Search results

  1. Matokeo1

    Natafuta mke wa kuoa ambaye ni docta

    Za leo wana JF, Natafuta mke wa kuoa ambae ni daktari, awe mkristo, umri kwangu sio kigezo, na awe mcha Mungu, umri wangu ni miaka 32 na elimu yangu ni degree holder, nipo serious mwenye nia ani PM.
  2. Matokeo1

    Mwalimu wa kubadlishana nae kituo cha kazi

    Mimi ni mwalimu wa sekondari nafundisha mkoa wa Geita wilaya ya Nyanyw'hale, nafundisha masomo ya arts, natafuta mwalimu mwezangu wa kubadilishana nae, mikoa ninayotaka kuhamia ni MOSHI, ARUSHA, MANYARA, SINGIDA, DODOMA. kama yupo anaetaka tubadilishane nae aingie inbox ndugu zangu.
  3. Matokeo1

    Msaada wandugu, condom kwangu zimekua tishio

    Wana JF, mimi ninatatizo moja, na kabla halikuwepo, ninapokuwa na mwanamke dushelele lina chomoka nusura litoboe suruali, ila nikivaa kondom tukianza mechi dk 5 tuu inalala ila nikivua nikiingia kwa mechi ninauwezo wa kucheza hata dk 45 bila kulala, nisaidieni jamani hil kwangu limekua tatizo...
  4. Matokeo1

    Naomba Msaada wa Mawazo WanaJF

    Ndugu zangu mimi ni mhitimu wa degree ya sheria nimemaliza tangia 2011 nimeangaika sana kutafuta kazi tangu nilipomaliza chuo lakini bado sijapata, nlikua na girlfriend wangu kwa sasa tumepata mtoto mbaya zaidi wote hatuna kazi na wife wangu hana wazazi wote wawili nami ni mtoto wa mkulima...
  5. Matokeo1

    Wapi naweza kujifunza Kingereza cha kuongea na kuandika

    jf mi ni mhitimu wa shahada chuo kikuu, ila napenda kuimprove kingereza changu sijui wapi pa kujifunzia penye walimu waliobobea
  6. Matokeo1

    mawazo yenu ni muhimu sana kwa hili wana JF

    Baada ya kumaliza chuo miaka mitatu iliyopita nimeangaika kutafuta sana ajira lakini sijafanikiwa, nimepata msaada kwa msamaria mwema kanipa three options,1.kwenda law school, 2.kwenda kusoma masters ya kitu kingine tofauti na sheria ambayo kwa sasa imepoteza soko, 13. kupewa milion 7 za mtaji...
  7. Matokeo1

    jamani nawatafuta hawa popote walipo.

    ALEX KAYOMBO, LUSAJO MWANGASA, hawa nlisoma nao Kibo Secondary pale Moshi 1997 Enzi hizo shule ikiwa pale katikati ya mjini wa Moshi kama wakiona uzi huu tafathali waniPM Alex kipindi hicho alikua anakaa TPC Moshi nawasilisha.
  8. Matokeo1

    Natafuta mke wa kuoa jamani, namaanisha maana umri unanikimbiza. *nipo serious*

    Wapenzi wa jf mimi ni kijana wa 29yrs ni mhitimu wa chuo kikuu lakini kazi bado, natafuta mchumba wa kuoa namaanisha, awe mkristo, mcha Mungu, ajali familia yetu kama ilivyo yao, awe ametulia sio kiruka njia, kikubwa zaidi awe na shape nzuri maana maishani natamani kua na mkee aliejazia...
  9. Matokeo1

    Msaada ndugu zangu wana jf

    Nitoe salamu na shukrani nying kwa wadau wa jf maana nimejifunza mengi huku tangu nijiunge na hii jf, ukiwa na tatizo basi huku ndo kwenyewe kuna wadau wenye upeo wa hali ya juu, naomba msaada wa hili wana jf, MAJUKUMU NA KAZI YA CORPORATE OFFICER nawasilisha na Mungu awabariki.
  10. Matokeo1

    Hivi kwanini hawa maafisa elimu wa wilaya ya rombo mnawatesa waalimu?

    Wana JF maafisa elimu wa rombo wako ofisini tu bila kujali na kufuatilia maslahi ya waajiriwa wao, unakuta mwalimu hasa wa primary tangia waanze kazi mshahara ni ulele kuna watu wameajiriwa tangu 2004 lakini mishahara yao haiongezeki wakati walioaanza nao kazi wa wilaya nyingine ni mara 3 ya...
  11. Matokeo1

    Nipo serious wana jf, natafuta mwanamke wa kuoa mwenye sifa hizi.......,

    Mimi ni kijana mwenye umri 30yrs nina bachelor ya sheria, natafuta mwanamke mwenye sifa hizi, awe na umri usiozid miaka 30, awe anaumbo zuri maana mi kwa maumbo mazuri ndo furaha yangu, awe na sura ya kuvutia, awe mpenda Mungu, awe mkristo, awe mpenda maendeleo, elimu iwe ya form iv na...
  12. Matokeo1

    msaada ndugu zangu

    Naomba mnisaidie kwa hili maana naweza kupata kazi kwa urahisi kidogo, nimetafuta kazi takribani miaka miwili sasa na bado sijafanikiwa nataka nikasome masters naombeni mniambie vyuo vinavyotoa MASTERS YA BUSINESS ADMINISTRATION IN HUMAN RESOURCE MANAGEMENT, msaada wana jf.
  13. Matokeo1

    Wana jf naombeni mnisaidie kwa hili.

    Baada ya kutuma CV kwenye makampuni na mashirika kibao hapa Tanzania bila kuona mafanikio yoyote, sasa naamua kuuanza mwaka door to door programme, nikiwa na maanisha nataka kuandika barua naatachi kila kitu napita maofisini, tatizo langu ni hili ;1 Natakiwa niaddress kwa nani? mara nyingi...
  14. Matokeo1

    update za interview shift in charge TANROADS Mwanza

    Nawasalimu kwa jina la Bwana wanajf, naombeni kujuzwa kuhusu interview tuliofanya MWANZA Tanroads trh 28/11/2012 kama majibu yameshatoka, nawasilisha kwenu ndugu zangu naombeni msaada.
  15. Matokeo1

    Msaada wa haraka dungu zangu, hii ya tanroads.

    Nimepigiwa simu TANROADS MWANZA kwa interview next week, position ya Shift-in-charge, hii ndo interview yangu ya kwanza kufanya tangu nimalize chuo, naombeni mnipe mwanga inakuaje na ni base kwenye misingi ipi kumudu maswali ntakayoulizwa, msaada nduguzanguni.
  16. Matokeo1

    Alikua bikra akanikatalia, wengine wameitoa ananipigia simu nikamzalishe mtoto.

    Wanajf nisaidieni hapa, kuna dada mmoja alikua rafiki yangu, na nilimwahidi ntamwoa, urafiki ulidumu ndani ya miaka 4, wakati nikiwa chuoni nlitengana nae kutokana nlienda kusoma Dar yeye nkamwacha kijijini, kwa kipindi nikiwa nae nlikua namwomba penzi akawa anakataa katukatu akidai anabikra...
  17. Matokeo1

    Naombeni msaada wenu nimeshindwa nianzie wapi mkiwa kama ndugu, jamaa, marafiki, kaka na dada na da

    Mimi ni kijana nimemaliza degree ya sheria miaka minne chuo cha RUCO Iringa 2011, nimeangaika sana kutafuta hata sehemu ya kujiatachi nimekosa kabisa, kutokana na kipato kidogo cha familia yetu nimeshindwa kuendelea na Law school, ila kuna wasamaria wema wamenisikia wananisaidia nikasome...
  18. Matokeo1

    Msaada ndugu zangu maana nashindwa pa kuanzia

    wenye kujua e-mail za recruitment za mashirika haya ya mifuko ya jamii kama PSPF, LAPF, NSSF,PPF, GEPF, nitupie huko CV tu maana kila wapotangaza kazi naomba hata kubp hawabp na vigezo wanavyotaka ninavyo, labda nikitupia huko CV mara kwa mara wanaweza kuona aibu waniite.
  19. Matokeo1

    Nauliza hiviiiii kuna haja ya kuwepo chombo hiki cha serikali?

    Hihii tume ya utumishi ya ajira sina imani nayo ndugu zangu, naona yule mshikaji corruption yupo kabisa, maana mchakato wa interview na kufaulu wengi wanaopata zile nafasi zenye maziwa na asali ni watoto wa washua tu, sisi watoto wa wakulima ni maafisa kata, watendaji wa vijiji, tena upate kwa...
Back
Top Bottom