya Nyundo, lakini kwa wanaokivaa hicho kiatu na kujua panapouma, unachofanya si huduma ni ubishi wa kijiweni usio na tija kwa ndugu zako...
  18. I

    Dr. Mwakyembe na Powerpool: Kuna mgongano wa maslahi na Dowans/Richmond?

    Upende aliyosema usipende, Dk. Mwakyembe kajieleza. Wenye kumwelewa, wamemwelewa, wasiotaka ndo hivyo! Sasa ni zamu ya Rostam Aziz kuitisha Press Conference kama Dk. Mwakyembe kujibu tuhuma dhidi ya kampuni yake ya KAGODA. Rostam asijidanganye kuwa anaweza kujificha nyuma ya tuhuma mbalimbali...
  19. I

    Mkutano wa Mwakyembe na Hoja za Mgongano wa Maslahi

    Mkuu Mwanakijiji umenikuna. Mimi naongezea suala moja tu ambalo wengi hawalioni na Dk. Mwakyembe kaliongelea kwa kirefu. Tanzania kwa sasa inahitaji umeme mwingi sana kuendana na vision 2025 inayotarajia Tanzania kuwa a middle-income-country. Huwezi kuwa nchi ya uchumi wa kati kama per capita...
  20. I

    Mkutano wa Mwakyembe na Hoja za Mgongano wa Maslahi

    Mkuu, Dk. Mwakyembe alilijibu hilo kwenye Press Conference yake. Ili project yao isimame kwemye miguu yake, inahitaji half a trillion shillings ambazo si rahisi kuzipata kwa Wawekezaji Waswahili ambao hata banks hazina imani nao. Once wanapata mwanya huo, watajiona wako on track na wote 50...
Back
Top Bottom